Bora tusipate tu!Kila Mtumishi akiwa na hii mind set, hakuna maendeleo mtapata
Angalia asilimia 45 ya Bajeti ya Nchi ni fedha za miradi ya maendeleo, alafu wajanja wakazipiga unadhani mtapata hela hata za kujenga mitaro ya Maji machafu
Nitajie walio fungwa kwenye utawala huu zaidi ya 10 tu. Sio kwa MAJINA ni vyeo vyao please.Hela ya RAIS SAMIA si yakuchezea, nyie jidanganyeni mtafungwa sana
Post kama hii Mod wanaiacha vipi?Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Usishabikie ujinga, rushwa ina madhara hata kwenye maisha yako, Ukiona dawa fake zinauzwa madukani jua ni mambo ya rushwa ,usishabikie ujingaNitajie walio fungwa kwenye utawala huu zaidi ya 10 tu. Sio kwa MAJINA ni vyeo vyao please.
Kama mtumishi wa uma chini y hii serikali ya CHURA piga PESA sepa zako.
KAZI ni kipimo cha utu
Bahati mbaya jinai haifi kamweElewa neno piga na lala mbele .kazi unapiga na kuwachia manyoya ,sio upige na ubaki pale ulipo.
Na wanetangaxa nafasi za magereza za kutosha sanaWadanganye wajichanganye. Jela bado ziko tupu zinahitaji watu.
TAKUKURU ipo usidanganywe ukaenda kichwa kichwaHii nimeondoka nayo 🤝🤝
Mtumishi hasubirii kuambiwa na kima yeyote nini afanye zaidi ya muongozo ya kiutumishi.Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Hela inayokuja bila jasho itapotea hivyo hivyo na utaaibika mwishoni maana Haina baraka ya jasho lako.Wahuni wanajilimbikizia mapesa mpaka hawajui wazipeleke wapi kuna majitu yana mpaka makontena ya pesa za nchi tofauti huku watumishi wakibeti msipo jitambua mtaishia kulaa pensheni yenye kikotoo cha ukandmozaji , ukipata nafsi piga na lala mbele , leo hii mwanasiasa yupo na pesa kuliko mwalimu ,daktari ,police, au mwanajeshi wa cheo chani usawa uko wapi , yule msanii tapeli aliyekuwa mwigizaji wa sauti ya baba wa taifa naambiwa kwa sasa yupo na ukwasi wa kutisha ,najua hizi pesa huwa hazidumu akumuulize Bwana mmoja pale Muheza Omary kipindi cha kikwete alikua wapi na sasa yuko wapi.
Naongea ninachokijua kwa huyu ndugu Omary ,nimekaa naye mara nyingi enzi hizo
We ndo unajua leo? Njoo huku posta tunajipigia tu vi-parcel vya wanaoagiza mizigo nje kama vyote hadi raha
Anatokea kwenye rufaa yule mda sio mrefu utaskia wamemwachia huruDED wa zamani Kigoma ujiji anakupa salamu mkuu.
Askari wa usalama barabarani wanapiga daily tena wazi waziWadanganye wajichanganye. Jela bado ziko tupu zinahitaji watu.
Po sahihi asilimia 100Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Haipaswi iwe hivyo MkuuBora tusipate tu!
Kumbuka huko kigoma mtu kapigwa 20Yrs.Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Yaani tuhangaike na wanaoiba vijisenti, upo sawa kweli!?Haipaswi iwe hivyo Mkuu
Kila Mtumishi akianza kuiba fedha anazoletewa kwaajili ya miradi ya maendeleo, watakaokuwa wanaumia ni Wananchi ambao ndiyo walipaji wa hizo Kodi zenyewe
Miundombinu ya Maji/barabara Wala vituo vya afya havitaweza kujengwa wala kutoa huduma tarajiwa Kwa Wananchi
Rai yangu, ni watumishi wote kuanzia Chini hadi kule juu wajifunze uzalendo katika nafasi wanazotumikia
Wakina Nyerere wangekuwa na hizo mindset, tusingeikuta Nchi ilivyo hivi leo