Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

Status
Not open for further replies.
Kila Mtumishi akiwa na hii mind set, hakuna maendeleo mtapata

Angalia asilimia 45 ya Bajeti ya Nchi ni fedha za miradi ya maendeleo, alafu wajanja wakazipiga unadhani mtapata hela hata za kujenga mitaro ya Maji machafu
Mpaka iyo pesa inafika sehemu husi inakua imepigwa 10 % za kutosha ,sasa kwa nini watumishi wasipige na kulala mbele, haiwezekani nchi ikawa ya wachache ,kama tunaamua kejenga Taifa kwa umoja sawa ,imeshindikana twende huko mbwai mbwai
 
Kila Mtumishi akiwa na hii mind set, hakuna maendeleo mtapata

Angalia asilimia 45 ya Bajeti ya Nchi ni fedha za miradi ya maendeleo, alafu wajanja wakazipiga unadhani mtapata hela hata za kujenga mitaro ya Maji machafu
Bora tukose wote why jinufaisha huko juu ,na watumishi wanao simamia yote waona mburula , ni wakati wa taifa simama kwa pamoja , kama tunakubali jenga Taifa lenye usawa tujenge kama ni kubomoa tubomoe
 
Na hao vidagaa wa chini wakidakwa kwa upigaji huwa wanakula mvua za maana so waende kwa step.

Kuna DED kala mvua 22 na wenzie huko Kigoma juzi tu.
Huyu hakulala mbele , piga lala mbele
 
Mimi baada ya kulijua hilo nikaanza kujichukulia rushwa kazini kwangu.

Nimefanya kazi miaka mingi kwa uaminifu ila sasa najichukulia vi laki kadhaa kila ninapopata fursa.

Watumishi acheni kukopa komaeni na rushwa zinakomboa sana.
Mkuu nimecheka kijinga sana , safi hakuna namna
 
Hela ya RAIS SAMIA si yakuchezea, nyie jidanganyeni mtafungwa sana
Hakuna cha kufungwa hapa piga lala mbele , kama vipi tukubali kaa mezani na kujadili kwa pamoja ili tosonge mbele , yani Mbunge alipwe m 10 na kuendelea askari n.k alipwe mil 1 usawa gani huu
 
Unahisi kuna Mtumishi atakubaliana na ujinga wako?
 
Mshauri mkeo awe anakusachi ,awe ana kuibia,

Ukimaliza washauri watoto wako wawe waizi.

Ukimaliza Katika hatua ya familia, ndipo upande juu.

Hauwezi kuondoa wizi kwa kuuonggeza.
 
Ati Askari barabarani kwa mwezi alipwe m 1, mfano ila Mbunge tena la saba alipwe 10m plus , alafu so what , tupige pesa mpaka tukome
 
Mshauri mkeo awe anakusachi ,awe ana kuibia,

Ukimaliza washauri watoto wako wawe waizi.

Ukimaliza Katika hatua ya familia, ndipo upande juu.

Hauwezi kuondoa wizi kwa kuuonggeza.
Ukija kwa pupa kwenye andiko hili utaondoka kama ulivyotoka kwa awala yako ,ni wenye akili tu wanaweza jua namanisha nini ,

Kwa ufupi hapo kwako kama wapo panya wakuibie mpaka chupi ya ndani ndo akili itakukaa sawa.
 
Ukiona kuna Mtumishi amekubali mawazo yako, basi mwambie akuletee mkewe na atakuletea! Ahahahahaha!!!
Walipe vizuri sasa ,hapa hoja ya andiko langu ndipo lilipo kukomesha hili , Tz kuna mtumishi mpaka anakufa hajui nini maana ya naisha mazuri kwa mtumishi, sasa njoo kwa wanasiasa , Ndugai kafa je wajua ukwasi wake ?
 
Maisha hayako hivyo. Hii dunia tunapita na kuna mambo ya msingi zaidi yanayotawala maamuzi ya mtu zaidi ya "kupiga na kulala mbele". Utapiga, utalala mbele mwisho wa siku utakufa na watoto na vijukuu vyako watabaki kwa nchi hii na kuishi kwa tabu kama raia wengine uliowapiga pesa zao. Ishi kama Kristo alivyoishi hapa duniani, kuna faida tele kuliko hasara.
 
Ni kupiga kwa kwenda mbeleeeeeee kumamaamaayooooooo kumanyokoookkkkooooooo piga helaaaaaaaaaaa .....
 
Sheria ipo kwaajili ya wanyonge, by the way kama mwalimu wa shule ya msingi analala na Kona gani Sasa mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…