Oh! Kumbe swali lipo namna hii.Watoto wa Gaza, Ukraine, Sudan, Lebanon na Congo wanaouwawa vitani wamevunja sheria na kanuni gani ambayo inamzuia mungu kuingilia??
Kwanini yeye atasalia milele ilhali amaeumba dunia ambayo by design itajifia yenyewe kwa kuangamizwa na joto la jua?Mwenyezi Mungu atasalia kuwa Mungu milele na milele haidhuru ni hali gani ikutayo mwanadamu .
Mwanadamu amejipa au amepewa na maandiko, wale wakristo siyo kwamba kwenye kitabu cha mwanzo mliambiwa mtatawala vyote vilivyopo duniani?Kwanza mwanadamu ni kiumbe mdogo sana katika viumbe wa ulimwengu ni vile tu amejipa umuhimu kuliko vyote.
Mungu ni mkamilifu kivipi? ukamilifu wake upo wapi kama anaumba viumbe wasio wakamilifu, wanaozaliwa na magonjwa yasiyotibika na ambao wanakufa baada ya siku au wiki kadhaa.Mwenyezi Mungu ni mkamilifu na mwanadamu na viumbe vingine vyote ni dhaifu, udhaifu wetu ni pamoja na changamoto hizo za afya mazingira nk ila hayo yoote ni ili ukuu wa Mungu uwe.
Wewe ni msukuma mkuuNg'wanike, huyo Mungu wako ana maajabu sana π
kwani wewe Mungu unayemuamini, ameweza kufanya hayo uliyoyaainisha tofauti na Mungu wangu?Umetumia vigezo gani kuamua hayana mantiki?
Tofauti na Mungu gani unayemzungumzia wewe? maana wako wengi sana, umemaanisha yupi?
Watoto wanaokufa kabla hawajabatizwa wanabaki na dhambi zao za asili?Kubatizwa kunatoa identinty mpya kwa anaebatizwa ( utambulisho mpya ) katika utu mpya baada ya kuacha na utu wa kale katika namna ya rohoni.
Dhambi inayo ondoka katika ubatizo ni utu wa kale na taarifa zake katika dhambi, makosa , maovu pamoja hatia ikijumuisha na hukumu zake, ila kuna asili na nguvu za dhambi hubaki katika nafsi ambapo huwa kunatakiwa kuwepo na badiriko ambayo ni responsibility muhusika ( kila mtu atabeba zigo lake - ipo katika nafsi )
Tukizungumza sayansi katika namna ya roho unaelewaje mkuu wangu ? ( Ulimwengu wa roho una kanuni na sheria zake ) ndio unaona shetani anajitapa hadi.. kama utakumbuka Yesu alimuambia Yohana lazima tutimize haki yoye
Kufa ni lazima mkuu, kama ambavyo Kila siku viumbe vipya vinazaliwa na kufa hivyo hivyo. Hizi dini zimetufunga kwenye hofu kuhusu kifo. Mim binafsi naamini kifo ni kizuri na ni haki ya Kila kiumbe hai kufa kuachia nafasi ya kiumbe hai kingine kuzaliwa. Najiuliza na kuona tangu nimepata akili ya utambuzi ni ndugu na jamaa wengi wamefariki wameondoka duniani( ulimwengu wa nyama) ila nikiwaza naamini wamekufa kimwili ila kiroho wapo hapa hapa ulimwenguni(upande wa Dunia ya kiroho) ambapo kama upo ktk ulimwengu wa nyama huwezi kuiona Dunia yao. Mm naamini ndugu zetu tunaishi nao hum hum na Mimi siku nikifa nitaungana nao kwenye ulimwengu wao. Mambo sijui ya kuchomqna moto sijui kufufuka sijui kupigwa virungu kaburini sijui mabikra 72 mara mito ya maziwa huo ni upuuzi agenda za kikuda... Mim naamini hivyoDuniani woteee tutakufa hakuna chenye pumzi kitaishi milele by the way kuna namna huyo mama hakuitunza mimba yake ipasavyo...
MnyamweziWewe ni msukuma mkuu
Ahaa.. Mboka ManyemaMnyamwezi
Mtoto anekufa asie jua baya na jema ananaki na default settings zake.Watoto wanaokufa kabla hawajabatizwa wanabaki na dhambi zao za asili?
Mungu mwenyewe anapenda wanavyochinjwa kama sadaka ya kuteketezwa kwake na tena huwa anataka kondoo alienona. Ukimtolea sadaka mnyama aliejikondea au ukateketeza mchicha,chainizi ,kunde sijui maboga kama Kaini anakumind na anaweza kukushushia kipgo kwa njia yoyote ile.Kwenye vitabu vyake amehalalisha tuwachinje na kuwala, ametoa hadi orodha ya wanyama wakuwala na wasiotakiwa kuliwa. Wanyama hawawezi kutoboa.Very sad,,,sijui kwanini anaruhusu hayaβ¦
Wanyama wanavyochinjwa na wanadamu yeye anaangalia tuπ₯Ή
Poor design at best π€¦ββοΈ.For sure. Almight Planed and designed cannot be judged.
Mungu ni mwenye nguvu zote na muweza yote?Oh! Kumbe swali lipo namna hii.
Ipo hivo ulimwengu huu ( dunia tunayo ishi ) inaongozwa na ulimwengu wa roho na viumbe wa rohoni, hapa duniani tunaishi matokeo ya movement za rohoni.
Sasa rohoni kuna aina ya viumbe ( kuna roho za wanadamu amnazo zinaingia kupiria spiritual gates, kuna roho za kila aina ma viumbe wa kila aina ) na vyote vina survive kwa nguvu iwe nguvu giza au nguvu nuru na zote zinakuwa affeceted na kuzidiana madaraja .
Hizo roho na viumbe vyote vina interest za ku proct ma kuhakikisha zinakuwa. Mdano Kwenyw biblia ujio wa Yesu mtoto ulisanabisha watoto wengi sana kuuliwa na Erode, hizo zilikuwa na interest za upande wa giza kuhakikisha hakuna Yesu ( walitumia patern ma taarifa kujaribu kuzuia mpango ). Popote unapo ona kuna mauaji ya kingese ngese jua kuna power confict katika ulimwengu wa roho kuhusu interest flani
Wale jamaa waajemi wanasema kufia vitani ni suna yani kulipuliwa wakiwa wanaipigania nchi yao ni peponi Moja kwa Moja... Unaona mpaka sasa wanavyomsumbua Mr orange, hawana hofu ya kifo wao kifo kwao ni shereheπBinafsi sipo tayari kuteseka kwa ugonjwa naoona hauponi. Death is peaceful. Ukifa hakuna maumivu tena. Tena kwangu ambae kufa na kuishi is equal to zero. Sasa nabaki nateseka ili iweje?? Uoaga wetu tu
Najua ushalewa, acha nikabe nafasi yako πBinti wa zamani naona unaniwakilisha mzimamzima ππ
Usihangaike nae huyo anatumia kichwa kwaajili ya kubebea kamasiPoor design at best.
f you had the power to redesign the world, would you leave these flaws as they are?
Nataka kucheka ila ni kaka yangu, nisingependa kumkwazaUsihangaike nae huyo anatumia kichwa kwaajili ya kubebea kamasi
Mungu ni nguvu zote na Mungu ni kila kitu.Mungu ni mwenye nguvu zote na muweza yote?
Mungu huwa analinda watoto wote wasipatwe na majanga au ni baadhi tu?
[emoji849]wewe komaa na mambo ya kunyanduana tu! Vitu zingine achana nazo!
Rudi kasome kitabu chako vizuri, hakuna dhambi isiyompelekea mtu moton. Kulingana na kitabu chako ukiacha kumkufuru roho Mtakatifu dhambi nyingine zote ni sawa.Mtoto anekufa asie jua baya na jema ananaki na default settings zake.
Dhambi ya asili tunasema ni dhambi ambayo inatokana na Adamu na Eva, ile dhambi haipeleki mtu motoni isipokuwa ni dhambi ambayo inapunguza utukufu wa Mungu kwenye maisha ya mtu by default kuanzia utotoni. Mtoto anapo batizwa na kutaswa huondoa hiyo settings na kupata favor ya ku recover utukufu uliopotea ( ina matter neema na rehema za Mungu )