Binadamu wameweza kumfikiria mungu alivyo, ndio maana kila jamii ina tafsiri yake ya mungu au mungu wao ni tofauti na wengine. Kwa mungu anayefikiriwa na Abrahamic religions ana tabia nyingi za kiume.Siku moja Binti wa zamani alikuwa anatembea pembeni kidogo ya bahari, kwa mbele kidogo akamuona mtoto mdogo amechimba kashimo kadogo, anachota maji ya babari anakuja kumwaga katika shimo lile dogo, anarudia tena anachota maji anakuja kutaweka kwenye lile shimo.
Basi Binti wa zamani akasimama na kumuuliza yule mtoto, we mtoto hivi kwa akili yako unahisi unaweza kuyahamisha maji ya bahari na yakajaa kwenye hicho kishimo kidgo mithiri ya kisado ulichochimba?
Yule mtoto akamjibu kwa kumuuliza iv unahisi kwa akili yako unaweza kumfikiria Mungu jinsi alivyo?, yule mtoto akatabasamu akaendelea na kazi yake.
Ikiwa yeye ni mwenye nguvu zote na upendo wote kwa nini aliwaumba watu wengine akawapangia wafe utotoni au kwa maumivu makali sana?Poleni sana mkuu.
Najaribu kuisimplify theolojia kama ifuatavyo: Mungu haruhusu mambo hayo kwa wakati unaoyaona wewe yakitokea, bali alishayaumba tangia mwanzo alipomuumba mtu(dunia/binadamu).
Na huyo unayemuona kama kichanga leo, mliumbwa naye wote kwa pamoja siku moja lakini kila mtu akakasimiwa urefu wa uhai wake na kwa muda gani aanzie na aishie.
Utaratibu huo unaendelea 'automatic' tangu mwanzo mpaka mwisho(kiama).
Wadhani Mungu mwenyezi anawaumba binadamu na kuwafisha kila siku, si angelikuwa busy sana na angelichoka?
Kila mtu na siku yake na kwa wakati wake na kisababishi cha kifo chake keshawekewa.
Ndiyo mantiki ya msemo huu hata kama mtu anafariki: 'yote ni mapenzi ya Mungu', kwamaana kwamba hizo ni program alizokwishaziset tayari.
Ukiwa mfuasi wa dini wewe hupaswi kupata changamoto kama wengine?Sikufikiria, ila hawa waliofiwa wanamuamini Mungu na ni wafuasi wa dini haswa haswa.
Jibu lililozoeleka na nani?
Nawaombea na wale waliokataa tamaa,RC tunaambiwa kuna dhambi ya asili.. tuliyorithi kwa kina Adam na Eva. So watoto wanazaliwa nayo.. ndio maana tunabatizwa⦠kwa wengine sijui.. so kikombe hakiepukiki
Kunafuta dhambi ya asili.. na zile ulizofanya b4 ubatizwe km hukubatizwa utotoni.Nimekuelewa.
Nadhan Kubatizwa hakufuti dhambi.
Ila ni kujitambulisha kuwa ww ni wa nani.
Nakumbuka pia Imeandikwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
Hapa umeongelea Dini.
Ila AYnay anaunganisha iman hizi na kanuni na mambo ya rohoni.
Je ni sayansi au nn?
Shalom shalomNawaombea na wale waliokataa tamaa,
Ili nao wajue ya kuwa upo kati Yao,
Waguse bwana,
Mwokozi wangu, wajue kuwa wewe upo,
Waguse Tena mwokozi watembelee,
Waguse bwana,
Mwokozi wangu, wajue kuwa wewe upo
Waguse Tena, mwokozi wangu watembelee,,
Hili ndo jibu la muuliza swali mkuu?Mungu ni business za wajanja ndio maana mungu waliye aminishwa Waafrica na kumkarili siye mungu ambaye wachina wana muamini au wahindi na Bado wana mafanikio makubwa kuliko watu Waafrica it means mungu wanaye Muamini Waafrica ambaye walifundishwa na wazungu + Waarabu ameshindwa kuwa mungu mtatuzi wa kero zao kiasi kwamba amezidiwa na mungu wa Wa china na wahindi !!!
Shtuka
Shalom shalomShalom shalom
Ungesaidia kutufunza hapa kuwa ukikosea jambi fulani unazaa mtoto mwenye tatizo kadhaa..Changamoto ni pale tunapotafuta wa kumlaumu kwa kujifariji makosa yetu. Iwe mungu au shetani.
kuwa na sehemu za siri au kujua kufanya ngono sio kigezo cha kujiona una elimu ya uzazi, wengi kwasasa wanazaa kwasababu wamekuta wengine wanazaa ni wachache mno wana elimu na huo uzazi.
Mtoto kuzaliwa na ulemavu, kifo cha vichanga na changamoto zote za watoto ulizoandika hapo hayo ni makosa ya wazazi kutozingatia na sio Mungu wala shetani.
Labda kama hauelewi maana ya akili kuwepo kwa kiumbe, ndio hapo lazima atafutwe wa kutupiwa lawama kama hivyo ili kujiondolea hatia.
Ni kama kwenye spreadsheets ukikosea formulas au kuingiza data utapata wrong results, sio kwasababu developer alikosea bali ni kwasababu mtumiaji umefeli/umekosea.
Kama umeshindwa kuliona jibu hapo huo ni ujinga wako so that's non my business deal with your arroganceHili ndo jibu la muuliza swali mkuu?
Kwamba huko kwa wachina na wahindi wanaoamini Mungu tofauti na wanaomwamini waafrika huko hakuna matatizo kama haya alio yauliza ?
Kwamba China na uhindini watoto hawafi ?
"Dini ni njia ya dhaifu ya mwanadamu ya kuutafuta uungu" - nimelichukua hili πDini ni njia ya mwanadamu kutafuta uungu, ni mojawapo wa njia dhaifu sana kwani wakati ina patikana mwadamu alikua mdogo sana ki fikra, ki akili, kimtazamo na ki upeo.
Ndio maana dini ina visaidizi vingi vya kumfikia Mungu , kama maji ya baraka, msalaba, biblia, wanadamu maalumu kama wachungaji, mitume manabii nk.
Sawa kaka, nimekuelewa na uko sahihi!Ila ukweli uwezo wa Mungu hauhitaji kisaidizi chochote kumfikia mwadamu.
Kwa hio dini isikusumbue dhidi ya u Mungu, dini haina miaka 1000 mingine kusalia kama ilivyo sasa.
Vitu vinavyokinzana vinawezaje kukubalika kwa kwa wakati mmoja?Mungu ni Mwenye Upendo (Premise A), lakini anaruhusu mateso ya wasio na Hatia (Premise B).
Hapa inaonekana kupinga upendo huo, lakini waumini wanaamini vyote vipo kwa mpango mmoja.
Dhumuni la kujaribu wanadamu ni nini?Kwenye maandiko yake M/Mungu anasema β nitawajaribu watu wangu kwa kuwapa mitihani mbali mbali ya magonjwa, vifo, ulemavu, kufilisika na majanga mbali mbali na atayeniamini ataokoka β
Asante, hatujapoa!Polee sana kwa mitihani mkuu
jibu ni hili
Mungu ni nguvu si kiumbe .. Na hiyo nguvu hua haiingilii jambo bila kuamriwa ilifanye .. kwa mfano ilipaswa huyo mjamzito kwa ssaala aiamuru nguvu hiyo imjaalie watoto wenye afya na uzima inge tii .. ILA NGUVU HIYO KAMWE HAIWEZ KUBADILI UALI YA MTU BILA RUHUSA .. tujifunze kusali kwa iman yeyote tu .. ELEWA TU MUNGU NI NGUVU SI KIUMBE MFANO LAHISI CHUKULIAGA MUNGU NI SAWA NA MOTO .. moto unaweza ukautumia utakavyo ila moto kama moto wenyewe hauwez ukajiamria tu kua leo ngoja ukuchomee nyama choma au ngoja leo ukuchomee nyumba .. bali ww utakavyo utumia ndivyo utafanya ... Na mungu pia yupo hivyo...ni nguvu ipo tuli tu uibadili ww ikusaidie nn ?.
jibu ni hili
Mungu ni nguvu si kiumbe .. Na hiyo nguvu hua haiingilii jambo bila kuamriwa ilifanye .. kwa mfano ilipaswa huyo mjamzito kwa ssaala aiamuru nguvu hiyo imjaalie watoto wenye afya na uzima inge tii .. ILA NGUVU HIYO KAMWE HAIWEZ KUBADILI UALI YA MTU BILA RUHUSA .. tujifunze kusali kwa iman yeyote tu .. ELEWA TU MUNGU NI NGUVU SI KIUMBE MFANO LAHISI CHUKULIAGA MUNGU NI SAWA NA MOTO .. moto unaweza ukautumia utakavyo ila moto kama moto wenyewe hauwez ukajiamria tu kua leo ngoja ukuchomee nyama choma au ngoja leo ukuchomee nyumba .. bali ww utakavyo utumia ndivyo utafanya ... Na mungu pia yupo hivyo...ni nguvu ipo tuli tu uibadili ww ikusaidie nn ?.
Vitabu sahihi vya dini ndiyo vipi? vimeandikwa na nani na kwanini tuvisome hivyo?Mkiambiwa msome dini mnajifanya kichwa ngumu hayo maswali yanajibiwa ndani ya vitabu sahihi vya dini
ππππ Copy thatGen Z tunatoka kwenye siasa za ku-attack chama vya siasa, sasa tuna-attack mpaka ulimwengu wenyewe, even the so called Mungu, naye tunamu-attack.
All out attack! Massive attack!
Wewe uliyesoma mbona huleti majibu kwetu sisi tusioelewa ili tupate nguvu ya kusoma kama wewe.Kumuelewesha mjinga ni kazi ngumu kaa chini soma utapata majibu !!!!!!!