Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Kwenye huo mtihani, mimi nimeandika tu jina then nikatoka kwenye chumba cha mtihani. Nitajitahidi kuwa mwema kwa namna niliyojiwekea na kufanya yanayowezekana ila si kwa kupambania kuingia peponi.Pambana nae.Wanasema tumepewa mtihani, ukimshinda unaingia peponi..ukichemka basi ni kiberiti tu tena milele.
Utasumbua fuvu bila sababu, it doesn't matter, cha kuzingatia ni utachomwa na hautakua majivu, goal siyo kukuadhibu ila ni kuhakikisha unateseka milele!Sijajua sasa huo moto umewashwa lini..huko uliko tayari unawaka,anauwasha au atauwasha siku hiyo wakati wa hukumu.
Wa unyamwezini haswaaaa, ndiyo imani za kwetu hizi baba Antpass!Kufa ni lazima mkuu, kama ambavyo Kila siku viumbe vipya vinazaliwa na kufa hivyo hivyo. Hizi dini zimetufunga kwenye hofu kuhusu kifo. Mim binafsi naamini kifo ni kizuri na ni haki ya Kila kiumbe hai kufa kuachia nafasi ya kiumbe hai kingine kuzaliwa. Najiuliza na kuona tangu nimepata akili ya utambuzi ni ndugu na jamaa wengi wamefariki wameondoka duniani( ulimwengu wa nyama) ila nikiwaza naamini wamekufa kimwili ila kiroho wapo hapa hapa ulimwenguni(upande wa Dunia ya kiroho) ambapo kama upo ktk ulimwengu wa nyama huwezi kuiona Dunia yao. Mm naamini ndugu zetu tunaishi nao hum hum na Mimi siku nikifa nitaungana nao kwenye ulimwengu wao. Mambo sijui ya kuchomqna moto sijui kufufuka sijui kupigwa virungu kaburini sijui mabikra 72 mara mito ya maziwa huo ni upuuzi agenda za kikuda... Mim naamini hivyo
Ila Joe 😅 😆😆 😂Mungu mwenyewe anapenda wanavyochinjwa kama sadaka ya kuteketezwa kwake na tena huwa anataka kondoo alienona. Ukimtolea sadaka mnyama aliejikondea au ukateketeza mchicha,chainizi ,kunde sijui maboga kama Kaini anakumind na anaweza kukushushia kipgo kwa njia yoyote ile.Kwenye vitabu vyake amehalalisha tuwachinje na kuwala, ametoa hadi orodha ya wanyama wakuwala na wasiotakiwa kuliwa. Wanyama hawawezi kutoboa.
Kwahiyo Mungu hana uwezo wala mamlaka ya kufanya kiumbe kikazaliwa au kufa, right?Hivyo vifo vya watoto havina uhusiano wowote na hidden or unseen forces.
Ripoti aliyoitoa daktari baada ya hivyo vifo kutokea, hiyo ndiyo sababu iliyopelekea vyao kutokea, nothing else.
Hoja nzito, nina follow up questions, nitarudi nazo asubuhi!Kila dini kuu ina namna yake ya kuelezea na kupunguza maumivu ya kitendawili hiki kizito cha mateso ya watoto wadogo.
Hapa kuna uchambuzi wa mitazamo ya dini kuu mbili zinazofuatwa zaidi nchini Tanzania na duniani kote:
1. Mtazamo wa UkristoUkristo unakabili tatizo hili kupitia mafundisho ya historia ya uumbaji, upendo wa Mungu, na maisha baada ya kifo:
Matokeo ya Anguko la Dhambi: Ukristo unafundisha kuwa Mungu aliumba ulimwengu ukiwa mkamilifu bila magonjwa. Magonjwa na kifo viliingia duniani baada ya Adamu na Eva kuasi, jambo lililoharibu mfumo mzima wa uumbaji na biolojia ya mwanadamu. Watoto hawaumizwi kwa sababu ya dhambi zao wenyewe, bali kwa sababu wanaishi katika ulimwengu uliopo chini ya athari za anguko hilo.
Mungu Anayesumbuka Pamoja Nasi:
Tofauti na dhana ya Mungu aliye mbali na maumivu, Ukristo unamwonyesha Yesu Kristo kama Mungu aliyetwaa mwili na kuteseka physically msalabani.
Hii inawapa Wakristo faraja kwamba Mungu anaelewa maumivu ya mateso ya mtoto, kwani naye alishuhudia Mwanae akiteseka na kufa.
Matumaini ya Paradiso na Ufufuo:
Watoto wanaokufa wadogo wanaaminika kwenda mbinguni moja kwa moja kwa sababu hawana dhambi ya makusudi. Maumivu yao ya hapa duniani yanahesabiwa kama ya kitambo kidogo sana yakilinganishwa na furaha ya milele watakayoipata mbinguni ambako hakuna ugonjwa wala kilio.
2. Mtazamo wa Uislamu
Uislamu unatazama maisha ya dunia kama sehemu ya mpango mkubwa wa mtihani na malipo ya Akhera😀unia ni Mahali pa Mtihani (Balaa):
Uislamu unafundisha kuwa dunia si mahali pa raha kamili bali ni darasa la mtihani. Qur'ani inasema binadamu atajaribiwa kwa hofu, njaa, na upungufu wa mali au nafsi (vifo).
Mateso ya mtoto ni mtihani mzito, hasa kwa wazazi wake, ili kuona kama watasubiri (kuwa na subira) au watamkashifu Mwenyezi Mungu.Watoto ni Wema na Hawana Madhambi: Katika Uislamu, watoto huzaliwa katika hali ya usafi wa kiasili (Fitrah).
Hawana madhambi yoyote. Mtoto anayekufa kabla ya kubalehe hahesabiwi makosa yake, na huenda moja kwa moja Peponi (Jannah).
Nafasi ya Shifaa (Uombezi): Kuna mafundisho ya Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) zinazoeleza kuwa watoto waliokufa wadogo watakuwa milango ya Peponi wakiwasubiri wazazi wao waliovumilia msiba huo kwa subira, na watawaombea msamaha kwa Mungu ili waingie nao Peponi.
Hekima ya Kimungu (Al-Hikmah):
Uislamu unasisitiza kuwa Mwenyezi Mungu ana sifa ya Al-Hakim (Mwenye Hekima Yote). Binadamu anaona tukio moja kwa wakati mmoja, lakini Mungu anaona mwanzo na mwisho wa kila jambo, hivyo kuna hekima kubwa nyuma ya kifo au ugonjwa wa mtoto ambayo binadamu hawezi kuing'amua sasa.
Naikubali zaidi nadharia ya ubudha(Budhism) ya pain and suffering.Kila dini kuu ina namna yake ya kuelezea na kupunguza maumivu ya kitendawili hiki kizito cha mateso ya watoto wadogo.

Umesema vyote, mimi naaamini Mungu wa dini za Abrahamu (wakristo, waislamu, wayahudi) ni sadistic. Wakati niko mdogo nasoma hizi stori nilikua naogopa sana kwamba mbona huyu mungu anaua sana watu na ni katili.Yeye mwenyewe aliamuru watoto wasio na hatia wauwawe kwa kukatwa katwa kama nyama (1Sam 15:3). Pia aliwauwa mwenyewe watoto wasio na hata hadi watoto wa wafungwa kwa kosa farao ambaye ni yeye mwenyewe alikuwa anamshika mawazo yake kwa kumfanya awe mkaidi makusudi, na wengi wengine kwa maji katika gharika ya Nchi na moto katika kosa cha Lutu. In fact, nadharia kuwa Mungu wa kiyahudi (naamini ni tofauti kdg na Mungu wa Wakristo na yule wa Waislamu) anajali kuhusu uhai wa watoto sio kweli.
Ukisoma KUTOKA 20:3 na kuendelea Biblia inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanaonichukia, lakini ninaonesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaonipenda na kuzishika amri zangu"Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako.
- Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer za watoto, matatizo ya moyo, ubongo, upumuaji etc.)
- Kwanini mungu wako anaruhusu ujauzito utungwe, mtoto akue mpaka akaribie kuzaliwa halafu afie tumboni?
- Naomba kueleweshwa; kwanini Mungu wako muweza yote, anaruhusu vifo vya watoto wasio na hatia? Na, ni nini sababu ya kuwaumba watoto wakiwa na mapungufu ambayo anajua yatakatisha uhai wao?
SABABU YA KULETA HUU UZI:
Nimeumia 😭, mtu wangu wa karibu amepoteza watoto wawil mapacha; mmoja amefia tumboni, mwingine amezaliwa na uvimbe kichwani, amemaliza siku tano amefariki. Inaniwia vigumu kuamini kwamba kuna sababu yoyote hawa watoto walistahili hayo waliyoyapitia.
View attachment 3588755
Naomba utumie lugha nyepesi na unifundishe, kama kuna Mungu kwanini anaruhusu mambo ya kikatili namna hii?
Asante na Alamsiki!
Kwa hiyo walioishi kabla ya Yesu wamekufa na laana zao?? Maana damu ya Yesu haikuwepo kabla yake. Sema yeye anatuamrisha tusamehe 7x70=490 wenzetu wakitukosea chakushangaza babu yako akikosea basi mnakula laana cheni nzima bila msamaha na hapo usikute ni kosa moja tu. Mungu anakaa na kisirani na hasira kwa kiumbe hiki dhaifu,anatuonea tu.Ukisoma KUTOKA 20:3 na kuendelea Biblia inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanaonichukia, lakini ninaonesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaonipenda na kuzishika amri zangu"
Adhabu hizi zitaendelea vizazi na vizazi mpaka pale mnyororo huo utakapokatwa na damu ya Yesu Kristo na kutoka katika laana ya Mungu. Ni pale tu watakapomtambua Yesu ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yao na kuamua kumfuata Yesu kwa maosha yao yote.
Poleni sana mkuu.Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako.
- Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer za watoto, matatizo ya moyo, ubongo, upumuaji etc.)
- Kwanini mungu wako anaruhusu ujauzito utungwe, mtoto akue mpaka akaribie kuzaliwa halafu afie tumboni?
- Naomba kueleweshwa; kwanini Mungu wako muweza yote, anaruhusu vifo vya watoto wasio na hatia? Na, ni nini sababu ya kuwaumba watoto wakiwa na mapungufu ambayo anajua yatakatisha uhai wao?
SABABU YA KULETA HUU UZI:
Nimeumia 😭, mtu wangu wa karibu amepoteza watoto wawil mapacha; mmoja amefia tumboni, mwingine amezaliwa na uvimbe kichwani, amemaliza siku tano amefariki. Inaniwia vigumu kuamini kwamba kuna sababu yoyote hawa watoto walistahili hayo waliyoyapitia.
View attachment 3588755
Naomba utumie lugha nyepesi na unifundishe, kama kuna Mungu kwanini anaruhusu mambo ya kikatili namna hii?
Asante na Alamsiki!
Na siku ya hukumu itawekwa Tv mbele yenu wote kila mtu aone maovu yake aliyotenda duniani. Hiyo haina kupeleka mbele ila kunakurudisha nyuma kama hujaona vzur au hujaelewa ulianyaje hilo tukio,,labda ulilifanya umelewa hulikumbuki vzuri. Sasa kama ulikuwaga unajichukulia sheria mkononi siku hiyo tutakuona unavyopanda mnazi na kushuka kwa mkono mmoja. Ukitaka hata slow motion utawekewa. Haina kukimbia hiyo judgement day wala umeme hutokatika.Kwenye huo mtihani, mimi nimeandika tu jina then nikatoka kwenye chumba cha mtihani. Nitajitahidi kuwa mwema kwa namna niliyojiwekea na kufanya yanayowezekana ila si kwa kupambania kuingia peponi.
Utasumbua fuvu bila sababu, it doesn't matter, cha kuzingatia ni utachomwa na hautakua majivu, goal siyo kukuadhibu ila ni kuhakikisha unateseka milele!
Aisee🙌🏾🥹Mungu mwenyewe anapenda wanavyochinjwa kama sadaka ya kuteketezwa kwake na tena huwa anataka kondoo alienona. Ukimtolea sadaka mnyama aliejikondea au ukateketeza mchicha,chainizi ,kunde sijui maboga kama Kaini anakumind na anaweza kukushushia kipgo kwa njia yoyote ile.Kwenye vitabu vyake amehalalisha tuwachinje na kuwala, ametoa hadi orodha ya wanyama wakuwala na wasiotakiwa kuliwa. Wanyama hawawezi kutoboa.
SadWenye dini zao wanasema binadamu tumpewa wanyama tuwatawale, kwenye vitabu vya hizi dini zetu picha linaanza sadaka ni nyama ya kuchoma😁
Yaan mkuu,acha tuUmeandika hii comment huku umeshika mshkaki wa kondoo
Mungu muweza wa yote kwanini asiziue hizo nguvu mbayaKuna nguvu mbili na hizi nguvu zinafanya kazi kwa wanadamu, huwa zinatafuta legal ground kufanya jambo. Nguvu mbaya ( demoni power ) na Nguvu za Mungu. Matukio yote ni matokeo ya hizo nguvu katika kupata haki kisheria katika ulimwengu wa roho katika kusabaibisha jambo katika ulimwengu wa roho
Dini zimeongeza ustaarabu Gani ?hizi dini tatu hizi za Abrahamic Religions huwa hazihitaji mtu utumie reasoning wala logical thinking.
Ukianza kufanya reasoning na logical thinking tu, kuna maandiko mengi utaanza kuya-doubt kwenye dini yako.
Hawataki maswali ya ku-reasoning.
Ukifanya reasoning, starting asking questions, watakushambulia na kukwambia "imani yako haba."
Faida kubwa ya hizi dini, zimeongeza ustaarabu, otherwise dunia ingekuwa troubled mno.
Ukizichukulia hizo Abrahamic Religions kwa mtizamo huo, ni poa sana.
Just lower your expectations lakini lenga mbali (aim very far) tufute chozi kisha tusogeze siku, when our time is up (death) tutarudisha nutrients kwenye food chain - food web.
Tutarudisha nutrients ili viumbe vingine vistawi kwa hizo nutrients (directly or indirectly) na hivi viumbe vingine navyo muda wao utaisha, vitarudisha nutrients na vyenyewe, the circle goes over and over again.
Life! Ukiliwaza sana logically , unaweza usione umuhimu wa kuwepo duniani, kila pakikucha tunazidi kusogea kwenye kifo.
Uzuri ni kwamba kila binadamu anayo ile mentality kwamba "kesho will be a better day" ila without this one, aiseeee tungekuwa "wanyama (cruel)" mno, the end of humanity.
Siku hizi nimekuwa kavivu sana mayu🤦🏽♀️Sitakubishia, Sebha ale wawiza Ng'wanike, bokagi ulombe 😂
View: https://youtu.be/dBWl1xzj20c?si=U6on1HvKClOc-qBU
Ikiwa sisi wanadamu tumepiga marufuku au tumeharamisha adhabu za ujumla "collective punishment" inakuaje mungu mkamilifu aione ni sawa??Ukisoma KUTOKA 20:3 na kuendelea Biblia inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanaonichukia, lakini ninaonesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaonipenda na kuzishika amri zangu"