Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Kujiingiza katika upande wa kuongoza.
Kujiingiza katika uongozi ambao wewe mwenyewe ndio umeukabidhi kwao kwa hiyari yako!!, hiyo inaleta sense??!, isitoshe katika hiyo miaka 100 tangu ulipowakabidhi nchi una uhakika wewe utakuwa hai ili UJIPENYEZE uongozini??-- kumbuka miaka mia ni muda wa mabadiliko mapya.na hata wale ambao utakuwa umewakabidhi nchi labda watakuwa wamekufa hivyo katika hali hiyo ya kujipenyeza au tuseme kukabidhi madaraka ni lazima kutakuwa.na mivutano na vita kubwa, kumbuka jinsi Tz tulivyopata uhuru kutoka kwa Muingereza, Muingereza alikabidhiwa Tanganyika kuiongoza tu hadi uhuru kutokaa kwa League of Nations baada ya mjerumani kunyan'ganywa Tanganyika lakini Muingereza alikuwa hataki kuondoka.