Aisee asikuambie mtu, ukizoea utulivu wewe ni mtu unaeishi dunia nyingine.Ninae m1 tyuuuh, na hata yeye Co mda wote nakua naye, nafurahia na kuenjoy sana maisha ya lonely kwa kweli.
Wewe ni introvert ,unakuta mzazi ana mtoto ila hajui kuwa kuna introvert anamsema mtoto mbona umezubaa sana kumbe ni asili kuwa hivyo. Kwa ujumla introvert wanakutana na changamoto mbalimnali hasa za mtazamo wa watu wengine wasioelewa kuwa hii ni asili.Hahahah! mfano mimi ni mpole halafu sio muongeaji huwa najaribu sana kujilazimisha niwe muongeaji lakini wapi imeshindikana. Nimeamua tu nikubari yaishe ingawa muda mwingine hii hali huwa inanitesa, nyumba niliyopanga nimezoena na watu wawili tu tena na wenyewe ni watu ambao tupo wote kozi moja.
Mfano Mimi sina rafiki, nimejaribu hata humu kujenga urafiki na baadhi ya watu lakini tatizo sina story zaidi ya salamu tu wanaishia kukukwepa.Introvert's circle of friends is very small and tight.
Usishangae ukakuta watu kama hawa wana marafiki hawafiki watatu au watano.
Kasoro mie nawe tehSiku hizi kila mtu introvert duuh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi kila mtu introvert duuh
Huu uzi umetukutanisha ma-introvert embu tujaribu kuji-pm sisi kwa sisi tuone "what will happen"Siku hizi kila mtu introvert duuh
Una marafiki nawe tehKasoro mie nawe teh
Ukute hata ni tabia zao mbaya tu ndo zinafanya wasiwe na marifiki[emoji23][emoji23]
Szan kama watakujibu si umesoma juu hukoHuu uzi umetukutanisha ma-introvert embu tujaribu kuji-pm sisi kwa sisi tuone "what will happen"
[emoji23] [emoji23] duu mimi huyu.Mwanamke wangu nilikua nakutana nae kwa miezi 7 ofisini namhudumia na sikuwahi kumjua jina wala kumuuliza, siku nimeumwa sikwenda job siku kama 3 akaomba no akanicheki akajitambulisha nikamjibu mbona sikujui dah [emoji28][emoji28] leo ndo demu wangu mwaka wa 2 huu.Mi wengi wanasemaga nina kiburi na madharau maana naweza kuwa tunakutana na wewe mara kibao tu hata zaidi ya miezi kazaa na nisijui hata jina lako wala nisiulize na hata number zako nisi zisave
Wapunguze kupiga puli,huo upuuzi wa u-introverts utaisha haraka.
Kwa mtu yeyote yule simshauri kuwa na marafiki kabisa,watakuumiza
Uchawi huu unafundishwa au unaandaliwa jini mahabaKuongea na watu naona tabu sana. Hata kuongea na simu huwa sipendi. ninaye rafiki mmoja naye yuko mbali. Ndugu zangu wenyewe huwa hawanielewi. I live in solitude, am not lonely