Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

Kwahiyo unawapangia watu wapi waweke funguo zao?

Hivi kwa mfano unaenda kwenye family gathering au workmates gateway ukining’iniza kifunguo cha Passo yake ni kwamba unawavimbia hao unaokutana nao wakati wanakujua abc??

Hii nadharia yako sidhani kama ni sahihi. Mwisho tutasema hata huyo tajiri alikunywa Hennessy kumuoshea rafiki yako aliyekuwa anapayuka payuka hapo of which tayari tutamtoa huyo tajiri kwenye hiyo humbleness unayoisema.
 
Your opinion is noted, with thanks.
 
Kumbe wembamba na unene nao unahusianishwa na utajiri ? [emoji28][emoji28]
 
Hii Chai kabisa
 
Dah wakina mzabzab tunasema hapa.🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23] watu majasiri sana..
Pana dogo mmoja Kariakoo hapo alikua ana mafunguo mpaka ikabidi tumwite mafunguo gari moja ila ana funguo mpaka za Audi anaamua atoke na funguo ipi gari ni lile lile ilikua Starlet Manual anaiamini balaa utamsikia hii inazoa popote ni swala la kusotea tu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
Nmevuta picha jinsi wanavolalia izo bodaboda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ILA JF INAWATU...
 
Debe tupu........[emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukisikia watoto wa mjini ndiyo hao sasa...
 
Wanachomeka funguo kiunoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni sehemu gan sahh kuweka funguo za gari/nyumba kwa mwanaume?? Kumbka sie wanaume hatutembei na vibegi kama wanawake. Kumbuka funguo zina ncha kali kwa hvo nikiweka kwny mfuko wa suruali zinatoboa mfuko,,, mm naona kuninginiza kwny huksi ni sahihi kabisa sio show off.
Naona tu nimevuka kiumri 😁 mali sina....ila Sijawahi kuelewa kabisa show show za hivo, kuna watu wakiazima gari basi anaweka funguo kiunoni aseeeee
Inabidi aweke wapi hzo funguo?
Mbona point zake zina mashiko kabisa asee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…