Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

UKifika Macho manne utapata kila utakacho, Wete halikadharika...ingawa macho wengi yatakunyima Uhuru.
Ukichukua ngoma Wete au Macho manne inabidi ukaipigia kusini, yaani mkoa mwingine.

Fafanua kidogo hapo juu sheikh [emoji115][emoji115]
 
Kwani watumwa walipelekwa Pemba? Mbona Unguja hawawaiti wahuni?
Halafu wameanza kuwaita wahuni siyo kizamani vile ni just recently
 
Kwani watumwa walipelekwa Pemba? Mbona Unguja hawawaiti wahuni?
Halafu wameanza kuwaita wahuni siyo kizamani vile ni just recently
Mimi sizungumzii habari ya watumwa, nazungumzia vibarua walikuwa wanapelekwa kwa meli enzi ya Muingereza.

Kwa kweli hiyo ya kuita wahuni ndiyo kwanza nimeona humu ijapokuwa mimi huwa nakwenda Pemba mara kwa mara.
 
Muongo Sana wewe,tangu zamani watu wanaoenda Sana visiwani ni wanyamwezi,hata vibarua mashambani ni wanyamwezi,Sasa wao kila atokae Bara humuita mnyamwezi,kabla ya mapalala na lipumba
Tu
Muongo Sana wewe,tangu zamani watu wanaoenda Sana visiwani ni wanyamwezi,hata vibarua mashambani ni wanyamwezi,Sasa wao kila atokae Bara humuita mnyamwezi,kabla ya mapalala na lipumba
Tatizo ni uvivu wa kusoma halafu mnarukia kujibu. Mimi nimeongelea Mbara kuhusishwa na Wanyamwezi Wahuni.
Kwani kule hakuna wabara wengine zaidi ya Wanyamwezi?
 
Mimi sizungumzii habari ya watumwa, nazungumzia vibarua walikuwa wanapelekwa kwa meli enzi ya Muingereza.

Kwa kweli hiyo ya kuita wahuni ndiyo kwanza nimeona humu ijapokuwa mimi huwa nakwenda Pemba mara kwa mara.
Hilo la Uhuni haluna historia ndefu, hilo limeibuka miaka ya karibuni sababu ya tofauti za viongozi wa kisiass...Lipumba Vs Seif
 
Nisalimie wete hapo
 
Tu

Tatizo ni uvivu wa kusoma halafu mnarukia kujibu. Mimi nimeongelea Mbara kuhusishwa na Wanyamwezi Wahuni.
Kwani kule hakuna wabara wengine zaidi ya Wanyamwezi?
Hao Wabara wengine ni siku hizi,mafungamano makubwa ya Zanzibar na Tanganyika ni wanyamwezi kwa huku Bara, mwarabu aliyetawala unyanyembe(tabora mjini) alitokea Zanzibar,pakawa na mafungamano makubwa tangu hapo,Kuna watu wapi tabora Ila Wana mashamba makubwa Zanzibar,mmoja wapo sheikh kulwa,wachaga Kama wapo wameanza kwenda hivi punde
 
Ukifika mkunazini uliza afisi ya mshauri wa masuala ya usawa na kijinsia, uwaulize hali ya ulawiti ikoje kwa kipindi cha mwaka 1 tuu... Data zipo ushahidi upo mtoto mzuri

Unanitaka mimi nitoke huku Kigoma (kakonko mpakani na Burundi) niende Mkunazini kusaka hizo data??-- wewe ndiye mtoa madai na hivyo unatakiwa utuwekee hizo data hapa ili tuone huo ukweli wa maneno yako!!, au sio kigoli kipenzi??
 
Ni pagumu ila unakata mwezi wa tatu sasa! Usiwashangae waliozaliwa huko, mtu kwao!
 
Uko bhana wanapiga ibada kinoma lakin wanapenda uchawi kinoma, sijajua wanaawali kitu gani, ulozi na uislam mbona haupatani. hawa wapemba inabid waundiwe kamati shenz hawa.
 
Uislam ni Mila/utamaduni unaojitegemea: Unahisi huu

utamaduni ulitoka wapi???????

1: Wewe kwa elimu yako unaweza kunielezea huu utamaduni ulipotoka????????

2: Halafu huko ulipotokea naomba unionyeshe sehemu ambayo huu utamaduni hauingiliani kwa namna moja ama nyingine na utamaduni wa Kiarabu.

3: Unaelewa maana ya neno utamaduni???

4: Unavifahamu vitu vinavyounda utamaduni????

6: Unahisi hii mila unaweza kuitenganisha na mila ya Kiarabu???????

5: Dini ya Mungu inaitwaje????

6 : Unaelewa nini maana ya mtazamo??

7 : Unahisi ni lazima mtazamo wako na wangu ufanane?????

Nb: Ukiongozwa na papara na mhemko huwezi kujibu maswali ya hapo juu.

Samahani kwa usumbufu.
 
"It is another suspect in custody before Court of law"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…