4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
-
- #61
Mkuu wangu , andiko tukufu kabisa, ila hao wanasiasa hili hawalijui jabisa that's katika mito mingi ya neema wamechagua njia hii ,why watumishi pia wasichague njii hii , umenigusa sana kiroho na umeniumiza ,ila hakuna namna mkuu why wachache wafaidi na wengine wabaki yatima.Maisha hayako hivyo. Hii dunia tunapita na kuna mambo ya msingi zaidi yanayotawala maamuzi ya mtu zaidi ya "kupiga na kulala mbele". Utapiga, utalala mbele mwisho wa siku utakufa na watoto na vijukuu vyako watabaki kwa nchi hii na kuishi kwa tabu kama raia wengine uliowapiga pesa zao. Ishi kama Kristo alivyoishi hapa duniani, kuna faida tele kuliko hasara.
Najua hujui hata mifumo ya hela inatokaje, kula hela za vikoba lakini si hela za serikaliHakuna cha kufungwa hapa piga lala mbele , kama vipi tukubali kaa mezani na kujadili kwa pamoja ili tosonge mbele , yani Mbunge alipwe m 10 na kuendelea askari n.k alipwe mil 1 usawa gani huu
Huyu mdau amenichekesha sana aisee .Mimi baada ya kulijua hilo nikaanza kujichukulia rushwa kazini kwangu.
Nimefanya kazi miaka mingi kwa uaminifu ila sasa najichukulia vi laki kadhaa kila ninapopata fursa.
Watumishi acheni kukopa komaeni na rushwa zinakomboa sana.
Hivi magep ya CAG kwamba pesa zimepotea au hazionekani huwa zinaenda wapi , najua mpaka pesa itoke ipo upo utaratibu ila mbele ya uso wa Dunia hakuna kinachoshindikana mkuu , unakumbuka ile pesa ya IPTL ya masandarusi mpaka wengene wakaita 10 ml ni pesa ya Mboga ?Najua hujui hata mifumo ya hela inatokaje, kula hela za vikoba lakini si hela za serikali
Sijibidhani na watoto wa shule mieUkiona kuna Mtumishi amekubali mawazo yako, basi mwambie akuletee mkewe na atakuletea! Ahahahahaha!!!
Watumishi wa Kenya, Uganda, Mynmar na Fiji kutaja nchi chache wao wanayajua maisha mazuri kuliko watumishi wa Tanzania sio? Nimekusoma!✓Walipe vizuri sasa ,hapa hoja ya andiko langu ndipo lilipo kukomesha hili , Tz kuna mtumishi mpaka anakufa hajui nini maana ya naisha mazuri kwa mtumishi, sasa njoo kwa wanasiasa , Ndugai kafa je wajua ukwasi wake ?
Ahahahahaha! Nipo humu tangu 2014 halafu Mimi ni Mtoto wa Shule! Dadeeeki!!Sijibidhani na watoto wa shule mie
Upo tangu 2014 alafu hutaki kukua mkuuAhahahahaha! Nipo humu tangu 2014 halafu Mimi ni Mtoto wa Shule! Dadeeeki!!
Wewe uliishakua? Ahahahahaha!!Upo tangu 2014 alafu hutaki kukua mkuu
Niletee likebo niishi nalo nyumbani kwangu kwanza then nitakujibu kama nimekua au bado mkuuWewe uliishakua? Ahahahahaha!!
Nimeshakwambia kula hela za vikobaHivi magep ya CAG kwamba pesa zimepotea au hazionekani huwa zinaenda wapi , najua mpaka pesa itoke ipo upo utaratibu ila mbele ya uso wa Dunia hakuna kinachoshindikana mkuu , unakumbuka ile pesa ya IPTL ya masandarusi mpaka wengene wakaita 10 ml ni pesa ya Mboga ?
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua
Mkuu, Ndugai yuko wapi, Lowassa yuko wapi, Mengi yuko wapi? Bakhresa senior yuko wapi? Asas senior yuko wapi?Mkuu wangu , andiko tukufu kabisa, ila hao wanasiasa hili hawalijui jabisa that's katika mito mingi ya neema wamechagua njia hii ,why watumishi pia wasichague njii hii , umenigusa sana kiroho na umeniumiza ,ila hakuna namna mkuu why wachache wafaidi na wengine wabaki yatima.
Why mbunge lipwa m10 na ila mwalimu lipwa milion moja kwa mfano japo hicho kuwango wengi wanakisikia tu.
Kitu ulichosahau kuwakumbusha wa hakikishe wana kadi hai ya mwanaCCM.Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Umekwazwa na nini?Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Kulitumikia taifa ni kumtumikia Mungu pia, wenye Imani kwa Mungu hawawezi kutenda hii dhambiKwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Nani kakudanganya Unajua hela zinavyoliwa kwenye miradi...Kwa mfano uko kwenye taasisi ya regulation piga hata wachina maana wanajuaga wanajua wanakuja na package ya rushwa ila kama uko kwenye project za huduma za wananchi aisee don't touch hii HELA yasikukute mambo
Hili mi hili shirika silielewi.We ndo unajua leo? Njoo huku posta tunajipigia tu vi-parcel vya wanaoagiza mizigo nje kama vyote hadi raha
Na huwa hazijaiWadanganye wajichanganye. Jela bado ziko tupu zinahitaji watu.