Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Tayari keshazoea.
Kesho wataenda muona wengi na mikuku baadae atazoea tu. Tena kwa sasa hata mahabusu kazi mnapiga lazima ataelewa
Huko sahv ni mwendo kulia na kujutiaaa
Anajuta kukutana na wanaume wale sahv

Ova
 
Kuna watoto fulani wa ilala walipewa line hiyo wakapewa na magari ...boss wao aliwachia nyumba hko mbezi ya kimara kama chimbo
Walikuwa full vurugu basi unafikiri walidumu
Waliishaaa nao walikutwa na kg kadhaa
Mpk leo wako ndani wanaenda mwaka wa 3 sasa

Ova

Nawakumbuka wale madogo ile nyumba walikua hawakai walikua pale wanafungia mzigo hadi kulala wakawa wanakaa ilala, upekuzi awamu ya kwanza wazee walitoka holaa kumbe handaki imechimbwa ndani na kuna kigae kizuri kuja kufunua ikawa shida wajinga walikua na magari meupe mawili, task force walijifanya raia wema wametoa taarifa kumbe waliwekwa kwenye target kitambo afu mizigo yao nao ilikua inatokea msumbiji
 
Wale washapotea

Hata hawa maelezo ya kamishna yanasema raia wema walitoa taarifa tarehe 2 march , then tarehe tatu march akadakwa Dalidali akasema mzigo upo kino kwa Alu wakamdaka Alu zigo lioo kwake akaminywa akataja Side, kwenda hiko mdio wakamkuta na huyo demu mwingine na cash dola 14000, na shiling za kibongo milion 13 asee
 
Uzuri ukidakwa utabinywa hadu utasema kila kitu
 
Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30.

Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na Fatima Shomari(24).

Akiwasomea mashtaka yao, wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon mbele ya Hakim Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya, alidai washtakiwa wanadaiwa kutenda makosa yao, Machi 3, 2021 katika eneo la Kijitonyama Wilaya Kinondoni, washtakiwa kwa pamoja walijihusisha na biashara ya dawa za kulevya aina ya Heroin yenye uzito wa kilo 30.6, wakati wakijua ni kosa kisheria.

Pia, Dalidali na Shomari, wanadaiwa Machi 3, 2021 katika eneo la Kinondoni mtaa wa Kasaba , washtakiwa hao wanadiwa kukutwa na gramu 2.63 za bangi, wakati wakijua kufanya biashara hiyo ni kosa kisheria.

Upelelezi haujakamilika na Hakimu Isaya aliahirisha kesi hiyo hadi Machi 24, 2021 itakapotajwa.

Washtakiwa wamerudishwa rumande kutokana na mashtaka yanayowakabili hayana dhamana kwa mujibu wa sheria.

View attachment 1722917
View attachment 1722918
hijabu mida hiyo hukumbukwa kweli
 
Wale washapotea

Ova

Ogopa sana unaenda kwa pusha nae hana mzigo ujue watu wanafinywa sio mchezo, afu tunajisahaulisha watu kama shkuba na chonji tumewasahau ilivokua maana walikua untouchable leo wako wapi, jina papaa halipo mjini siku hizi mtu anaenda kunywa anakaa kwenye kona kabisa kwenye kagiza giza anastua anatembea mbele, enzi za wanamuziki wa dansi kutaja majina kwenye nyimbo zao hazipo, Chief kiumbe the big boss, papaa ndama mutoto ya ngombe, papaa musofe, papaa makala huwezi kusikia ujinga huo awamu hii,
 
Kisha watu wanaponda rais wakat anafanya kweli,

Mm kuna siku nimepata nyumba ya kupanga dsm vyumba vitatu kimoja master, choo cha publiv ndani, seble na jiko! Jamaa akawa anataka laki 3 had nne, mm nikawa naomba anifanyie laki 2.5. Akatokea boya mmoja akamwambia mwenye nyumba atampa lak 8 per month na tena anampangishia totoz yake sio kwamba ataishi yeye.

Ndio utajua nguvu ya atahri za hela ya haya mambo.
 
Kitengo sahv kuna vijana mule wanajuaa balaa
Wanajua kusoma mchezo hadi kukumaliza..
Unafikiri polisi wa vituo fulani wakiwakamata
Watu kama hawa wangewapeleka ubaoni zaidi ya kuchkua mpunga tu
Ogopa mtu anakamata mzg wa mamilion na kila we ukitaka kumuhonga wanachomoa
Wanakwambia wee lazima tukusongeshe

Ova
Hawawezi chukua mlungura, maana nao kuna watu invisible wana wafatilia. Na hao invisible kuna watu wana track.. moto lazima wawe waadilidu tu
 
Kuna watoto fulani wa ilala walipewa line hiyo wakapewa na magari ...boss wao aliwachia nyumba hko mbezi ya kimara kama chimbo
Walikuwa full vurugu basi unafikiri walidumu
Waliishaaa nao walikutwa na kg kadhaa
Mpk leo wako ndani wanaenda mwaka wa 3 sasa

Ova
Huruma kwa yule mzee aliekua analinda ile nyumba,sidhani kama alikua anajua kinachoendelea,wale madogo don wao yuko msumbiji akawa anawatumia mzigo wanaficha juu dari 😀
 
Wivu tu na kuzoea umaskini

Hakuna mtu Mwenye wivu na mtu yeyote yule.

Siku hizo code za huyo mr price zikifunguka..
Ndy utakapoamini lisemwalo lipo.

Jinsi ya kumgunduwa drag dealer yeyote.

A-- chanzo cha pesa zake ni editing tupu.,,
Kila siku ataleta story mpya jinsi alivyopata pesa za msingi wa biashara au utajiri wake.

B-- matumizi ya gharama.( tofauti na anachokifanya)

C-- kutokuiheshimu pesa.(matumizi ya fujo)

D-- makundi anayokuwa nayo..

E-- safari za nje zisizokwisha tena bila kuaga mtu..

Kwa sasa ogopa sana wanao elekea hong Kong.
 
Wangekunyonga wewe.

Me nawaza, unaweza anzisha utaratibu kila mwezi unaenda mtembelea mara moja sero. Huwezi jua anaweza akatoka mzee ukajiopolea kimasihara. Unakua Kama umebet. Asipotoka mkeka umechanika.
😀😀😀😀 hili nalo neno. Ngoja nisubiri wengine watapochoka mie ndio niingiez nawapa mieiz sita tu, wata watenga, alafu mie naingia na nguvu kweli kweli tena ya maana
 
You are right! Umepatia kabisa. Unajua hakuna kinachouma kama mtu unajikunjwa tangu asubuhi mpaka saa 3 usiku na hela huioni wakati kuna mtu amekaa tu na fedha zinaingia halafu wadada wazuri wazuri wanamkimbilia na wewe wanakudharau
Hahahaaaa...hapo sasa ndo tatizo
 
Back
Top Bottom