Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Picha linaanza,nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari.Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha.Mda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke,daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula.Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula,kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula,pia hawajui kula sehemu moja.Mda huu atamega tonge upande huu,ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati...Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala.Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya,watu wengi huku kuanzia Simiyu,Shinyanga,Mwanza hadi mara wapo hivyo.Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida,kula na kukibehulia chakula ni kawaida,kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana,Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi,wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.

USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Mimi walinishangaza kitu kimoja tu.

Baada ya JPM kuwa Rais basi woote kama walivyo walihamia ccm hadi Katibu Mkuu w Chadema na akina Katambi woote.

Baadae wakaanza kumchukia mtu yeyeto anayemkosoa Rais wao.

Yaani ilikuwa kama wamelogwa vile. Kanda ya ziwa wana mambo ya ajabu sana
 
Hio Tabia ilinikera sana mwingine unakuta anashika ugali wote Kama mtu ananyonga sterling ya gari kukata Kona ugali wote unapakwa michuzi hadi kinyaa.
Mtu anaacha kula upande wake anafinya upande wako.
Dah hatari na nusu
 
Kuna mseng.e mmoja tumealikwa sehemu, wao ndiyo wageni waheshima.
Tukawekewa msosi na vibakuli vya mbuzi, kyuma mmoja akabeba kibakuli akapiga supu kisha akakirudisha watu wakaendelea kula hiyo supu, mi nilishiba ghafla
 
Hiyo Cha mtoto, niliwahi kufika singida vijijini, ugali unapikwa kwenye chungu tena ni WA vidude Fulani vipo kama mtama mwembamba ,unga unasagiwa kwenye jiwe, unaliwa na mlenda usioungwa. Chungu kikitoka jikono hawapakui,

Wanawake ni marufuku kula sehemu Moja na wanaume, hivyo chungu kinapelekwa Moja kwa Moja kwa wanaume tena anakisogeza akiwabali. Wanaume watalia humo humo mpaka wakishiba makombo ndio wanawake wanakwenda kula.
Hayo maisha ni ya kipumbavu sana.
Binadamu twapwaswa thamini wengine
 
Kuna mseng.e mmoja tumealikwa sehemu, wao ndiyo wageni waheshima.
Tukawekewa msosi na vibakuli vya mbuzi, kyuma mmoja akabeba kibakuli akapiga supu kisha akakirudisha watu wakaendelea kula hiyo supu, mi nilishiba ghafla
Hiyo ni kawaida sana huku usukumani.Unaweza kushinda njaa kisa huu ujinga wao.
 
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.

USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Ahh mkuu hata ningekuwa mim nisingekula ndo ujinga gani huo.
 
Mimi walinishangaza kitu kimoja tu.

Baada ya JPM kuwa Rais basi woote kama walivyo walihamia ccm hadi Katibu Mkuu w Chadema na akina Katambi woote.

Baadae wakaanza kumchukia mtu yeyeto anayemkosoa Rais wao.

Yaani ilikuwa kama wamelogwa vile. Kanda ya ziwa wana mambo ya ajabu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pana Lile kabila ugali wa moto unaliwa kwenye sufuria kubwa pamoja na sufuria ya mboga Kama camp hivi.
Ukikata tonge ukaachia kisa unaungua mwenzako anapita na tonge lako wao mikono Yao imekomaa.
Hahahh dadek
 
Back
Top Bottom