Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Mishahara imepangwa kwa ngazi. Kama una cheo fulani say Senior Agricultural Officer na ngazi ya mshahara ni TGS. F, uwe Wizarani yaani Makao Makuu au Halmashauri wote mtapokea mshahara sawa wa ngazi hiyo.Wale wa wizarani Makao makuu je?
Hufahamu impact ya kutaja kiwango cha nyongeza.Maana yake Hakuna, wafanyakazi ni wa kudanganywa kama hawezi ongeza apunguze kodi ya mshahara PAYE na sio lugha ya janja janja
Hawataporwa na watu watajua ila hawatajua kiasi.Kwani akitaja mtaporwa? Au unadhani ukiongezeka watu hawatajua?
Inategemea na cheo ulichonachoSio kwamba inategemeana na level ya elimu na kazi?
Impact gani sasa,mambo ya kizamani.Hufahamu impact ya kutaja kiwango cha nyongeza.
Una miaka mingapi kazini bossMkuu Mimi nimeanzia ngazi ya daraja A, B, C Hadi D, sikuwahi kusomea pesa ya bodi ya mikopo??
Unajitoaje CWT mkuuNikushauli tu achana na makato ya CWT kiongozi jitoe kabisaaa maana sio lazima
Utanijumbuka.
Walioharibu uchapakazi ni wana siasa..jitu limeiba kura..lipo bungeni linasinzia tu..ila.mwisho wa siku linaondoka na mamilioni ya pesa..wewe mtumishi jua lako mvua yako..kazi ngumu mshahara kiduchu..hakuna fala kama huyo duniani.Watanzania Kwa kudai mishahara tuko vizuri, ila kiuhalisia kazi ni wavivu kufanya, tungekuwa tunafanya kazi Kwa pidii kama tunavyodai mishahara tungekuwa mbali sana
Mbona Kenya wanatangaza hadharani? Kwani wametuzidi nini?Hufahamu impact ya kutaja kiwango cha nyongeza.
Ila wana afadhar kuliko hawa wa halmashauri lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
BoT na wao Wana hali duni tu.Watumishi wote wa Serikali lakini wengine viwango juu na wengine chini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu mzee baba huo ni mshahara au posho ya kikao!!!!?? Kweli walimu mna hali ngumu
Hangaya nomaIla wana afadhar kuliko hawa wa halmashauri lol,n
16 yearsUna miaka mingapi kazini boss
Ukisikia utumwa wa Tz ni kuwa mwajiriwaMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745
Ninakusoma. Kuliko uende wizarani ni bora uwe HalmashauriWatumishi wa wizara Wanamishahara ya hovyo sana, japo Wana status kubwa nipo wizarani
Unatakiwa ubakize 2/3 ya mshahara wako mkuu...kwa ulichokifanya si sahihiMkuu acha masihara, mishahara yenu inaendanana na huu wangu?
Huu mshahara nimeishi nao for ten years now, Nina mke, watoto tano na ndugu lakini ninaishi
Nimeanza na daraja A, B, C na Sasa Niko DView attachment 2207745