Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa ndugu zetuMimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
Kwa hiyo ulienda ukweni kuanzia Simiyu, Mwanza hadi Mara? Hicho kilago kilikuwa kipana hadi kuenea mikoa hiyo yote? Elewa swali. Specifications zinatakiwa.Mbona nishataja hapo juu.Kuanzia Simiyu,Mwanza hadi huko Mara
Wallah hiki kitu siwezi kuvumilia kabisa nagairi kula yani nachukia,pia hawajui kula sehemu moja.Mda huu atamega tonge upande huu,ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati...
Wengine watasema watu wote wanaolipa mahari si wastaarabu.Picha linaanza,nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari.Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha.Mda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke,daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula.Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula,kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula,pia hawajui kula sehemu moja.Mda huu atamega tonge upande huu,ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati...Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala.Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya,watu wengi huku kuanzia Simiyu,Shinyanga,Mwanza hadi mara wapo hivyo.Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida,kula na kukibehulia chakula ni kawaida,kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana,Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi,wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Taja na kabila lako tulinganisheWanajisahau sana ha
wa ndugu zetu
Acha mbwembwe wewwUkitaka kula kwa kujitenga wanakuona mchoyo.Ila sikuhizi wameshanizoea.Nikienda ukweni sili na mwenyeji,labda mke wangu tu.
Kila mtu anafanya yake kwa namna alivyo na hulka yake...hatufanani kulingana na makabila au kanda zetu,kila aina ya watu ina mambo yake,hata kwenu kuna kituko chake japo huwezi kukisemPicha linaanza,nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari.Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha.Mda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke,daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula.Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula,kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula,pia hawajui kula sehemu moja.Mda huu atamega tonge upande huu,ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati...Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala.Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya,watu wengi huku kuanzia Simiyu,Shinyanga,Mwanza hadi mara wapo hivyo.Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida,kula na kukibehulia chakula ni kawaida,kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana,Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi,wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
UzinziHivi vitu "table manners" watu hufunzwa wakiwa wadogo sana(1-15 yrs)
Hivi vitu vinategemea sana mila na tamaduni za wqtu
Sehemu ambazo kwa kiasi Fulani zimefanikiwa kuwa table manners ni zile ambazo dini za Kiislam na Kikristo zimefika na ukiangalia kanda ya ziwa Luna sehemu nyingi hazijafikiwa na hawa watu Wa dini
Na ukiangalia sana sio table manners social evils nyingi bado zinaendelea kama
Mimba za utotoni
Mauwaji ya Vikongwe
Mauwaji ya Albino
Ndoa za Utotoni
Matumizi haba ya vyoo
Mikono ya Sweta
Unyanyasaji Wa Kijinsia
Ukeketaji
Ukitafuta Takwimu za matatizo yote hayo hapo juu kwa Tz yamejichimbia zaidi kanda ya Ziwa
Nimekupata Mkuu kiranga. Nitalitafakari hiloWengine watasema watu wote wanaolipa mahari si wastaarabu.
Na kukupa hoja nzuri tu kuonesha hata wewe mlipa mahari unaendeleza biashara ya watu na bado upo katika kundi la watu waliokosa ustaarabu.
Levels.
Wasukuma utawapenda kwenye kula muwa mtu ana muwa mrefu kumzidi anaumenya kuanzia juu hadi chini.
Ndo kabila linaloongoza kwa mashindano ya kula miwa nchini