Nyumbu utanyooka tu safari hii. Vipi bado unampango wa kupindua nchi kama ambavyo ulisema?Nasema hivi, tulia we mfuasi wa dhalimu magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu utanyooka tu safari hii. Vipi bado unampango wa kupindua nchi kama ambavyo ulisema?Nasema hivi, tulia we mfuasi wa dhalimu magu.
Narudia tena, tulia ww mfuasi wa dhalimu magu.Nyumbu utanyooka tu safari hii. Vipi bado unampango wa kupindua nchi kama ambavyo ulisema?
Anajiandaa kuishitaki chadema na Mbowe kwenye mahakama ya kimataifa (ICJ). Lazima watamlipa mamilioni ya dola. Amemwagiza mwanasheria wake Robert Amsterdam kufanya kama alivyofanya kwa kampuni ya TigoHusika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
M7 wa Machame mshipa wa aibu umeshakatika.Ushauri huu unalipa!
Tatizo TAL huwa hashauriki .
TAL alitaka kutest mitambo sasa anajuta!
Lissu anaijua Sheria,haijui Siasa!Baada ya press ya Mbowe jana nikaona wazi kwbisa Mbowe anawaacha wenzake mbali mno.
Lissu bado ana mambo mengi ya kujifunza toka kwa jabari la siasa.
Chama hiki cha CHADEMA Kiko kwenye uchaguzi,chama hiki kimeimba saaaaana Kuhusu Demokrasia lkn cha kusikitisha inaonekana viongozi waliotuimbia wimbo wa Democracy wao wenyewe hawako tayari kupokea matunda ya Demokrasia,na watu wanaokataa kea makusudi matunda ya Demokrasia ni wazi kabisa ni walafi wa madaraka na hakuna maneno mazuri zaidi ya hayo.Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Haichekeshi.Anajiandaa kuishitaki chadema na Mbowe kwenye mahakama ya kimataifa (ICJ). Lazima watamlipa mamilioni ya dola. Amemwagiza mwanasheria wake Robert Amsterdam kufanya kama alivyofanya kwa kampuni ya Tigo
Ulitaka ucheke?Haichekeshi.
Washauri wa bure,tayari tuko kazini kuanzia jana ile ile Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.
Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Wewe ukibisha tumipimeLissu ni pumbavu wa kiwango cha kusikitisha.
Mke wa lisu aliwahi kulalamika au unataka kuolewa na lisu?Lissu mmbea kama mwanamke nani anaweza kukaa na mwanaume wa aina hiyo