Hahaha mtakoma! Amka huko ukijichanganye! Watu wazuri wapo tatizo siku hizi mmerelax sana kisa k zimezagaa mpaka mlangoni! Waulize wenzenu walivyozisotea enzi hizo!Hamna banah sema kuna waharibifu yani mtu mmoja anaharibu mtaa mzima sisi introverts tunakuta makombo tu😄
Lakini pia walikuwa wakikuta virgin soil, siku hizi jeHahaha mtakoma! Amka huko ukijichanganye! Watu wazuri wapo tatizo siku hizi mmerelax sana kisa k zimezagaa mpaka mlangoni! Waulize wenzenu walivyozisotea enzi hizo!
Zamani hata kama sio, ila haikuwa kigezo cha kutumika sana! Sio kama siku hiziLakini pia walikuwa wakikuta virgin soil, siku hizi je
Na bado wanamla mla kei moto😆Katika starehe ya kijinga na ya kipumbavu duniani ni PomBE. iNAKUZEESHA, INAUA VIUNGO VYA NDANI,inakufanya uwe mnjonge pale uanpoishiwa, likitokea fala la kukununulia inabidi uwe mtumwa, hata kama linaongea ugoro ulisapoti, likiamua kukutuma kama mtoto unande. Wale wasiokula kiti moto eti wamekatazwa na mwarabu halafu wanakunjwa pome hovyo kabisa
Siku hizi ni brek mbupu, cha kutesekea nnZamani hata kama sio, ila haikuwa kigezo cha kutumika sana! Sio kama siku hizi
Chagua tu vizuri wanawake wazuri wapo, kama ilivyo kwa wanaume! na hiyo mindset mnayojiwekea hamtaoa!Siku hizi ni brek mbupu, cha kutesekea nn
Kuna mmoja nimekutana nae nilikuwa na nia ya kuoa ana mtoto mmoja shida yule mtoto usimtaje anawaka balaa nikashuka kabla safari haijaanzaChagua tu vizuri wanawake wazuri wapo, kama ilivyo kwa wanaume! na hiyo mindset mnayojiwekea hamtaoa!
Kuna siku basi nikamwambia ukimaliza kuongea khs huyo mzazi mwenzako na mimi nikuambie khs wangu maana ndio story zako kila tukionana ni" ba fulani...baba fulani " !Hahahaa ni stress tu saa ingine ni defence mechanism😅
Naomba kukuuliza mkuu, hivi hio pension ya kila mwezi kwa wastaafu hapo bongo inaweza fika Laki 5??Na kuna wajanja wameunda chama cha kutetea wastaafu ili waanze kuwafyeka hiyo pension ya kila mwezi.😀
Tabu ipo palepale kupumzika ni kaburini tu.
Inategemea basic salary aliyostaafia,wengi wanakunja zaidi ya hiyo!Naomba kukuuliza mkuu, hivi hio pension ya kila mwezi kwa wastaafu hapo bongo inaweza fika Laki 5??
Ahueni watatoa wapi wkt life spana kali bro!!!!Lakini watapataje ahueni vijana wa jf😅
Sasa ulitaka asimtetee mwanaye jamani awe bize na mpenzi mpya?Kuna mmoja nimekutana nae nilikuwa na nia ya kuoa ana mtoto mmoja shida yule mtoto usimtaje anawaka balaa nikashuka kabla safari haijaanza
Huyo naye atakuwa aliachwa kwenye mataa, mtu kama hujamalizana kwanini uingie kwenye mahusiano mapya?Kuna siku basi nikamwambia ukimaliza kuongea khs huyo mzazi mwenzako na mimi nikuambie khs wangu maana ndio story zako kila tukionana ni" ba fulani...baba fulani " !
Ni hivyo ndio akaona ajiegeshe kwa mimi mubaba awe anaondolea stress zake.Huyo naye atakuwa aliachwa kwenye mataa, mtu kama hujamalizana kwanini uingie kwenye mahusiano mapya?
Muache tu aki heal ataacha!Ni hivyo ndio akaona ajiegeshe kwa mimi mubaba awe anaondolea stress zake.
Ahsante kiongozi, basi kama zaidi ya hio kwa mstaafu zinamtosha sana labda aendeleza matumizi yake mabaya aliokua nayo kabla hajastaafu tu.Inategemea basic salary aliyostaafia,wengi wanakunja zaidi ya hiyo!
Anamtetea kaonelewa niniSasa ulitaka asimtetee mwanaye jamani awe bize na mpenzi mpya?
Umeongea pumba kama matakoKatika starehe ya kijinga na ya kipumbavu duniani ni PomBE. iNAKUZEESHA, INAUA VIUNGO VYA NDANI,inakufanya uwe mnjonge pale uanpoishiwa, likitokea fala la kukununulia inabidi uwe mtumwa, hata kama linaongea ugoro ulisapoti, likiamua kukutuma kama mtoto unande. Wale wasiokula kiti moto eti wamekatazwa na mwarabu halafu wanakunjwa pome hovyo kabisa