zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kujibu hoja umeshindwa umekimbilia matusi, ndio shida ya kuwa na elimu ndogo huwezi jadili mada zilizokuzidi kimo.Maelezo marefu Pumba tupu una muda mwingi wa kutype Pumba zako kwa kua huna shughuli ya kufanya tulia mnyolewe magaidi nyie.
Wazungu waliwatuma kushambulia ile october..?Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Suluhisho ni rahisi kabisa, unahama. Kwa nini uendelee kuteseka na jambo ambalo halikupi faida yoyote?Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Ukianzisha matatizo jua namna ya kuyamaliza. Hamas walitegemea kelele za Al Jazeera zitawazuia wyahudi kulipa kisasi.
Dunia hapo inaona fursa ya biashara. Huyo ndiye binadamu halisi aliyelaaniwa pale bustani ya Edeni.Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Umezoea unafiki kwa hiyo unafikiri kila mtu ni mnafiki na amekaririshwa kama wewe.Nani kapiga makelele, tunapinga unafiki wenu humu.
Kama wanajulikana si muwakamate au muwaue sasa hao watoto na wamama wanaotaka chakula wanahusiana vipi? Hiv una akili kweli wewe?Waliyoua watu wasiyo na hatia na kuwateka wengine wanajulikana.
Ooooh mbona nyie hospital ilipolipuliwa na Iran mli lialia kwamba wameua wasio na hatia bila kusahau interceptors na rocket launchers mlikuwa mmeziweka karibu na hospital. Au mkuki kwa nguruwe?Wanachokifanya Mohamde Deif aliuawa akiwa Al Mawasi wanakokaa raia. Kama kamanda wa Hamas alikuwa anafuata nini kwenye mahema ya Raia.
Acha uongo mbona aliuwawa ghorofani mwili gani umeokotwa kwa handaki?Mohamed Sinwar aliualiwa na mwili wake kuokotwa kwenye Handaki chini ya Hospitali ya Umoja wa Ulaya
We vipi mimi mkristo kasome thread zangu zote humu mie ni mlokole kindaki ndaki ila najitambua sio nyie washirika wa Mwamposa kazi kukaririshwa tu hata ndio maana kuna wajinga wanawauzia maji ya mto yordani eti yana baraka!!Bro kawakaririshe wenzako wanaotegemea BBC swahili na DW na wachambuzi wao wenye mrego wa kidini kama wewe
πππ imebidi utumie hayo maneno ya kiingereza kuonekan unajua zaidi.Najua huwezi jibu hoja yoyote ya mfanano kati ya Ukraine na palestina maana hauna uwezo huo. Ni vizuri ukajifunze history, geopolitics, na MENA dynamics kabla ya kuja kuongea humu na great thinkers.
ππKama wanajulikana si muwakamate au muwaue sasa hao watoto na wamama wanaotaka chakula wanahusiana vipi? Hiv una akili kweli wewe?
Ooooh mbona nyie hospital ilipolipuliwa na Iran mli lialia kwamba wameua wasio na hatia bila kusahau interceptors na rocket launchers mlikuwa mmeziweka karibu na hospital. Au mkuki kwa nguruwe?
By the way tunaongelea wanaofuata chakula sasa hapo raia kabisa wanafuata chakula alafu unawapiga risasi kwani umeona kuna mtu hapo ana silaha?
Acha uongo mbona aliuwawa ghorofani mwili gani umeokotwa kwa handaki?
We vipi mimi mkristo kasome thread zangu zote humu mie ni mlokole kindaki ndaki ila najitambua sio nyie washirika wa Mwamposa kazi kukaririshwa tu hata ndio maana kuna wajinga wanawauzia maji ya mto yordani eti yana baraka!!
Senile!
Si mlisema mossad wana intelijensia kali au imekuwaje tena mmeshindwa kukomboa mateka kwenye kamji kadogo kuliko kigamboni!!kwa sabbu wakiachia mateka hawatakuwa na kingine cha kuwapa nguvu.
Sasa Geopolitics kwa kiswahili ni nini? Au MENA kwa kiswahili ni nini? Sio kila neno unatohoa unaondoa maana sawa na mtu aseme Brexit kwa kiswahili!!imebidi utumie hayo maneno ya kiingereza kuonekan unajua zaidi
Kipi nimedanganya hapo? Sinwar alikufa kwenye handaki? Nani muongo?ππ
Uzuri hii vita kila mtu anaona kupitia vyombo mbalimbali. Watu walikuwa wadanganyika zamani siyo zama hizi. Badilisha approach ya uongo utaumbuka mbele za watu
Mimi au wewe? Mimi napata taarifa kutoa chanzo chochote legit ikiwemo Al Jazeera English, Al Jazeera Palestine kupitia ukurasa wao wa X, channel ya Telegram ya hao ndugu zako n.kSi mlisema mossad wana intelijensia kali au imekuwaje tena mmeshindwa kukomboa mateka kwenye kamji kadogo kuliko kigamboni!!
Sasa Geopolitics kwa kiswahili ni nini? Au MENA kwa kiswahili ni nini? Sio kila neno unatohoa unaondoa maana sawa na mtu aseme Brexit kwa kiswahili!!
Cha msingi jitahidi kusoma ukiwa na akili huru sio ukiwa na mrengo ili uone uhalisia wa mambo kwa usahihi wake
Nimesema Mohamed Sinwar mdogo wake na Yahya Sinwar siyo Yahya SinwarKipi nimedanganya hapo? Sinwar alikufa kwenye handaki? Nani muongo?
View: https://youtu.be/zYuHqBnCdrw?si=D1XrnaqZUpKH6lpe
Israeli hospital hit by Iranian missile strikeππ
Uzuri hii vita kila mtu anaona kupitia vyombo mbalimbali. Watu walikuwa wadanganyika zamani siyo zama hizi. Badilisha approach ya uongo utaumbuka mbele za watu
Fuatilia historia ya BBC ndo utaelewa. BBC haina tofauti sana Al Jazeera kwa sababu ni chomba cha haari chenye mrengo wa kushoto na mara zote hawajawahi ona zuri kwa wayahudi. Ongeza na CNN.Israeli hospital hit by Iranian missile strike
Ushahidi huo kuwa mliweka kambi pembeni ya Hospitali iliyochakazwa.
Sasa mimi na wewe nani mpotoshaji