Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tuwe wakweli ikiwa hawa woote ni wa hovyo basi Tanzania nzima ni hovyo.Wasukuma
Wahaya
Wachaga
Na wakurya makabila ya hovyo Sana
Hawa ndio big percent nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe wakweli ikiwa hawa woote ni wa hovyo basi Tanzania nzima ni hovyo.Wasukuma
Wahaya
Wachaga
Na wakurya makabila ya hovyo Sana
Aisee pwani kweny natumizi ya choo wako hovyo sana.Tabia za watu masikini katika jamii tofauti zinatofautiana pia. Jamii za watu masikini za vijijini ukanda wa pwani wanaweza kuwa na ustaarabu mkubwa zaidi katika matumizi ya vyoo kuliko sehemu nyingi.
Hapo Chalinze Msoga kwa Kikwete mwaka juzi tumekuta watu wanakunya vichakani hawana vyoo.Nimeenda Nangurukulu nikakuta watu wanakunya pwani baharini.
Nimepita Muhoro mji unanuka mavi.
What are you talking about?
Kumbe kiranga ni mwenzetu?,😆😆Wasukuma hawapo wa aina moja.
David Kidaha Makwaia, Francis Nyalali, Paul Bomani, Andrew Shija, John Momose Cheyo, John Rubambe, Bob Makani, Marcel Komanya, Musobi Mageni, Balozi Nhigula just to name a few, hao wote ni Wasukuma, nimekula nyumbani kwao, the best meals with the best table manners. All types of cuisines.
Nyie mnakwenda kwa watu masikini huko halafu mnachafua Wasukuma wote kwa stereotype za watu masikini, ambao wote mnakula ugali wenye wanga mtupu usio na virutubisho, mkizungukwa na nzi wasiohesabika huko Tanzania.
Acheni stereotypes.
Wasukuma are more than seven million strong, na pia kuna kila aina ya Wakonongo wanaolowea Usukumani kina Magufuli hawa wanajiita Wasukuma, you can't possibly stereotype us and still be accurate.
Njoo kwetu Mwanza, Shinyanga, Mbezi Beach, Oysterbay, New York, New Jersey, DC Massassuchetts, London and all over the world nikuoneshe Wasukuma wanavyokula.
Acha ku steteotype watu kwa kutumia kigezo cha subset ya wenye umasikini na kukosa elimu.
Tukianza kwenda hivyo, ninaweza kusema wabongo mlio Tanzania bado mnakula mavi, ndiyo maana bado mnasumbuliwa na kipindupindu mpaka leo.
😆😆😆😆Usisahau ulaji ubwabwa kwa wazee wa makobazi na ndevu zao wali mtu anauchafua kwa mikono yake yote then anatia mdomoni kisa uliobakia mkononi anakung'utia humo humo kwenye sinia.
I'm all men rolled into one, like the '99 Summer Jam.Kumbe kiranga ni mwenzetu?,[emoji38][emoji38]
Upo sahihiTuwe wakweli ikiwa hawa woote ni wa hovyo basi Tanzania nzima ni hovyo.
Hawa ndio big percent nchini
Hakuna watu wana akhlaq nzuri katika kula kuwazidi Waislam. Hao uliokutana nao ni watu tu wasiofuata Dini yao inavyowafundisha.Usisahau ulaji ubwabwa kwa wazee wa makobazi na ndevu zao wali mtu anauchafua kwa mikono yake yote then anatia mdomoni kisa uliobakia mkononi anakung'utia humo humo kwenye sinia.
Wengine wanasema ni suna kuurudishia wali kwenye sinia haitakiwi umalize wote mdomoni lazima ubakie mkoni.Hakuna watu wana akhlaq nzuri katika kula kuwazidi Waislam. Hao uliokutana nao ni watu tu wasiofuata Dini yao inavyowafundisha.
Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
njaa, mtu akishiba soda anapata taab sana kuimaliza.Japokuwa huja taja kabila ila moja kwa moja hao ni wasukuma hata mkienda sehem ya kuangalia mpira mkagiza kinywaji badala anyway kistarabu hku tukicheki gemu yeye ana piga tarumbeta hata dakika haziishi ....dah...
Juzi kulikuwa na watu Watanzania wa nyumbani na wa Ughaibuni wamekaa, katika kuelekea kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani tarehe 7 Julai, wakawa wanashindana kuongea Kiswahili kilichonyooka. Wengi walipata matatizo.Pia Pana hili la kujamba mbele za watu wengine uenda faragha wengine wanapumua mbele ya watu wanasema eti ni suna ipi ni sahihi.
Kwangu tendo la kujamba mbele za watu ni kitendo kichafu na Cha aibu na kukutambulisha jinsi ulivyo primitives.
Ni dalili za ushoga kujamba hovyo mbele ya watuJuzi kulikuwa na watu Watanzania wa nyumbani na wa Ughaibuni wamekaa, katika kuelekea kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani tarehe 7 Julai, wakawa wanashindana kuongea Kiswahili kilichonyooka. Wengi walipata matatizo.
Sasa, kuna kaka mmoja yuko US jeshini, akaulizwa, katika kuishi kwake US, ameona mambo gani ya ajabu?
Akataja ushoga kuonekana kitu cha kawaida alipokuwa, lakini pia akataja kuwa watu wamejikubali sana kiasi cha mtu kuweza kukaa na wenzake akajamba tu, halafu watu wakacheka, wala isiwe tabu.
Yani watu washakubali kujamba ni aina ya kupumua tu, na pengine wana dawa ya kuyafanya mashuzi yasinuke sana kusumbua watu.
Ukijamba wanakuambia tu "Bless you" wanacheka mlio ulioutoa katika kujamba.
Yani kujibana na ushuzi linakuwa jambo baya kuliko kuutoa mbele za watu.
Hata ushoga sehemu nyingine kama huku Marekani ni maisha tu, ndiyo maana hata huyo mbongo aliye US Army akautaja kama moja ya cultural shock, ila kwenu inaweza kuwa tofauti mkawa mnawanyanyapaa sana mashoga.Ni dalili za ushoga kujamba hovyo mbele ya watu
Kiranga anamaanisha kuna sehemu watu hawalipi mahari, hasa mataifa ya ulaya na America au Nchi ambazo zimestarabikaNimekupata Mkuu kiranga.Nitalitafakari hilo
Sasa wewe mkuu umeoa huko Itongolyangamba utaachaje kukutana na vitu kama hivyo? Kwetu hayo yalishabaki historia watu walishastaarabika!Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe wanasema kuwa haitakiwi mkono ubaki na mabaki ya chakula, kwahiyo wanalamba mikono haswa ili kuisafisha huku wanaendelea kula, pia hawajui kula sehemu moja. Muda huu atamega tonge upande huu, ila tonge la pili litamegwa upande ule na tonge la tatu litamegwa katikati. Nikamtumia meseji waif afanye mchakato aniletee chakula cha peke yangu,kweli kikaletwa nikala. Japo maneo ya chichini yaliongeleka kuwa sipendi kula sahani moja na wenyeji.
Baada ya kuwa mwenyeji hii kanda kwa takribani miaka minne ndo nimegundua kuwa ile siku ya mahari haikuwa bahati mbaya, watu wengi huku kuanzia Simiyu, Shinyanga, Mwanza hadi mara wapo hivyo. Kukuta mtu anakula huku anajichokonoa meno kwa vidole mbele za watu ni kawaida, kula na kukibehulia chakula ni kawaida, kula huku analamba vidole vyote vitano ni kawaida sana, Kula chakula bila kuchagua upande ndo kabisa hawa jamaa ni mafundi, wanadonoa chakula kama kuku.Inatia hasira sana na inakera kushuhudia watu wa namna hii.
Angalau kidogo kwa waliosoma soma na wale wenye exposure ya kusafiri sehemu mbalimbali ndo wanaunafuu.
USHAURI:Wazazi wa kanda ya ziwa wafundisheni vijana wenu ustaarabu wakati wa kula.
Kuna mashemeji zangu walikuja kunitembelea ila nikawaambia waziwazi kuwa sipendi kumuona mtu anakula hovyo kama mbwa hapa nyumbani kwangu.Walienda kusimulia huko walipotoka kuwa nina roho mbaya ila mimi sijali.
Wacha hizo mwehu wewe! Ulishakaa na Wamasai wewe? Ia dada zenu tunawaburudisha ile mbaya!Mimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
Kwa sababu ni jambo chafu kwetu.Hata ushoga sehemu nyingine kama huku Marekani ni maisha tu, ndiyo maana hata huyo mbongo aliye US Army akautaja kama moja ya cultural shock, ila kwenu inaweza kuwa tofauti mkawa mnawanyanyapaa sana mashoga.
Hii kweli aisee yani mtu anakula muwa mrefu umenzid kimo na unaisha🤣🤣🤣Wasukuma utawapenda kwenye kula muwa mtu ana muwa mrefu kumzidi anaumenya kuanzia juu hadi chini.
Ndo kabila linaloongoza kwa mashindano ya kula miwa nchini