Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Hivyo
vitu ambavyo umeviorodhesha karibu
vingi kama siyo vyote vinapatikana Zanzibar
nzima. Nafikiri wengi wao kwa asilimia kubwa hufuata
misingi ya dini yao ya
kiislamu.
Ila naamini wengi wao
huifuata hii dini kama
utamaduni na siyo
kiimani.Masharti ya hii dini kwa
kizazi cha leo bila imani
thabiti na
kujitoa inahitaji moyo sana kuyafuata. Ndiyo maana
unafiki umejikita
mizizi sana. Mfano wa masharti hayo ni kama vile:
1) Usinywe pombe: (Umezungukwa na baa pande zote)
2)Usicheze kamari: (Umezungukwa na kampuni za kamari pande zote.)
3)Usifanye umalaya : (Umezungukwa na madanguro yanayonekana na yasiyoonekana pande zote)
4)Usitoze riba: (Huku unahitaji faida maradufu)
................................n.k bila nguvu ya
Mungu utachemsha tu na kuwa
mnafiki mkubwa.
Kingine ni suala la
chuki dhidi ya watu kutoka
bara, hii huambukizwa tangu
utotoni sijui ni nini
kilitokea lakini jamaa
wanawachukia watu kutoka bara kuliko maelezo.
Hii nayo ni
ujinga wa kurithishana, naamini
kiasili kisiwa hakina
mwenyewe kiasilia kwani hata hawa wanaolishwa hizi sumu ukiwafuatilia kiundani
asili za mababu zao unakuja kugundua kuwa
walihamia huku visiwani muda mrefu!!!!!!!!!!!!
Wengi wao hasa wanaokaa
shamba, hawajafanikiwa
kutembea nje ya visiwa hivi, ni kama mtu
unakaa sehemu moja muda
mrefu ukiamini kuwa ni sehemu bora kuliko sehemu nyingine,
ukitoka utagundua kuwa
dhana yako ilikuwa potofu!!!!!!!!!
Nb 1: Naamini Mungu hana dini (Mtazamo wangu).
Nb 2: Dini zote zimeundwa na kutengenezwa na mwanadamu (Mtazamo wangu)
Nb 3: Huwezi (mtazamo wangu ) kutenganisha dini na utamaduni wa jamii husika. Mfano:
1) Utamaduni wa kimagharibi na
Ukristo.
2) Utamaduni wa Kihindi na
Uhindu.
3)Utamaduni wa Kiyahudi na
Uyahudi.
4)Utamaduni wa Kiarabu na
Uislamu.
5)Utamaduni wa kichina na
Confucianism, Taoism, and Buddhism.
6)Utamaduni wa Kijapan na
Shinto na Buddhism.
7)Utamaduni wa kirusi na
orthodox.
Nb 4: Tunatofautina kiimani na kiitikadi lakini tukiheshimiana hutaweza kuziona hizo tofauti.
Nb 5: Binadamu wote tunategemeana.
Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!!!!!!!