Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Kumbe? Sasa akiitwa shetani usikasirike
Eh! Hayo ya kukasirika yanatoka wapi tena? Muhimu kuelewa ni kwamba hata wale ambao waliguswa na utawala wa Magufuli hata kama walistahili ila nao watasema Magufuli ni shetani na Kikwete kutokana na uongozi wake wa kishikaji ndio ndio moja ya sababu ya kuitwa dhaifu.
 
Magufuli pia kutokana na kuteka, kubambikiza kesi, kuua, kufunga na kufilisi watu ndiyo sababu anaonekana shetani
 
wamiliki wa timu ya ihefu hawwezi kukosekana kwenye hilo kundi
 
Hii sinema mmeletewa watz kama sinema zingine tu

Ova
 
Bonde la Ihefu limeharibika kabla hata Magufuli hajawa Rais
Magufuli alichoweza ni kuua na kufunga tu watu wa Chadema, hakuweza kingine chochote
Kwani kipindi cha Magufuli haya matatizo ya umeme na maji yalikuwepo?Haya mambo ya Ihefu yamejitokeza tu badaa ya tatizo la umeme kukatika katika na kuanza kusingizia kuwa kukatika umeme ni sababu vyanzo vya maji kuhujumiwa,sasa Magufuli angeliwazuiaje wakati hakukuwepo na matatizo ya umeme kukatika?
 
Tukubali au tusikubali, JPM alikuwa CHUMA, ndo maana haya madudu hayakufanyika wakati wake.
Mbona hakuweka hadharani taarifa ya akina Bashiru kuhusu maliza CCM na wanaozitafuna?
 
Kazikwe nae Chato
 
Umeme ulikuwa unakatika bila hata taarifa nani angehoji. Sasa hivi tunapewa taarifa.
 
Labda wakati huo ulikuwa sehemu ambayo hapakuwa na umeme ndo maana hujui kama ulikuwa unakatika.
 
ADMIN NIMESOMA MAANDIKO YA WACHANGIAJI NAOMBA UFUTE TU SWALI LANGUU KULINDA YAJAYO...TATADHALI..AHSANTE HUKU NIMEKUJA BAHATI MBAYA LOU
 

Chifu Merere wa miaka ya 1876s anaelezewa kwa kina na wenyeji wa ndani ndani kabisa wa Bonde la Usangu ambao ni Wasangu, waburushi /baluchistan , Wahehe, Wawanji, Wamasai, Wasukuma n.k ..... na ujio wa watu kutoka pande zote


Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…