SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Dah, mwanangu Mako Chali sijui yuko wapi siku hizi! Sefu unaemuongelea ni yupi? Au ni yule aliekula mzinga na pikipiki Majita road?Hapa unaongelea kina kibundari, Nature, kina mako chali, maromaro ( marehemu), walikua wengi sana asee watoto wa nyasho, marehemu Sefu
nadhani ilishakufa maana miaka ya 2000 nilienda huko sikuisikia kabisa
Sehemu bora kabisa musoma kuwahi kutokea ilikuwa diocese ya musoma( kituo cha matumaini ya vijana).
Kilikuwa kituo bora cha michezo na masomo, vyote vilitolewa bure kabisa kilikuwa kisima cha maarifa, kituo hiki cha kanisa romani cathoric baada tu ya kufungwa ndipo yalipoanza kuibuka makundi ya uharifu na wahuni
Pale ilikuwepo michezo ya aina zote unayoifahamu wewe, maktaba na madarasa ya kufundishia fani mbalimbali ikiwemo uchoraji n.k
Vijana na watu wote walikuwa wanakutana pale kushiriki michezo na masomo hivyo hapakuwa na makundi ya kihuni, zilikuwepo timu za mipira na michezo mingine pamoja na wasomi.
Sijaona kikiongelewa humu mkumbuke na mazuri, msikumbushane matukio ya wahuni tu.
Dah, mwanangu Mako Chali sijui yuko wapi siku hizi! Sefu unaemuongelea ni yupi? Au ni yule aliekula mzinga na pikipiki Majita road?
Hiyo Bweri Makatani 2008 mkuuUmemaliza bweri makatani mwaka gani?
Maana mimi nimemaliza apo 2010
Nimeuzuria sana apo mzee since niko na 8 yrz mpk 17
Huko viwanja vinauzwaje kwa sasa, tuje tuwekeze
Nilikua huko last year, Rwamlimivis one of the best well built streets kwa sasa pale musoma. Bado hawajapata lami tu. Pamejengeka sana, pamejaa sana. Pia uwanja wa mpira unajengwa kule, karume panavunjwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege!
Hiyo Bweri Makatani 2008 mkuu
Tarime mhh!! Hapanamkuu,kipo kimoja nje ya musoma lakini,tarime huko
una mfahamu duchuYah SEFU alikula mzinga wa pikipiki mimi nimekulia sana maeneo ya mkendo kubwa , makongoro na iringo ndio viwanja vyangu
unaishi sehemu ganiNaona watu wanaijua musoma Sana ila kiukweli kwa sas ni sehemu salama nimeona mnawajua mapacha wa jamaika mockers hii ni kweli jamaa walikuwa watata Sana waliwahi mfata demu primary shule ya musoma wakampiga mabapa ya sime kisa kawakataa ninayo mengi ila karibuni musoma maisha mepesi Sana huku
Aisee hapo niliwahi gombana njeNakumbuka Club Metropole kama sijakosea mtaa wa Mkendo kati pale nilicheza disco enzi hizo za 2000s km kawaida ya Mapoti Muziki hauishi bila ya Ugomvi!
Tarime mhh!! Hapana