So, all this shit is culturally subjective.Kwa sababu ni jambo chafu kwetu.
Wao mwanamke kuvaa chupi na sidiria kutembea barabarani ni utamaduni wao bongo ni kipimo cha ukosefu wa malezi na maadili mema
Wanapiga na hawaumwi sasa. Wewe "mstaarabu" ukijaribu utahara mpaka uone kizunguzungu!Watu wa vijijini na usafi ni mbalimbali...
Ukiwa kileji halafu ukaenda kwenye kilabu cha pombe ndio utaona namna watu wasivyojali kanuni za afya...
Pombe ikishawekwa mwenye kile kibaba, lile kombe linakuwa linazunguka kwa kila mtu kupiga funda...
Kuna mikoa pombe inawekwa kwenye ndoo, halafu wadau wanaizunguka na mirija ya kienyeji inayochuja machicha (imetengenezwa kwa mianzi myembamba)...
Nimecheka…. Ntakuja tukachume lade!Asante sana the heroin!Karibu Ihanja hapa ndiyo natoka kuchunga.🙏😂
Hoja siyo kula kwa mkono.Ni kula kwa kuchakura,kujilamba vidole hivyohivyo na kuacha kinywa wazi.So, all this shit is culturally subjective.
Kuna sehemu kula kwa mkono ni kukosa ustaarabu, watu wanakula kwa uma na kisu.
Hao unaowanyanyapaa kwamba wanafanya uchafu kuruhusu ushoga wameendela katika kuruhusu uhuru wa mtu na demokrasia kwa njia ambayo wewe na jamii yako hamjafikia.
Na pengine ndiyo sababu wanawashinda hata kiuchumi.
Nyie mtabaki mnapinga ushoga wakati mnatumia simu za Apple, ambazo CEO wake ni... guess what? Shoga!
Nimekuandalia mapama.🙏Nimecheka…. Ntakuja tukachume lade!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kama sterling ya gari, halafu makelele sasa wale ndugu jamani kwenye kula hovyo hovyo nikama waha tu na wenyewe wapo hivyo hivyo .Hio Tabia ilinikera sana mwingine unakuta anashika ugali wote Kama mtu ananyonga sterling ya gari kukata Kona ugali wote unapakwa michuzi hadi kinyaa.
Mtu anaacha kula upande wake anafinya upande wako.
Mpo vizuri Ingawa hatuchoki kuwatania.Itoshe tu kusema sisi ndio wasu ****
Kama wameendelea kwenye uhuru na haki za binadam mbona wanawalazimisha wengine wafate tamaduni zao huoni ni kinyume na haki za binadamSo, all this shit is culturally subjective.
Kuna sehemu kula kwa mkono ni kukosa ustaarabu, watu wanakula kwa uma na kisu.
Hao unaowanyanyapaa kwamba wanafanya uchafu kuruhusu ushoga wameendela katika kuruhusu uhuru wa mtu na demokrasia kwa njia ambayo wewe na jamii yako hamjafikia.
Na pengine ndiyo sababu wanawashinda hata kiuchumi.
Nyie mtabaki mnapinga ushoga wakati mnatumia simu za Apple, ambazo CEO wake ni... guess what? Shoga!
Ha ha ha ha umenikumbusha mbali, utasikia ninage [emoji16][emoji16][emoji16]Wasukuma utawapenda kwenye kula muwa mtu ana muwa mrefu kumzidi anaumenya kuanzia juu hadi chini.
Ndo kabila linaloongoza kwa mashindano ya kula miwa nchini
Msukuma kwa Bongo hii ni kama maji. Usipoyakoga utayanywa. Tupo kila sehemu 😁😁😁TUNAFIKA POPOTE ULIPO
Hiyo inaitwa packaging [emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni dagaa basi anachukua dagaa wengi kwa mkono halafu ndo linafata tonge sasa [emoji17]..aaah
Wanaoa wake wengi huo muda wakula na watoto hawana, wababa wenye wake wengi, wengi wao hula peke yao hawali na watoto, hivyo watoto hujilea wenyeweHivi vitu "table manners" watu hufunzwa wakiwa wadogo sana(1-15 yrs)
Hivi vitu vinategemea sana mila na tamaduni za wqtu
Sehemu ambazo kwa kiasi Fulani zimefanikiwa kuwa table manners ni zile ambazo dini za Kiislam na Kikristo zimefika na ukiangalia kanda ya ziwa Luna sehemu nyingi hazijafikiwa na hawa watu Wa dini
Na ukiangalia sana sio table manners social evils nyingi bado zinaendelea kama
Mimba za utotoni
Mauwaji ya Vikongwe
Mauwaji ya Albino
Ndoa za Utotoni
Matumizi haba ya vyoo
Mikono ya Sweta
Unyanyasaji Wa Kijinsia
Ukeketaji
Ukitafuta Takwimu za matatizo yote hayo hapo juu kwa Tz yamejichimbia zaidi kanda ya Ziwa
Vijijini kunywa pombe pekeyako ni hatari sana kwa uhai wako, bora wote mnywe chombo kimoja, ila uchafu jamani[emoji24][emoji24]Watu wa vijijini na usafi ni mbalimbali...
Ukiwa kileji halafu ukaenda kwenye kilabu cha pombe ndio utaona namna watu wasivyojali kanuni za afya...
Pombe ikishawekwa mwenye kile kibaba, lile kombe linakuwa linazunguka kwa kila mtu kupiga funda...
Kuna mikoa pombe inawekwa kwenye ndoo, halafu wadau wanaizunguka na mirija ya kienyeji inayochuja machicha (imetengenezwa kwa mianzi myembamba)...
Hata wajita nao hovyo sana vile vyenye ukabila hawachelewi kukuteta kwa kilugha hata kama upo vina mdomo hadi wanaume.Shemeji zangu wahaya ni watu wa hovyo sana,sipendi ile tabia yao ya ukabila.unakuta Mpo wote wao wanagonga kilugha tu.Shubaamiti zao sitoenda ukweni tena(Uhayani).
Ūlīosagala gete nyanda bebe! 😁😁😁Upo nje ya mada Msukuma. Anasemea table Manner. Ni kweli wasukuma hamna table manners mnakula hovyo hovyo. Sijui bwana Maduhu Nyanda huko Marekani mnaishije na usukuma wako au nawe unakula hovyo hovyo maana unaweza kumtoa Msukuma usukumani ila huwezi kuutoa usukuma ndani yake.