Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Kwani chale na sindano zina tofauti gani? Ujinga mzigo
 
😂 Huwa tunaita "Namba eleven".

Binafsi niseme, baadhi ya wazazi ndio wanakosea kuwapachika watoto hizo 11. Watoto wanakuwa hawajui lolote.
Hawa watoto wakishakuwa wakubwa mara nyingi huwa hawafurahii kabisa hizo double one.

Ni sawa tu na wale kina mama wanaowatoboa watoto masikio & pua. Wanawakosea sana hao watoto. Ni vema kumuacha aje achague yeye mwenyewe siku akijitambua. Kuna wanawake/mabinti wanachukia sana hiyo. Unakuta analaumu.

Hata wale wanaokeketwa nao walijipata wakiwa wamefanyiwa hivo wakiwa bado hawana uwezo wa kuamua.
 
Mkuu mbona unazunguka sana wee sema tu biashara Yako ya ngozi za watu Kanda ya Ziwa imedoda maana zenye chale hazihitajiki.
 
Kwa asilimia kubwa walio wengi ni hivyo, wengi wanachanjwa wakiwa wadogo bila ridhaa yao.
 
Mnajilinda na nini mbona kifo kipo pale pale kama ni hicho mnakikwepa?
Kwani tumekwambia ki kujilinda na kifo, we tuache......

Yule jamaa alikua anaogopeka nchi nzima yani akisimama hakuna wa kusema ngw'e unadhani kawaida hiyo?? Ni covid pekee ndo ilisema ngw'eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…