Ila hawa wamekamatwa na Heroin sio Cocakuna mdau kasema street value ya kilo moja ya cocaine bongo ni usd 8500 sasa ukipiga mara 30 ni usd 255,000 ambayo ni milioni 591..siyo hela nyingi kwa wauza unga ma don so it is possible kuwa na mzigo huo ndani.kumbuka walikamatwa na kama usd 12,000 cash na millions kadhaa za kibongo hizo walikuwa wamepokea hela za mauzo ya rejareja mtaani
Kumbe huyu mwamba kanjanja tu mi nkajua mjanja kweli katusua kumbe misheni town...asubili wazee wa kazi waje wamgongee hodi ndio atajua hajuimzigo wao(wa nguo) hawachukui kwa vunjabei kweli.....Mark this tweet
Mh ngumu mjomba kesi za madawa sahvi zimebadilika siajabu huyo mjomba sahv kawazimia simmrangi hao wajomba watatoka na hutaamini, ni watoto wa mtu hapa town sio rahisi kuwafunga ila jamaa anafanya biz kisenge sana. Keshawaharibia madogo ila enewei mfanyabiashara kapata hasara tu hapo
Mauritius ukingia na mipango wanakuachia upite alafu wao sasa wana kutrack mdg mdg mpk wanawadaka wawamalizee vzuri[emoji23][emoji23]Mauritius kule nihatari ukikamatwa ni life sentence
Hao madogo tangu juzi nlipata code zao kudakwa sehemu yenyewe yenyewe walipookotwa nyuma ya mwanamboka sheliBado maisha ya ujanja ujanja matamu halafu mafupi sasa yupo nyuma ya nondo ,hakuna kukaa kwenye balcony 1st floor kula upepo,hakuna kwenda shopping malls ,hakuna ac ya Range Rover ,hakuna bata kule ni kulala mchongoma.
Mauritius ukingia na mipango wanakuachia upite alafu wao sasa wana kutrack mdg mdg mpk wanawadaka wawamalizee vzuri[emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nani yupo nyuma ya huo mzigo? Maana hao machalii lazima Kuna connect ambaye Ni Papa mkuu. Wamtaje. Wamezipataje kilo zote hizo? Kuna mtu hapo mwenye jina lake na pesa zake akamatwe Kama kweli Wana Nia ya kumaliza hilo suala.Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30.
Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na Fatima Shomari(24).
Akiwasomea mashtaka yao, wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon mbele ya Hakim Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya, alidai washtakiwa wanadaiwa kutenda makosa yao, Machi 3, 2021 katika eneo la Kijitonyama Wilaya Kinondoni, washtakiwa kwa pamoja walijihusisha na biashara ya dawa za kulevya aina ya Heroin yenye uzito wa kilo 30.6, wakati wakijua ni kosa kisheria.
Pia, Dalidali na Shomari, wanadaiwa Machi 3, 2021 katika eneo la Kinondoni mtaa wa Kasaba , washtakiwa hao wanadiwa kukutwa na gramu 2.63 za bangi, wakati wakijua kufanya biashara hiyo ni kosa kisheria.
Upelelezi haujakamilika na Hakimu Isaya aliahirisha kesi hiyo hadi Machi 24, 2021 itakapotajwa.
Washtakiwa wamerudishwa rumande kutokana na mashtaka yanayowakabili hayana dhamana kwa mujibu wa sheria.
View attachment 1722917
View attachment 1722918
Walikuwa wanakula bata pro max...Huyo mwenye pajama ya blue mbona mofoloji yake inatia shaka? Ni mwanamme kweli? Halafu 24 mbona wana miili mikubwa sana?
Kwa tz street value ya midevu inacheza 2300000Sisi sio producers wa hayo mambo hivyo haiwezi kuwa na bei ndogo kiasi hicho kuliko USA ambapo ni pua na mdomo.
Pia Tz hakunaga cocaine mzigo mkubwa hivyo maana watumiaji wa cocaine hawapo
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Kuna dada mmja namjua alipigwa maisha
Alizimiaa mahakamani alafu hyo dada mjini alikuwa maarufu tu
Kesi sahv hzi hazijakaa poa bora mtu ukalime matikiti tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
lini hiyo?Kuna dada mmja namjua alipigwa maisha
Alizimiaa mahakamani alafu hyo dada mjini alikuwa maarufu tu
Kesi sahv hzi hazijakaa poa bora mtu ukalime matikiti tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Naomba unitumie picha ya huyo dada wa miaka 24, atapotoka akiwa na hiyo 50, hatokuwa na mizinga ya kutuma na kuyatolea. Askari magareza tunaufidigi pisi mya hiyo ππMtu anafanya biashara kama hiyo anajimwaga mtaani kama vile anafanya biashara halali kweli hawa vijana wanaonekana bado wana ujinga na ushamba mwingi! Apo watatoka jela wakiwa pengine na miaka 50
Ngoja akasote sasa segerea, ndio asha failHuo mzigo wa maana kino yaani dah...ukimaliza huo mzigo kuuza wee kila papuchi inayokupendeza unagegeda tuu.
Hakuna life sentence kwa madawa kule.Mauritius kule nihatari ukikamatwa ni life sentence
Umefanya siku yangu iende vizuri na hii song πππ nimecheka si Tigee tiger kishenziBado yupo chechela,segedansi,nondo,gereza,inside,ndichi,ngome,lupango kunapoteketeza.
View attachment 1723032
Viwanda vitawapaka grease..Eti viduka uchwara! Sema nao wamezidi sana kukariri mambo, yaani kila muuza ngada utakuta anazugia kwenye kuuza nguo, simu au vigari kadhaa vya kuzugia, mbona huwa hawadeal maybe na viwanda vidogo vidogo au vitu vingine?
hii biashara ya dawa za kulevya bado inaendelea?
mamlaka husika wanapaswa waamke, maaana inaonekana wauza madawa ya kulevya wamebuni mbinu nyingine.
miaka mitano iliyopita kulikuwa shwari kabisa lkn hivi sasa wameanza kuibuka tena.
tafadhali vunjeni mtandao wote wa wauza madawa, mtandao unafahamika, kikosi cha kupambana na madawa ya kulevya tafadhali inaonekana kama mmepunguza moto.
Nani kakwambia kulikua shwari? nchi kama Tz haiwezi dhibiti biashara hii bali ni mbwembwe za kujisifu tu.hii biashara ya dawa za kulevya bado inaendelea?
mamlaka husika wanapaswa waamke, maaana inaonekana wauza madawa ya kulevya wamebuni mbinu nyingine.
miaka mitano iliyopita kulikuwa shwari kabisa lkn hivi sasa wameanza kuibuka tena.
tafadhali vunjeni mtandao wote wa wauza madawa, mtandao unafahamika, kikosi cha kupambana na madawa ya kulevya tafadhali inaonekana kama mmepunguza moto.