Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Tabia za watu masikini katika jamii tofauti zinatofautiana pia. Jamii za watu masikini za vijijini ukanda wa pwani wanaweza kuwa na ustaarabu mkubwa zaidi katika matumizi ya vyoo kuliko sehemu nyingi.
Aisee pwani kweny natumizi ya choo wako hovyo sana.

Mtu anaingia chooni kunya na maji kikombe kimoja?

Bora bara tunatawaza kwa makatatasi tu
 
Nimeenda Nangurukulu nikakuta watu wanakunya pwani baharini.

Nimepita Muhoro mji unanuka mavi.

What are you talking about?
Hapo Chalinze Msoga kwa Kikwete mwaka juzi tumekuta watu wanakunya vichakani hawana vyoo.

Yule mzee tulimuuliza anasema ana watoto wakubwa wameoa na kuolewa na wao nyumba za hazina vyoo
 
Kumbe kiranga ni mwenzetu?,😆😆
 
Usisahau ulaji ubwabwa kwa wazee wa makobazi na ndevu zao wali mtu anauchafua kwa mikono yake yote then anatia mdomoni kisa uliobakia mkononi anakung'utia humo humo kwenye sinia.
😆😆😆😆
 
Usisahau ulaji ubwabwa kwa wazee wa makobazi na ndevu zao wali mtu anauchafua kwa mikono yake yote then anatia mdomoni kisa uliobakia mkononi anakung'utia humo humo kwenye sinia.
Hakuna watu wana akhlaq nzuri katika kula kuwazidi Waislam. Hao uliokutana nao ni watu tu wasiofuata Dini yao inavyowafundisha.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
 
Pia Pana hili la kujamba mbele za watu wengine uenda faragha wengine wanapumua mbele ya watu wanasema eti ni suna ipi ni sahihi.
Kwangu tendo la kujamba mbele za watu ni kitendo kichafu na Cha aibu na kukutambulisha jinsi ulivyo primitives.
Juzi kulikuwa na watu Watanzania wa nyumbani na wa Ughaibuni wamekaa, katika kuelekea kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani tarehe 7 Julai, wakawa wanashindana kuongea Kiswahili kilichonyooka. Wengi walipata matatizo.

Sasa, kuna kaka mmoja yuko US jeshini, akaulizwa, katika kuishi kwake US, ameona mambo gani ya ajabu?

Akataja ushoga kuonekana kitu cha kawaida alipokuwa, lakini pia akataja kuwa watu wamejikubali sana kiasi cha mtu kuweza kukaa na wenzake akajamba tu, halafu watu wakacheka, wala isiwe tabu.

Yani watu washakubali kujamba ni aina ya kupumua tu, na pengine wana dawa ya kuyafanya mashuzi yasinuke sana kusumbua watu.

Ukijamba wanakuambia tu "Bless you" wanacheka mlio ulioutoa katika kujamba.

Yani kujibana na ushuzi linakuwa jambo baya kuliko kuutoa mbele za watu.
 
Ni dalili za ushoga kujamba hovyo mbele ya watu
 
Sasa wewe mkuu umeoa huko Itongolyangamba utaachaje kukutana na vitu kama hivyo? Kwetu hayo yalishabaki historia watu walishastaarabika!
 
Mimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
Wacha hizo mwehu wewe! Ulishakaa na Wamasai wewe? Ia dada zenu tunawaburudisha ile mbaya!
 
Hata ushoga sehemu nyingine kama huku Marekani ni maisha tu, ndiyo maana hata huyo mbongo aliye US Army akautaja kama moja ya cultural shock, ila kwenu inaweza kuwa tofauti mkawa mnawanyanyapaa sana mashoga.
Kwa sababu ni jambo chafu kwetu.
Wao mwanamke kuvaa chupi na sidiria kutembea barabarani ni utamaduni wao bongo ni kipimo cha ukosefu wa malezi na maadili mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…