Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishawaambia siku nyingi kuwa Lissu ni msaliti naona sasa yamewakuta CDM live!! Eti mlitaka awe Rais wa TZ huyu Lissu kumbe hata kwenye kura za maoni ndani ya chama alishindwa na Nyalandu!! 🤣🤣Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Jamaa yule hafai ni mtu wa kumwaga sana mcheleTulishawaambia siku nyingi kuwa Lissu ni msaliti naona sasa yamewakuta CDM live!! Eti mlitaka awe Rais wa TZ huyu Lissu kumbe hata kwenye kura za maoni ndani ya chama alishindwa na Nyalandu!! 🤣🤣
Hakika, na kama alikuwa hariziki na wenzie angejiudhuru ili aeleweke vzrMwenyekiti kaeleza vizuri kuwa uongozi ni timu, hivyo huwezi ongea tofauti na wenzako.
Kabisa yani, akiendelea kuwa chadema asitegemee kupata ushirikiano wwte katika majukum yakeKwa maneno ya mwenyekiti ya leo, Lisu ajitafakari, ikiwezekana afanye kama ulivyopendekeza. Maana amekuwa akiongelea rushwa ndani ya chama, mwenyekiti anasema hajawahi kuthibitisha.
Rafiki wa Mbowe huyoHusika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Tulia we mfuasi wa dhalimu magu, ndani ya cdm kuna demokrasia pana watu wanashindana kisiasa na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.Tulishawaambia siku nyingi kuwa Lissu ni msaliti naona sasa yamewakuta CDM live!! Eti mlitaka awe Rais wa TZ huyu Lissu kumbe hata kwenye kura za maoni ndani ya chama alishindwa na Nyalandu!! 🤣🤣
Kwani ccm nayo inafanya siasa? Nyie hamtegemei shutuma za cdm, bali mnategemea vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi.Lissu amekosea Sana ingawa ametupa silaha ss wafuasi wa CCM, hizo shutuma zote mwakani zitawanyoosha
Hilo umesema ww.Mbona lissu alibebwa hakushindaga umakamu mwenyekiti