Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Hiyo Cha mtoto, niliwahi kufika singida vijijini, ugali unapikwa kwenye chungu tena ni WA vidude Fulani vipo kama mtama mwembamba ,unga unasagiwa kwenye jiwe, unaliwa na mlenda usioungwa. Chungu kikitoka jikono hawapakui,

Wanawake ni marufuku kula sehemu Moja na wanaume, hivyo chungu kinapelekwa Moja kwa Moja kwa wanaume tena anakisogeza akiwabali. Wanaume watalia humo humo mpaka wakishiba makombo ndio wanawake wanakwenda kula.
Hahah hivyo vidude fulani vinaitwa Uwele… Yes kule kwetu zama zile nakumbuka wanaume wanakula kwanza, then vyungu vinarudishwa Ke tunaanza kula humo humo, kuna muda ugali wote ushapakwa mlenda 😀
 
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.

USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Bora hao ndugu kuna watu wanaitwa wahutu, wakianza kula kwanza sheria ni lazma kama mnakula mfano ugali nyama ni kwamba nyama moja inaliwa na watu wote mkimaliza ndo mna anza kula nyingine kila mtu ana ivuta nyama na madole yake kwa sisi tusio na ustaarabu huo inatia kinyaa mbaka basi.
Alafu pia mtu akitoweza tonge kwenye mchuzi mboga kwa mfano anatosa midole yake kama koleo ndo anazoa miharage ma mchuzi yote yani yananawa kama mi maji na kujiramba ndo usiseme.
Hawa jamaa wanakula kichafu kuliko hao jaribu kuwafuatilia wanapatikana maeneo kama katavi, kigoma n.k mimi nimewahi kuishi nao nilikua nikijua na share nao chakula nilikua nawaza sana na mda mwingine hakuna alternative n lazma ule nilikua nateseka sana na mda mwingine unatumia lugha picha kuwaelekeza ila hawaelewi yan da.
Si jui kama kuna watu wachafu kwenye kura zaidi ya hawa jamaa. WAHUTU ni hatari[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hawajui kula, je binti Yao unamuonaje kwenye idara zote tatu?
1.Yaani upishi
2. Huduma nyeti pamoja na urembo na tako.
3. Utafutaji....
Dah
Mjinga sana wewe Kanda ya ziwa...
Usirudi tena huku
 
Bora hao ndugu kuna watu wanaitwa wahutu, wakianza kula kwanza sheria ni lazma kama mnakula mfano ugali nyama ni kwamba nyama moja inaliwa na watu wote mkimaliza ndo mna anza kula nyingine kila mtu ana ivuta nyama na madole yake kwa sisi tusio na ustaarabu huo inatia kinyaa mbaka basi.
Alafu pia mtu akitoweza tonge kwenye mchuzi mboga kwa mfano anatosa midole yake kama koleo ndo anazoa miharage ma mchuzi yote yani yananawa kama mi maji na kujiramba ndo usiseme.
Hawa jamaa wanakula kichafu kuliko hao jaribu kuwafuatilia wanapatikana maeneo kama katavi, kigoma n.k mimi nimewahi kuishi nao nilikua nikijua na share nao chakula nilikua nawaza sana na mda mwingine hakuna alternative n lazma ule nilikua nateseka sana na mda mwingine unatumia lugha picha kuwaelekeza ila hawaelewi yan da.
Si jui kama kuna watu wachafu kwenye kura zaidi ya hawa jamaa. WAHUTU ni hatari[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mpaka Karne hii wahutu hawana utaratibu wa kila MTU na bakuli lake la mboga?
 
Wadigo nao kule Tanga wanakula kwenye Sinia moja especially wali au pilau hata watu wanne, wote wanakula kwa mikono baada ya kunawa halafu wanakaa chini kwenye jamvi.
Pamoja na kukaa na kusomea tanga tabia hiyo imenishinda kabisa.
 
Mimi walinishangaza kitu kimoja tu.

Baada ya JPM kuwa Rais basi woote kama walivyo walihamia ccm hadi Katibu Mkuu w Chadema na akina Katambi woote.

Baadae wakaanza kumchukia mtu yeyeto anayemkosoa Rais wao.

Yaani ilikuwa kama wamelogwa vile. Kanda ya ziwa wana mambo ya ajabu sana
Wewe andika wasukuma.Usiwachanganye na watu wengine.
 
Wadigo nao kule Tanga wanakula kwenye Sinia moja
Sio sinia moja,kijiji kizima wanaleta mboga mboga na ugali halafu kuna mfalme wao.
Yalinikuta kijiji fulani,baada kulishwa milenda chukuchuku siku ya pili nikaona isiwe tabu
Agiza kuku 2 zichinjwe ntalipa.
Zikachinjwa chomwa.
Nikajua ntakula nusu aah wapi.
Kakabidhiwa king wao kuku wote.
Ananyofoa kinyama anawapa.
Wanapasiana.
Niliambulia kibawa
Tena wakasema amekuheshimu sana.
Kuku wangu mwenyewe mnampa mtu anigawie.
Nilinuna mpk basi
 
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.

USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.

Unaishi na Dada yao!
 
Mimi walinishangaza kitu kimoja tu.

Baada ya JPM kuwa Rais basi woote kama walivyo walihamia ccm hadi Katibu Mkuu w Chadema na akina Katambi woote.

Baadae wakaanza kumchukia mtu yeyeto anayemkosoa Rais wao.

Yaani ilikuwa kama wamelogwa vile. Kanda ya ziwa wana mambo ya ajabu sana
Mambo gani ya ajabu, kiufupi tulikuwa tunamkubali sana mwamba. Na mpk sasa hayupo ila bado anakubalika sana.
 
Kama ni dagaa basi anachukua dagaa wengi kwa mkono halafu ndo linafata tonge sasa [emoji17]..aaah
Hiii sipendi sana. Unafkiri ni dagaa tu yaani mboga yyte ile yaani ni shida kwa kweli. Halafu kuna inshu ya usafi wa matumizi ya choo nafkiri Kanda ya ziwa kuna changamoto ya usafi sana
 
Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.

Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.

Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.

USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.

Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Siyo kanda ya ziwa yote. Ina maana huyo mke wako mikoa yote hiyo inamhusu. Uwe specific acha sweeping statements.
 
Sie table manner tulifundishwa tukiwa wadogo,ni kitu muhimu sana.mimi mtu akiwa anakula hivyo nami siwezi kula tena nashindwa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Kuna mazingira itakubidi ule. Mi nilikuwa nakula lakini nasomya sana kimoyomoyo. Yaani unajiuliza inakuwaje mtu anaweka tonge mbili ktk mkono mmoja yaani tonge kubwa na dogo analibana kwa juu ktk kigamja...halafu anachota mboga ya mchuzi vile vinyanya kwa vidole yaani anakula mboga kavu Kisha tonge ndo linafata yaani anagusisha vidole vyake na mboga tunayokula watu wengi. Kisha vile vidole vinaingia mdomoni kwake direct wakati anakula mboga kavu kavu kavu...yaani inakera. Ila kikubwa siyo wachoyo ktk chakula mtakula mpaka kila mtu ananyanyuka sema uchafu tuu
 
Back
Top Bottom