Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

Okay tutajitahidi, ila msitufungie vioo kila wakati muda mwingine furahini kutuona.

Upendo kwa nduguzo ni muhimu, hata Mungu ni Upendo pia.
Sisi hatuna shida na kupokea ndugu
Utajiri wa kwanza duniani ni ndugu.

Ila sasa watoe taarifa.
Siyo mtu hatujawahi wasialiana,, hata namba za simu hatuna... Ulishatafuta Kwa kufikia, hukunitaarifu hata kama unasafiri.
Unakuja kunitafuta ghafla baada ya formation zako kufeli.
 
🤣🤣😂
 
🤣🤣😂
Hapo cheko zimetubana, tunasikia wanawapigia ndugu zao kule walikotoka kwamba yule jamaa aliyetakiwa kuwapokea amepotea mazima.

Wanaacha kuja tu Moja Kwa moja Kwa sisi ndugu zao, wanataka wakafikie sehemu baki..
Hawawajui watu wa DSM😂😂😁.


Ilikuwa heri tulikuwa bado hatujalala.
Na tulikuwepo nyumbani...

Imagine mtu upo kwenye mishe zako, haurudi mapema.

Ni wangesugua gaga stand.
 
Sisi wengine hata tukirudi nyumbani kwetu tunawaambia wenza wetu, wewe unakuja Dar kwa rafiki unapiga simu ukiwa stand? Hata mimi sikupokei.
Mtu amesafiri mchana kutwa kimyaaa
Huna habari.
Ametoka tunduma,,,
Amefika Maili Moja ndio anakushtua
Bwana nakuja, tumefika Maili moja... Uje kunipokea.


Na DSM hapajui.. hata ile kusema kwamba chukua usafiri uje, ni ngumu.Inatakiwa umfuate.
 
Uzuri hospital kwa sasa zipo mikoa yote.

Salama kuna whatsapp Call

Wanaojitambua husafiri na bajeti zao
 
Wakiwa njiani wanapiga simu kila saa .anafika kati huko simu inaisha charge.
Hawatulii
Mtu anatoka mwanza hajafika hata shinyanga amepiga mara kumi kila mahali anatoa update
Hadi afike dodoma na simu ishaharibika kabisa
Anaingia dar hajui aanzie wapi
😅😅.jumlisha na Simu anazopiga Kijijini anakotoka huko mkoani kuwataarifu na kuwakoga kuwa anaenda Dar!
 
Hapo tatizo ni umasikini tu!
 
Mtu amesafiri mchana kutwa kimyaaa
Huna habari.
Ametoka tunduma,,,
Amefika Maili Moja ndio anakushtua
Bwana nakuja, tumefika Maili moja... Uje kunipokea.


Na DSM hapajui.. hata ile kusema kwamba chukua usafiri uje, ni ngumu.Inatakiwa umfuate.
Wanazingua sana, binafsi nisingewapokea, wangelala stand wajifunze next time. Dar haina watu wakarimu namna hiyo.
 
Stand ya magufuli ipo chato pale
 
Wenzako wa Dar kibao wamekupa like! Ahahahahaha! Sie wa mikoani tunawakaribisha kwa sana tu. Michembe, numbu na supu ya Ngere vipo kwa sana tu vinawasubiri.
 
Kuna mpuuzi akiona napost picha Kali status anadhan naishi maisha ya ustar dar et nataka nije dar niinjoy

Nikamuuliza utakuwa Una Kula wapi? Akajibu si kwako..Khaa nikamjibu labda hiyo Pesa unipe wewe

Anadai naringa wakati kipindi tupo wote bushi tunalima matikiti alikuwa anakuona Mungu mtu balaa



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…