Kabisa kuna wanawake ni mizigo kabisa yani mwaume akiyumba kidogo tuu mtalala njaa au atagawa uchi mtaa mzima na kuna wengine ni too ambitious kama wale wako ccm yupo radhi afanye lolote ili mradi apate kacheoNB: Ninaposema supportive simaanishi ndo wawalee waume zao/wawape hela waume zao kila mara, kuna namna mwanaume ukiwa na mwanamke hata kama mwanamke ni broke na jobless, unajihisi hapa nina jembe, bila huyu mwanamke maisha yangu yatakua magumu, cha ajabu kwenye mahusiano mengi wanawake wengi ni liability, kama kidume una gari Moja it's like una gari la pili ambalo ni mkeo 😁 MrsPablo1
Si ndio.Mzee hukoseagi chalii anguu
Oyaah hapa lazima kielewekePesa unayo muachia nyumbani mkeo ni kubwa kwa kipato chako duni punguza. Anza kumpa 60% ya hiyo mwambie kazini kuna shida imejitokeza unakatwa mshahara kiasi fulani.
Unapotafuta mtaji au uweze kutunza akiba zingatia yafuatayo:-
Don't spend above your average means.
- Siyo lazima kila siku kula wali.
- Siyo lazima kula kitoweo kizuri kila siku.
- Usipange nyumba nzima kama familia yako ndogo.
- Panga sehemu yenye gharama ndogo ili mradi iwe na usalama. Hama hapo unapoishi sasa.
- Ukiweza lima bustani ya mboga mboga hata kwenye makopo.
- Zingatia matumizi ya gesi na mkaa visitumike ovyo. Tumia mtungi mdogo wa gesi na usinunue mara mbili ndani ya mwezi mmoja kwa familia ya mke na mtoto mmoja kama unanunua na mkaa. Usipike vitu vigumu kwenye gesi mfano maharagwe.
- Mkeo asijifanye ana roho nzuri na kugawa vitu kwa jirani.
- Mkeo aweke kibubu (pig bank) cha familia siyo Cha fedha ya kutuma kwao au kujenga kwao.
- Wewe na mkeo msishindane na mtu kwenye mavazi, manukato na urembo.
- Punguzeni matumizi ya gharama za simu au internet bundles.
- Zingatieni matumizi mazuri ya umeme na maji ya kulipia. Vitu vikishika baridi Zima jokofu(refrigerator), asikeshe anaangalia TV, usitumie jiko la umeme kwa sasa au tumia la umeme usitumie mkaa wala gesi.
- Mtoto mdogo asishinde amevalishwa diapers (Pampers) kutwa nzima ni gharama na mbaya kwa afya.
- Usitumie sigara
- Usinywe pombe au ukishindwa kujizuia kunywa mara chache kwa mwezi. Pia usijigeuze tajiri kununulia wengine Pombe.
- Usipeleke pesa nyingi kanisani au msikitini.
- Usicheze kamari au michezo ya kubahatisha Kamwe.
--------------------------
Wagumu TunadumuTatzo lipo kwenye laki 1 unayotuma nyumbani kila mwezi na 150,000 unayompa mkeo
Kuna watu ni vigogo serikalin lakin hawatumi hela kila mwezi nyumbani
Mm Naamini kutambua tatizo ni njia ya Kwanza ya kutatua tatizo...Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
😂haya maneno sio mageni sasa hapa JFKuna kanuni moja inafanya Sana Kazi kwangu,Mimi nikiwa bahili maisha yanakuwa magumu kila kitu kinakwama,lakini nikitoa Sana/kutumia Sana pesa Kwa furaha kila kitu kinafunguka kila ninachogusa Ni mibaraka tu inatirirrika🤓🤓🤓🤓🤓
Kwa familia yako ya watu watatu naweza kuiendesha Kwa 300,000 Kwa mwezi wakala vizuri wakavaa mahitaji Yao yote muhimu wakapata!
Mdogo wangu mwenye akili...Huko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya
Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu
Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
1000 mbona unauwa 😂😂Nunua Mboga zote Nyama, Samaki, Kuku weka ndani kisha mpe 1000 kwa siku. Kisha mpe 50,000 yake binafsi
Laki na nusu kwa mwezi sio kitu au la mjitune kwny hali halisi ya maisha yenu...nyamanyama sijui mixa vyipsi muachane navyo...nikikwwmbia hela yangu ya chakula kwa mwezi nitakukatisha tamaa...any way ishi kulingana na uwezo wako punguzeni matumizi yasiyo ya lazimaNikapata mshahara nanunua chakula kama 150 hapo nimeweka gas,Michele,unga,mafuta,mkaa.
Namkabidhi waifu 150K Kwa kigezo Cha kutumia elfu 5 Kila siku ya mboga na hapa nishagombana nae maana unakuta mwezi hauishi Hela imekata.
Mpaka hapo nakuwa nimeshatumia laki 3.
Laki Moja natuma nyumbani kila mwezi nabakiwa na laki nne.
Kodi nalipa laki Moja uwa nasave maana nalipa miezi mitatu.
Mpaka hapo laki 5.
Mimi nabaki na hiyo laki Moja nayo kuna muda nakuta imeisha hata sielewi inaenda wapi
Rafiki you talk the talk...Pesa unayo muachia nyumbani mkeo ni kubwa kwa kipato chako duni punguza. Anza kumpa 60% ya hiyo mwambie kazini kuna shida imejitokeza unakatwa mshahara kiasi fulani.
Unapotafuta mtaji au uweze kutunza akiba zingatia yafuatayo:-
Don't spend above your average means.
- Siyo lazima kila siku kula wali.
- Siyo lazima kula kitoweo kizuri kila siku.
- Usipange nyumba nzima kama familia yako ndogo.
- Panga sehemu yenye gharama ndogo ili mradi iwe na usalama. Hama hapo unapoishi sasa.
- Ukiweza lima bustani ya mboga mboga hata kwenye makopo.
- Zingatia matumizi ya gesi na mkaa visitumike ovyo. Tumia mtungi mdogo wa gesi na usinunue mara mbili ndani ya mwezi mmoja kwa familia ya mke na mtoto mmoja kama unanunua na mkaa. Usipike vitu vigumu kwenye gesi mfano maharagwe.
- Mkeo asijifanye ana roho nzuri na kugawa vitu kwa jirani.
- Mkeo aweke kibubu (pig bank) cha familia siyo Cha fedha ya kutuma kwao au kujenga kwao.
- Wewe na mkeo msishindane na mtu kwenye mavazi, manukato na urembo.
- Punguzeni matumizi ya gharama za simu au internet bundles.
- Zingatieni matumizi mazuri ya umeme na maji ya kulipia. Vitu vikishika baridi Zima jokofu(refrigerator), asikeshe anaangalia TV, usitumie jiko la umeme kwa sasa au tumia la umeme usitumie mkaa wala gesi.
- Mtoto mdogo asishinde amevalishwa diapers (Pampers) kutwa nzima ni gharama na mbaya kwa afya.
- Usitumie sigara
- Usinywe pombe au ukishindwa kujizuia kunywa mara chache kwa mwezi. Pia usijigeuze tajiri kununulia wengine Pombe.
- Usipeleke pesa nyingi kanisani au msikitini.
- Usicheze kamari au michezo ya kubahatisha Kamwe.
--------------------------
😂Unapenda pasi eh,Una uwezo WA controlHuna mdogo ako wa kike mwenye akili kama wewe? unipasie
Yeah man niko fit naweza ku_control,kudrive na ku_guard mali isipotee kizembe.😂Unapenda pasi eh,Una uwezo WA control
Ongeza Umagufulization yaani uwe na sauti kuzidi wife....Asikuendeshe utaingia mtoniHuyu mke wangu mpuuzi sana nimeanza kazi tu mwaka jana akawa ananiforce nimfungulie biashara.
Nikamwambia kwa kuwa ni tunaanza maisha na tuliuza vitu vyote tulipotoka.
Nikamwambia tujibane Kwa miezi 6.
Tununue kitanda,godoro,sofa tv kwwa ajili ya mtoto basi.
Baada ya hapo nikamwambia kama tutajibana kwenye mia 4 per month tutumie laki 2 tutasave tukipata laki 5 nakufungulia biashara.
Ila napoongea hivi mwezi huu wa nne nimefanikiwa godoro na kitanda mwenzangu haiendani na mawazo yangu.
Nanunua kila kitu kuanzia umeme,maji
Lakini ulimpa hata 100K mwambia atoboe mwezi tar 10 imeisha.
Leo hii ameniachia madeni ameniachia kwenye kupambana yaani nachanganyikiwa Bora ningekuwa singo tu.
MMh Aya mkuu,maana nakuona Una uwezo kama Ateba 😂😂Yeah man niko fit naweza ku_control,kudrive na ku_guard mali isipotee kizembe.
Huu uzi umeuvalia Njuga ,Nakupa pongezi zangu za dhati kwa madini mataamu uliyotushushia hakika umetuongezea asset katika vichwa vyetuHakuna sehemu nimesema washike jembe nimesema awasimamie kuhudumia maanayake pesa itumike kulima Kisha awasaidie Cha kufanya Ili wasiwe tegenexinkioind hiki nae anachangamoto hajatoboa ila pocket money dharura ugonjwa ni sawa
Mimi imenisaidia nimempa huo mradi na simhudumii kivile lakin Kwa mshahara wangu huo huo nimeweza kununua kiwanja na kumjengea kwenye mji anaoishi sasa na tupo hatua za mwisho ningekuwa natuma kilasiku laki laki ningefika huko na kimshahara hiki