Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
So, all this shit is culturally subjective.Kwa sababu ni jambo chafu kwetu.
Wao mwanamke kuvaa chupi na sidiria kutembea barabarani ni utamaduni wao bongo ni kipimo cha ukosefu wa malezi na maadili mema
Kuna sehemu kula kwa mkono ni kukosa ustaarabu, watu wanakula kwa uma na kisu.
Hao unaowanyanyapaa kwamba wanafanya uchafu kuruhusu ushoga wameendela katika kuruhusu uhuru wa mtu na demokrasia kwa njia ambayo wewe na jamii yako hamjafikia.
Na pengine ndiyo sababu wanawashinda hata kiuchumi.
Nyie mtabaki mnapinga ushoga wakati mnatumia simu za Apple, ambazo CEO wake ni... guess what? Shoga!