Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Ubaya hicho kitengo kwa sasa kimesheheni watu wa usalama.

Kila mtu sasa anamuogopa mwenzie.
 
Sijui unaishi dunia gani ndugu,kwa taarifa yako tu hakuna mzungu wa unga asiyejulikana,hususan Dar...mgao unatembea ndo mana wanaexist bado.

Kitu cha pili,sikutishi ila nakwambia toka na hizo info zako kuhusu wazungu wa unga uende ukatoe ushirikiano Police ndo utajua hujui.
 
Wanaandikaga caption ndefu ukosoma unajiona boya kwenye utafutaji
😂😂😂 kuna mwana hua anaandika ma caption yale #Moneymaker#Everyday is holiday#Manhood=Mo money#Money Trap etc hahah,bahati mbaya huko instagram sipo siku hizi sijui aliendeleaje na hizo mambo.
 

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
nakushangaa!!!
unaongelea zama zilizo pita au zama hizi za JPM???
sidhani, vita hii yanmapambano dhidi ya wafanya biashara wa madawa ya kulevya ilikolezwa moto na aliye kuw Mkuu wa Mkoa w DSM na baada ya hapo mapambano yaliendelea na wahusika wengi walikamatwa na wengine walisalimu Amri,
sasa hali inaonekana kama vile imeaanza kuibuka, inaonekana kama vile wamepata nguvu ya kuamka,
tunaomba kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya kiongeze juhudi zaidi.
 
Unaongelea propaganda,naongelea maisha halisi yalivyo mtaani.... anyways, let's agree to disagree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…