Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Watumishi wa Halmashauri wana mishahara duni

Wale wa wizarani Makao makuu je?
Mishahara imepangwa kwa ngazi. Kama una cheo fulani say Senior Agricultural Officer na ngazi ya mshahara ni TGS. F, uwe Wizarani yaani Makao Makuu au Halmashauri wote mtapokea mshahara sawa wa ngazi hiyo.
 
Watanzania Kwa kudai mishahara tuko vizuri, ila kiuhalisia kazi ni wavivu kufanya, tungekuwa tunafanya kazi Kwa pidii kama tunavyodai mishahara tungekuwa mbali sana
 
Watanzania Kwa kudai mishahara tuko vizuri, ila kiuhalisia kazi ni wavivu kufanya, tungekuwa tunafanya kazi Kwa pidii kama tunavyodai mishahara tungekuwa mbali sana
Walioharibu uchapakazi ni wana siasa..jitu limeiba kura..lipo bungeni linasinzia tu..ila.mwisho wa siku linaondoka na mamilioni ya pesa..wewe mtumishi jua lako mvua yako..kazi ngumu mshahara kiduchu..hakuna fala kama huyo duniani.

Mtu una masters na kuna kijitu kina la 7 ila kinalipwa hela nyingi kupitia kodi za wachapakazi..kazi zenyewe hizi za umma.

Ndio mana wafanyakazi wanapiga kazi bora liende tu hakuna morale kabisa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wana afadhar kuliko hawa wa halmashauri lol,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
n
Hangaya noma
 
Back
Top Bottom