Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.

Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Anajiandaa kuishitaki chadema na Mbowe kwenye mahakama ya kimataifa (ICJ). Lazima watamlipa mamilioni ya dola. Amemwagiza mwanasheria wake Robert Amsterdam kufanya kama alivyofanya kwa kampuni ya Tigo
 
Baada ya press ya Mbowe jana nikaona wazi kwbisa Mbowe anawaacha wenzake mbali mno.

Lissu bado ana mambo mengi ya kujifunza toka kwa jabari la siasa.
 
Lissu anaijua Sheria,haijui Siasa!
Siasa ni uongo,Sheria ni ukweli,hapa ndipo Lissu anakopigiwa Balo la mkono
 
Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.

Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Chama hiki cha CHADEMA Kiko kwenye uchaguzi,chama hiki kimeimba saaaaana Kuhusu Demokrasia lkn cha kusikitisha inaonekana viongozi waliotuimbia wimbo wa Democracy wao wenyewe hawako tayari kupokea matunda ya Demokrasia,na watu wanaokataa kea makusudi matunda ya Demokrasia ni wazi kabisa ni walafi wa madaraka na hakuna maneno mazuri zaidi ya hayo.
 
Anajiandaa kuishitaki chadema na Mbowe kwenye mahakama ya kimataifa (ICJ). Lazima watamlipa mamilioni ya dola. Amemwagiza mwanasheria wake Robert Amsterdam kufanya kama alivyofanya kwa kampuni ya Tigo
Haichekeshi.
 
Husika na maada tajwa hapo juu,
Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi hiyo ndo demokrasia yenyewe.

Kwa hizo shutuma Mh. Lissu asahau kushinda uwenyekiti bora aepuke aibu mapema
Washauri wa bure,tayari tuko kazini kuanzia jana ile ile Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
Back
Top Bottom