Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.

Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Tulishawaambia siku nyingi kuwa Lissu ni msaliti naona sasa yamewakuta CDM live!! Eti mlitaka awe Rais wa TZ huyu Lissu kumbe hata kwenye kura za maoni ndani ya chama alishindwa na Nyalandu!! 🤣🤣
 
Jamaa yule hafai ni mtu wa kumwaga sana mchele
 
Kwa maneno ya mwenyekiti ya leo, Lisu ajitafakari, ikiwezekana afanye kama ulivyopendekeza. Maana amekuwa akiongelea rushwa ndani ya chama, mwenyekiti anasema hajawahi kuthibitisha.
Kabisa yani, akiendelea kuwa chadema asitegemee kupata ushirikiano wwte katika majukum yake
 
Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.

Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Rafiki wa Mbowe huyo

Rafiki wa Mbowe.jpg
 
Cha ajabu... Wanaoteseka na kuumia kutokakana na Lisu kugombea uenyekiti ni CCM .......
Lissu amekosea Sana ingawa ametupa silaha ss wafuasi wa CCM, hizo shutuma zote mwakani zitawanyoosha
 
Tulishawaambia siku nyingi kuwa Lissu ni msaliti naona sasa yamewakuta CDM live!! Eti mlitaka awe Rais wa TZ huyu Lissu kumbe hata kwenye kura za maoni ndani ya chama alishindwa na Nyalandu!! 🤣🤣
Tulia we mfuasi wa dhalimu magu, ndani ya cdm kuna demokrasia pana watu wanashindana kisiasa na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Waacheni wachuane kwenye sanduku la kura na hiyo ndio demokrasia.Acheni kura ziamue nami awe mwenyekiti wetu kati ya hiyo miamba miwili
Hiyo imeisha hiyo sanduku la KURA halina nguvu kabisa Mbele ya machawa wa mbowe
 
Tulia we mfuasi wa dhalimu magu, ndani ya cdm kuna demokrasia pana watu wanashindana kisiasa na sio kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Mbona lissu alibebwa hakushindaga umakamu mwenyekiti
 
Back
Top Bottom