Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

Maelezo marefu Pumba tupu una muda mwingi wa kutype Pumba zako kwa kua huna shughuli ya kufanya tulia mnyolewe magaidi nyie.
Kujibu hoja umeshindwa umekimbilia matusi, ndio shida ya kuwa na elimu ndogo huwezi jadili mada zilizokuzidi kimo.

We unachoweza ni kula keki za upako za Mwamposa zaidi ya hapo hauna akili nyingine ya kuchambua mambo ya kidunia.
 
Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k

Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Wazungu waliwatuma kushambulia ile october..?
 
Nani kapiga makelele, tunapinga unafiki wenu humu.
Umezoea unafiki kwa hiyo unafikiri kila mtu ni mnafiki na amekaririshwa kama wewe.
Wewe ni mnafiki mkubwa kwa kuwatetea Hamas ndo maana sasa hivi hawataki kusitishwa kwa vita kwa sabbu wakiachia mateka hawatakuwa na kingine cha kuwapa nguvu. Kwao mateso kwa wapelestina ni bora kuliko kuwaachia mateka wa kiyahudi kwa sababu viongozi wengi wa kisiasa wanaishi Qatar.

Ile wewe mnafiki mkubwa unatetea hilo na kuwaona wapigania uhuru. Pole tena mkuu, kawakaririshe wenzako
 
Iran yuko wapi kuwasaidia jamaa zake maana alimchapa Israel akashika adabu 😂😂😩
 
Waliyoua watu wasiyo na hatia na kuwateka wengine wanajulikana.
Kama wanajulikana si muwakamate au muwaue sasa hao watoto na wamama wanaotaka chakula wanahusiana vipi? Hiv una akili kweli wewe?
Wanachokifanya Mohamde Deif aliuawa akiwa Al Mawasi wanakokaa raia. Kama kamanda wa Hamas alikuwa anafuata nini kwenye mahema ya Raia.
Ooooh mbona nyie hospital ilipolipuliwa na Iran mli lialia kwamba wameua wasio na hatia bila kusahau interceptors na rocket launchers mlikuwa mmeziweka karibu na hospital. Au mkuki kwa nguruwe?

By the way tunaongelea wanaofuata chakula sasa hapo raia kabisa wanafuata chakula alafu unawapiga risasi kwani umeona kuna mtu hapo ana silaha?
Mohamed Sinwar aliualiwa na mwili wake kuokotwa kwenye Handaki chini ya Hospitali ya Umoja wa Ulaya
Acha uongo mbona aliuwawa ghorofani mwili gani umeokotwa kwa handaki?
Bro kawakaririshe wenzako wanaotegemea BBC swahili na DW na wachambuzi wao wenye mrego wa kidini kama wewe
We vipi mimi mkristo kasome thread zangu zote humu mie ni mlokole kindaki ndaki ila najitambua sio nyie washirika wa Mwamposa kazi kukaririshwa tu hata ndio maana kuna wajinga wanawauzia maji ya mto yordani eti yana baraka!!

Senile!
 
Najua huwezi jibu hoja yoyote ya mfanano kati ya Ukraine na palestina maana hauna uwezo huo. Ni vizuri ukajifunze history, geopolitics, na MENA dynamics kabla ya kuja kuongea humu na great thinkers.
😀😀😀 imebidi utumie hayo maneno ya kiingereza kuonekan unajua zaidi.

Huwez kujaza maziwa kwenye ndoo iliyojaa maji, kwanza maji na maziwa kwa pamoja vitamwagika, pili maziwa yatachanganyika na maji na kufanya maji na maziwa yasifae kwa matumizi.

Hivyo, amini ulichokaririshwa ili usikitumie kupotosha umma kw sababu ya itakadi aumrengo wako unaoujua wewe.
 
Na ss wa TZ watuletee chakula hicho maana angalau tubadilishe kila siku ugali na makabichi daa sio poa
 
Kama wanajulikana si muwakamate au muwaue sasa hao watoto na wamama wanaotaka chakula wanahusiana vipi? Hiv una akili kweli wewe?

Ooooh mbona nyie hospital ilipolipuliwa na Iran mli lialia kwamba wameua wasio na hatia bila kusahau interceptors na rocket launchers mlikuwa mmeziweka karibu na hospital. Au mkuki kwa nguruwe?

By the way tunaongelea wanaofuata chakula sasa hapo raia kabisa wanafuata chakula alafu unawapiga risasi kwani umeona kuna mtu hapo ana silaha?

Acha uongo mbona aliuwawa ghorofani mwili gani umeokotwa kwa handaki?

We vipi mimi mkristo kasome thread zangu zote humu mie ni mlokole kindaki ndaki ila najitambua sio nyie washirika wa Mwamposa kazi kukaririshwa tu hata ndio maana kuna wajinga wanawauzia maji ya mto yordani eti yana baraka!!

Senile!
😀😀
Uzuri hii vita kila mtu anaona kupitia vyombo mbalimbali. Watu walikuwa wadanganyika zamani siyo zama hizi. Badilisha approach ya uongo utaumbuka mbele za watu
 
kwa sabbu wakiachia mateka hawatakuwa na kingine cha kuwapa nguvu.
Si mlisema mossad wana intelijensia kali au imekuwaje tena mmeshindwa kukomboa mateka kwenye kamji kadogo kuliko kigamboni!!

imebidi utumie hayo maneno ya kiingereza kuonekan unajua zaidi
Sasa Geopolitics kwa kiswahili ni nini? Au MENA kwa kiswahili ni nini? Sio kila neno unatohoa unaondoa maana sawa na mtu aseme Brexit kwa kiswahili!!

Cha msingi jitahidi kusoma ukiwa na akili huru sio ukiwa na mrengo ili uone uhalisia wa mambo kwa usahihi wake
 
Si mlisema mossad wana intelijensia kali au imekuwaje tena mmeshindwa kukomboa mateka kwenye kamji kadogo kuliko kigamboni!!


Sasa Geopolitics kwa kiswahili ni nini? Au MENA kwa kiswahili ni nini? Sio kila neno unatohoa unaondoa maana sawa na mtu aseme Brexit kwa kiswahili!!

Cha msingi jitahidi kusoma ukiwa na akili huru sio ukiwa na mrengo ili uone uhalisia wa mambo kwa usahihi wake
Mimi au wewe? Mimi napata taarifa kutoa chanzo chochote legit ikiwemo Al Jazeera English, Al Jazeera Palestine kupitia ukurasa wao wa X, channel ya Telegram ya hao ndugu zako n.k
Kwa mfano kuna wakati Al Jazeera Palestine walikuwa wanaandaa video za kuigiza kwa kuwatumia watoto wa Gaza na kupost kwenye kurasa zao.

Baadhi ya Hamas walijifanya kuwa waandishi akiwemo yule mwandishi maarufu wa Al Jazeera aliyenusurika kuawa na baadaye familia yake kuuliwa akiwemo mtoto wake aliekuwa anajifanya mwandishi kumbe Hamas na ushahidi ulitolewa.
Ndo maan nakwambia kawakaririshe wengine siyo mimi.
Nakufahamu mrengo wako, na najua nampigia mbuzi gitaa
 
Israeli hospital hit by Iranian missile strike
Ushahidi huo kuwa mliweka kambi pembeni ya Hospitali iliyochakazwa.

Sasa mimi na wewe nani mpotoshaji
Fuatilia historia ya BBC ndo utaelewa. BBC haina tofauti sana Al Jazeera kwa sababu ni chomba cha haari chenye mrengo wa kushoto na mara zote hawajawahi ona zuri kwa wayahudi. Ongeza na CNN.

Kwa vile wewe Hamas basi unafikiri kila mtu mwenye mtizamo tofauti ni myahudi. Pole
 
Inauma sana asee mpaka nimeacha kufatilia hizo nambo za mashariki ya kati ,ila hamas walikosea sana ku calculate
 
Back
Top Bottom