WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Balile ni mnafiki na mpenda sifa.Kazi nzuri sana mmefanya Balile na Mwanahalisi. Uandishi wa habari za mazingira ni moja ya kazi hatari sana. Mi nashauri kama inawezekana hilo eneo litengwe kama Ramsar site chini ya UNESCO, labda nguvu ya kulilinda itaongezeka.
Big animals eat small animalsTuna safari ndefu sana..rule of the jungle is applied
Hakuwa na lolote yule jamaa , mdogo wa Rostam Aziz alipodakwa na Makontena ya meno ya tembo pamoja na mibunduki kadhaa ya kivita , Jiwe alikubali Rushwa ya Channel 10 ili yaishe.Mzilankende Ndiyo Aliweza Hayo Alitamka Go And Touch, Untouchable
Haa Hapo Ilikuwa Hofu Tele
wanao jiita CDE, M-NEC , Chawa karibu wote wamewekeza hapo, na wakuu wa kada fulani ambao sheria inawakataza kua kwenye siasa lakini wakistaafu tu unaskia kateuliwa nafasi flani kisiasa,Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
Nimemsikiliza ndugu yangu Balile! Kwa aliyosema ni mambo mazito yanayofanya kama Taifa tujiulize mamlaka zetu hasa za usalama wanamuogopa nani kwenye ulinzi wa rasilimali zetu?
Balile binafsi nimekupa heshima ya pekee kwa hili.
kwa hii nchi kajimaliza, from day one watu wapo kazini dhidi yake,akae chonjo kagusa maslahi ya watuJamaa kajichomaa, hapo Kila kitu chake kitaanza kwenda mraba [emoji1787]
Ila nampongeza sana Kwa ujasiri, uthubutu na uzalendo wa hali ya juu
Alikufa yesu yeye nani,?kila mmoja ataonja mauti,labda sema asitangulizwe mapemaWanaweza kumuua
Atakolimbwa😂😂😂.Amegusa asicho kijua.Tetea wanyonge ukigeuka hakuna mtu nyuma yako.Stan katabalo aliwatetea wakazi wa bonde la ngorongoro akaliwa kichwa.Hii nchi kajimaliza, from day one watu wapo kazini dhidi yake,akae chonjo kagusa maslahi ya watu
Noma sana kachaa [emoji23]Atakolimbwa[emoji23][emoji23][emoji23].Amegusa asicho kijua.Tetea wanyonge ukigeuka hakuna mtu nyuma yako.Stan katabalo aliwatetea wakazi wa bonde la ngorongoro akaliwa kichwa.
Boss usalama wa taifa ni mbuzi mawe,badala ya kulinda taifa wanalinda viongozi,shameNimemsikiliza ndugu yangu Balile! Kwa aliyosema ni mambo mazito yanayofanya kama Taifa tujiulize mamlaka zetu hasa za usalama wanamuogopa nani kwenye ulinzi wa rasilimali zetu?
Balile binafsi nimekupa heshima ya pekee kwa hili.
Lini utaacha upumbavu wako?[emoji706][emoji706]Hakuwa na lolote yule jamaa , mdogo wa Rostam Aziz alipodakwa na Makontena ya meno ya tembo pamoja na mibunduki kadhaa ya kivita , Jiwe alikubali Rushwa ya Channel 10 ili yaishe.
Umesahau hili ?
Ashukuriwe Rais Samia kwa kurejesha Uhuru wa maoni mpaka watu wanafunguka bila hofu..Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
Hawa 12 aliwashindwaje?Mzilankende Ndiyo Aliweza Hayo Alitamka Go And Touch, Untouchable
Haa Hapo Ilikuwa Hofu Tele