NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Yes alikuwepo from West AfricaHalafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Barua za Paul Mzee wa injili waliandikiwa pia warumi(ambao ndio waroma)Habari za wakati huu wapendwa
Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.
Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.
Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.
Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.
Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.
Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.
Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.
Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.
Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.
Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Kwakweli
Tamaduni za kipagani kama zipi kwa mfano?Hata shetani naye ni mkongwe na anamiradi lukuki ambayo hata Yesu aliambiwa akimsujudia atapewa..pia shetani ana taasisi na wengi wanadamu yawezekana hata wewe mtoa mada ni mwanachama mwaminifu..hivyo kaa kutulia huna hoja katika hili.
Kimsingi rc wameharibu ukristo kwa kuchanganya tamaduni za kipangani.
#MaendeleoHayanaChama
Kanisa la ulimwengu lililoachwa na mitume. Universal church [emoji547]. Universe [emoji292] church. Kanisa la ulimwengu. Kanisa la ulimwengu liko moja tu. Kanisa KatolikiHalafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Yan ushapotea namambo yamazingaumbwe, yesu mwenyewe alisema inaamana bila miujiza hamtsadiki, kizaz kiovu kinapenda miujiza nyie mtandaendelea kuwa mazombi wakina zumarudi hadi yesu arudbinafsi huwa nashangaa sana nikihudhuria misiba, padre au askofu akiwa pale mbele akianza kuhubiri, hakuna hata tone la nguvu za Mungu, hata harufu tu ya uwepo wa Mungu haipo, mahubiri makavuuuu yasiyookoa. kusali dini inahitaji uvumilivu sana na ni kifungo kikubwa mno.
Tutajie hiyo miradi ya shetani mkuu acha kupotosha.catholic is the bestHata shetani naye ni mkongwe na anamiradi lukuki ambayo hata Yesu aliambiwa akimsujudia atapewa..pia shetani ana taasisi na wengi wanadamu yawezekana hata wewe mtoa mada ni mwanachama mwaminifu..hivyo kaa kutulia huna hoja katika hili.
Kimsingi rc wameharibu ukristo kwa kuchanganya tamaduni za kipangani.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa sababu Katoliki ni ya wote.Hizo taasisi hazina msaada kwa waumini wao, Ukihitaji chochote utapigwa hela kama yeyote asiye mkatoliki.
Alama ya Ukristo.Comment ya kijinga sana hii unaweza kuthibitisha humu unabenefit nini na assets za kiroma?
Kitu pekee kikubwa wakatoliki walichoweza kuwakamata watumiaji wote wa Biblia ni kuwahakikishia kwamba maandiko walioyachagua wao na kutengeneza Kitabu kimoja kiitwacho Biblia kinakubalika na kinaheshimiwa.Wao ni watawala wa ulimwengu huu na wanajua hivyo na pia wanajua dini yao sio ya Mungu wala utakatifu wa kwenda huko Mbinguni wanajua wao KAZI yao ni kutawala Dunia yote na Mali zake tu na ndio maana Wana Mali nyingi na pia wanaamua nani atawale wapi na vipi KWA maslahi yao!!wanajua fika !wanaowapigia kelele hawaelewi kitu ndio maana wanapiga makelele tu!!hilo ni kanisa la kijasusi ndio maana hata MAKANISA yao Yana ofisi nyeti za kijasusi za NCHI yetu!!!utendaji KAZI wao una fanana na FBI,KGB,MOSSADI, na CIA !!
Hili nalo tunalivumuilia...Wao ni watawala wa ulimwengu huu na wanajua hivyo na pia wanajua dini yao sio ya Mungu wala utakatifu wa kwenda huko Mbinguni wanajua wao KAZI yao ni kutawala Dunia yote na Mali zake tu na ndio maana Wana Mali nyingi na pia wanaamua nani atawale wapi na vipi KWA maslahi yao!!wanajua fika !wanaowapigia kelele hawaelewi kitu ndio maana wanapiga makelele tu!!hilo ni kanisa la kijasusi ndio maana hata MAKANISA yao Yana ofisi nyeti za kijasusi za NCHI yetu!!!utendaji KAZI wao una fanana na FBI,KGB,MOSSADI, na CIA !!
Hata hili tunalivumilia..Kitu pekee kikubwa wakatoliki walichoweza kuwakamata watumiaji wote wa Biblia ni kuwahakikishia kwamba maandiko walioyachagua wao na kutengeneza Kitabu kimoja kiitwacho Biblia kinakubalika na kinaheshimiwa.
Kwa hili wakatoliki wamefanikiwa sana.
ππππSiti ya mbele kabisaaaaaa
Asubuhi subuhi tu umeamka na wakatoliki lah!!
Ajabu yao ni ipi yani sijaelewa kabisaaaaaa mm!?
Kwahiyo unashauri watu kabla ya kuanza kuabudu wajenge kwanza makanisa yenye malumalu kama majumbani kwao ndio waanze kumuabudu Mungu?Siyadharau. Mungu anakuumba na akili timamu kabisa. Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, unaweka fence, na kufuga mpaka mbwa kukulinda, lakini ibada unaona ukaifanye kwenye kanisa la mabati machakavu?
Watu mnapenda kufanya utani sana na imani.
Wewe zipo shule za Rc watu wenye uwitaji wanasoma bure mfano kuna shule Kisalawe kn watoto wanasoma bureTutajie hiyo miradi ya shetani mkuu acha kupotosha.catholic is the best
Umetafsiri ya yule jamaa wa ZambiaHabari za wakati huu wapendwa
Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.
Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.
Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.
Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.
Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.
Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.
Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.
Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.
Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.
Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Wanadhani Yesu alikuja ulimwenguni kufundisha watu kutenda miujiza.Yan ushapotea namambo yamazingaumbwe, yesu mwenyewe alisema inaamana bila miujiza hamtsadiki, kizaz kiovu kinapenda miujiza nyie mtandaendelea kuwa mazombi wakina zumarudi hadi yesu arud