Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

Huu unaweza kuwa mjadala mwingine tukirejea vita zilizopiganwa kwa sababu za kidini, mauaji ya wachawi, ukandamizaji wa wanawake, ubaguzi na sheria za ajabu ajabu zilizotokana na dini. Inawezekana Dini wakati fulani huko nyuma ilikuwa na mchango katika kuchangia kuimarisha social order lakini kadri muda unavyoenda na jamii kuzidi kustaarabika mchango au umuhimu wake unapungua zaidi kwani hiyo jamii inakuwa inaweza kujiongoza vizuri tu kwa ustaarabu bila dini.
 
Nikifikiria tabu anazopata mtu duniani. Magonjwa yanatuandama mpaka mtu anakufa kateseka naona bora tu kujiua its safest/easiest way to go!
Nikikumbuka bimkubwa wangu alivyoteseka kuumwa miaka 16 hadi alikuwa anasema bora nife niwapumzishe wanangu na kuniugiza maana alikuwa wakufanyiwa kila kitu. Aliteseka sana kwa kweli hadi mda mwingine alikuwa anafunga kitenge ili ajinyonge,haya maisha yanamateso sana. But kauli ya mwisho aliyomwambia Daktari wakati yuko ICU anaelekea kukata kauli alisema, 'WAAMBIE WANANGU NASHUKURU KWA YOTE WALIPIGANIA UHAI WANGU MIMI SINA CHAKUWALIPA WALA SINA CHA KUWADAI, NITAWAOMBEA NIENDAKO'😔😔
 
Mungu anatoa uzima lakini shetani ndiye muuaji. Lawama si kwa Mungu bali ni kwa shetani aliye muuaji na kwa watu ambao hawakubali kumwamini Yesu ili waokoke na walindwe na nguvu za Mungu. Ukiokoka unakuwa na ulinxi wa Mungu!.
 
Binafsi sipo tayari kuteseka kwa ugonjwa naoona hauponi. Death is peaceful. Ukifa hakuna maumivu tena. Tena kwangu ambae kufa na kuishi is equal to zero. Sasa nabaki nateseka ili iweje?? Uoaga wetu tu
Chai
 
Ukisema Mungu hayupo kwa sababu hiyo uliyo itaja, basi logically unapaswa pia kusema upendo wa kweli haupo duniani kwa sababu kuna chuki.

Ni sisi ndio tunaoshindwa kuelewa kwanini baadhi ya mambo yanaruhusiwa kutokea and honestly, hata watu wasioamini Mungu ukiwauliza kwanini suffering exists bado hawawezi kukujibu kikamilifu difference ni kwamba believer anaamini kuna meaning hata kama haionekani immediately, zingatia neno believer.
 
Wasioamini mungu wana maelezo kuhusu suffering. Wao wanasema ni Sayansi na social interactions. Ukiugua Malaria ukateseka ni kwa sababu umeng'atwa na mbu wa malaria, ukiugua cancer watakueleza kilichochangia cancer labda ni lifestyle au kurithi, ukiwa masikini watasema ni mifumo mibovu ya uchumi, siasa, maisha binafsi n.k Kwa wasioamini suffering kwao ni rahisi sana kuelezea kwa sababu wanaamini ulimwengu wote unaendeshwa kwa Sheria za asili za Sayansi za material world na social interactions.
 
Sayansi inaeleza kuhusu how sio why.

Itakuelezea namna cancer inavyotokea, lakini haiwezi kujibu kwanini watu wanatafuta justice, hope n.k hata katikati ya suffering.

Kwa maelezo yako, basi hata upendo wa mama kwa mtoto au huzuni ya kumpoteza mwanao inabidi uiite mere biological reactions.
 

Natamani ndugu zetu Kobaz wenye itikadi kali wangeishi humu😁
Kama wangekuwepo humu mngekula spana za maana na sizani kama mnge waelewa
 
Binafsi sipo tayari kuteseka kwa ugonjwa naoona hauponi. Death is peaceful. Ukifa hakuna maumivu tena. Tena kwangu ambae kufa na kuishi is equal to zero. Sasa nabaki nateseka ili iweje?? Uoaga wetu tu
Mkuu si wanasema kujitoa uhai wako ni dhambi?!
 
Mtoto kuzaliwa na ulemavu, kifo cha vichanga na changamoto zote za watoto ulizoandika hapo hayo ni makosa ya wazazi kutozingatia na sio Mungu wala shetani.
Mkuu hii ni hoja nzito, kuna sources zozote zinazoweza kuback up hicho unachokisema?

Yani mtoto akizaliwa na cancer au matatizo ya upumuaji, au hata yale ambayo sayansi bado haijapata majibu kwanini yanatokea, makosa ni ya wazazi?

Ningependa unielimishe zaidi juu ya hili. Shukrani!
 
In short, hayo ni matokeo ya dunia iliyo corrupted.

Ninachokiona hapa unataka human logic kwenye divine sovereignty kitu ambacho ni mathematically impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…