Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Okay tutajitahidi, ila msitufungie vioo kila wakati, muda mwingine furahini kutuona.Ndugu zetu wa mikoani muwe wastaarabu
Upendo kwa nduguzo ni muhimu, hata Mungu ni Upendo pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay tutajitahidi, ila msitufungie vioo kila wakati, muda mwingine furahini kutuona.Ndugu zetu wa mikoani muwe wastaarabu
Sisi hatuna shida na kupokea nduguOkay tutajitahidi, ila msitufungie vioo kila wakati muda mwingine furahini kutuona.
Upendo kwa nduguzo ni muhimu, hata Mungu ni Upendo pia.
🤣🤣😂Kuna ndugu zetu walisema Mzee anataka kuja hosp
Tukawaambia sawa,ila sisi tunashinda kazini kama wanga saa 11 asbh tunaondokakurudi nj usiku saa3,hivyo kama ni kuja basi aje na kijana ambaye atamsaidia Mzee .
Wakaona tunawabania..
Kwahiyo wakaahirisha kuja kwetu..wakasafiri kimyakimya.
Kumbe kule Kaka yao alimtafuta schoolmate wake,ambaye hata walikuwa hawawasiliani...akamwambia awapokee ndugu zake hao.
Jamaa eti wamewasiliana vizuri, baadaye akapotea hewani.
Alipotea mazima.
Sisi hatuna hili wala lile,Saa2 usiku tunapigiwa simu na hao wasafiri kututaarifu kuwa wapo njiani ,tuende kuwapokea,,na wamekaribia Mbezi.
Imagine mtu hakukutafuta hata kukujulisha kama anasafiri,,anakuja kushtua tu usiku huohuo ukampokee.
Tulishakula ,tunajiandaa kulala.
Tukaanza kuhaha kupika upya,,it's tiresome.,kutafuta mboga na Nini.
Ndugu zetu wa mikoani muwe wastaarabu.
Kweli mkuu ni vema kueleza mtu bayana ili hata akija akubali kula ugali tembele na kulala chumba cha joto no acNdo shida ya waTz tunataka tuonekane tuko juu.Sema tu ukweli maana nchi nzima Hali mbaya
Hapo cheko zimetubana, tunasikia wanawapigia ndugu zao kule walikotoka kwamba yule jamaa aliyetakiwa kuwapokea amepotea mazima.
Mtu amesafiri mchana kutwa kimyaaaSisi wengine hata tukirudi nyumbani kwetu tunawaambia wenza wetu, wewe unakuja Dar kwa rafiki unapiga simu ukiwa stand? Hata mimi sikupokei.
Uzuri hospital kwa sasa zipo mikoa yote.Kuna mmoja kaniambia anakuja jumatano
Me nikakubali tu
Anzia kesho sipatikaniii
Mnavopanga safari zenu huwa mnamshirikisha nani?? Unaamua tu kwa vile flani yuko sehemu ngoja niende.unajua anapitia hali gani?? Unajiamulia tu mwenyewe
Maisha yenyewe yashaharibika tukiwalaza na watoto wetu mnawaharibu.dawa yenu ndo hyo mtaishia magufuli stend hadi mkome
😅😅.jumlisha na Simu anazopiga Kijijini anakotoka huko mkoani kuwataarifu na kuwakoga kuwa anaenda Dar!Wakiwa njiani wanapiga simu kila saa .anafika kati huko simu inaisha charge.
Hawatulii
Mtu anatoka mwanza hajafika hata shinyanga amepiga mara kumi kila mahali anatoa update
Hadi afike dodoma na simu ishaharibika kabisa
Anaingia dar hajui aanzie wapi
Hapo tatizo ni umasikini tu!Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari wakihisi Dar es salaam kuna maisha raha mstarehe.
Ndugu hao wakishafunga safari na kufika stand ya mabasi Magufuli basi wanatelekezwa, na hao ndugu zao wa Dar uwazimia simu. Jambo ambalo limesababisha watu wengi wa mitaani kuongezeka jijini, ambapo kwa siku stand ya Magufuli upokea makumi ya watu waiokuwa na pa kwenda miongoni mwao ni hao waliotelekezwa na ndugu zao.
Kama uwezi kuwa mwenyeji wa mtu, si bora umwambie tu, atafute alternative kuliko kumtia moyo ya kuja kuishi Dar es salaam na kisha kumtelekeza. Kama maisha yamekuchapa, mwambie tu ukweli kwamba maisha yangu hayako sawa. Hili abaki mkoani, kuliko kujichanga nauli alafu unamtupa stand.
Wanazingua sana, binafsi nisingewapokea, wangelala stand wajifunze next time. Dar haina watu wakarimu namna hiyo.Mtu amesafiri mchana kutwa kimyaaa
Huna habari.
Ametoka tunduma,,,
Amefika Maili Moja ndio anakushtua
Bwana nakuja, tumefika Maili moja... Uje kunipokea.
Na DSM hapajui.. hata ile kusema kwamba chukua usafiri uje, ni ngumu.Inatakiwa umfuate.
Bakini mkoaniHuu ujinga upo sana
Watu wa dar wengi wao ni wanafki sana
Stand ya magufuli ipo chato paleKuna mmoja kaniambia anakuja jumatano
Me nikakubali tu
Anzia kesho sipatikaniii
Mnavopanga safari zenu huwa mnamshirikisha nani?? Unaamua tu kwa vile flani yuko sehemu ngoja niende.unajua anapitia hali gani?? Unajiamulia tu mwenyewe
Maisha yenyewe yashaharibika tukiwalaza na watoto wetu mnawaharibu.dawa yenu ndo hyo mtaishia magufuli stend hadi mkome
Wenzako wa Dar kibao wamekupa like! Ahahahahaha! Sie wa mikoani tunawakaribisha kwa sana tu. Michembe, numbu na supu ya Ngere vipo kwa sana tu vinawasubiri.Kuna mmoja kaniambia anakuja jumatano
Me nikakubali tu
Anzia kesho sipatikaniii
Mnavopanga safari zenu huwa mnamshirikisha nani?? Unaamua tu kwa vile flani yuko sehemu ngoja niende.unajua anapitia hali gani?? Unajiamulia tu mwenyewe
Maisha yenyewe yashaharibika tukiwalaza na watoto wetu mnawaharibu.dawa yenu ndo hyo mtaishia magufuli stend hadi mkome
Duuh hii mpya sasaAngekuwa ndugu wa damu nisingewaza mkuu.kwanza ndugu mwenye uchungu na wewe hawezi kuja kwako ovyo ovyo
Kabisa.Kweli mkuu ni vema kueleza mtu bayana ili hata akija akubali kula ugali tembele na kulala chumba cha joto no ac
Kuna mpuuzi akiona napost picha Kali status anadhan naishi maisha ya ustar dar et nataka nije dar niinjoyWatu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari wakihisi Dar es salaam kuna maisha raha mstarehe.
Ndugu hao wakishafunga safari na kufika stand ya mabasi Magufuli basi wanatelekezwa, na hao ndugu zao wa Dar uwazimia simu. Jambo ambalo limesababisha watu wengi wa mitaani kuongezeka jijini, ambapo kwa siku stand ya Magufuli upokea makumi ya watu waiokuwa na pa kwenda miongoni mwao ni hao waliotelekezwa na ndugu zao.
Kama uwezi kuwa mwenyeji wa mtu, si bora umwambie tu, atafute alternative kuliko kumtia moyo ya kuja kuishi Dar es salaam na kisha kumtelekeza. Kama maisha yamekuchapa, mwambie tu ukweli kwamba maisha yangu hayako sawa. Hili abaki mkoani, kuliko kujichanga nauli alafu unamtupa stand.
Huwa tunakuja ghafla kwani?? Huwa tunatoa taarifa plus tunakuja na helaWenzako wa Dar kibao wamekupa like! Ahahahahaha! Sie wa mikoani tunawakaribisha kwa sana tu. Michembe, numbu na supu ya Ngere vipo kwa sana tu vinawasubiri.