Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Ukristo sio dini. Mtu m-Kristo ni yule mwenye Kristo ndani yake. Ukatoliki ni mchanganyiko wa upagani wa Roma na hali kidogo ya Kristo. Wamejaa hekima za ulimwengu huu, ni watu wanaomwabudu Mungu kupitia nafsi (akili, utashi, hisia)' kamwe huwa hawafiki rohoni. Mungu huabudiwa katika roho (intuition, consience, communion).

"Mungu ni Roho na wote wamwabuduo imeawapasa kumwabudu katika roho na kweli"

"Watu hawa ni watu wanaoniabudu kwa midomo yao, huku mioyo yao ikiwa mbali nami, nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho ya wanadamu"


JESUS IS CHRIST!
Umetumia kipimo gani kuweza kujua hawafiki rohoni? Mwaga uthibitisho tufaidike
 
Ambacho huelewi ni kwamba Yesu ni Mungu.Bikira Maria alimzaa Mungu.
Ukielewa hapo walau utakuwa umepiga hatua kubwa kiufahamu.
heheeee kasome upya biblia, Yesu alizaliwa na Bikra Maria ndio sija mataa lakini pia yesu kabla ya kufa yika binadamu kupitia kuzaliwa na Maria alikuwa kwa baba yake mbinguni kitendo cha yeye kuja kutukomboa ni kwamba alitupenda sisi wanadamy na ndio maana baba yake ambaye ndiye Mungu alipo ona dunia inaelekea pabaya ali wauliza walio kuwepo huko mbinguni amtune nani aje kuwakomboa wanadamu?

Yesu akasema ni tume mimi baba sasa wewe kusema kuwa Maria ali mzaa yesu sija kataa usicho kijua hapo Mungu alikuwepo toka enzi na enzi Yesu yeye alipo tumwa kuja kutukomboa alifanyika mwanadamu ndio maana alizaliwa na Bikira Maria sasa kitendo cha Maria kuwaombea madhambi kinatoka wapi wakati hata yeye ni mwanadamu kama ninyi?

Kilicho jitofautisha kwake yeye na sisi yeye ni Mwanamke aliye barikiwa kuliko wanawake wote.
 
alikuwa anamwelekeza yohana amtunze/amlee. hata kiswahili cha kawaida kabisa hapo kinaeleweka. maria alikuja kufa, hakufufuka hadi leo. Yesu hakuwa anaelekeza tusali kupitia maria, hakumaanisha maria awe mbadala wake.
Hapo ndipo umuhimu wa kuongozwa na Roho Mtakatifu unapoonekana.
Labda nikuulize swali.
Bikira Maria hakuna na watoto wengine wa kumlea Hadi akabidhiwe Yohana?

Angalizo.
Naomba hili swali lisijibiwe na Mkatoliki.
 
heheeee kasome upya biblia, Yesu alizaliwa na Bikra Maria ndio sija mataa lakini pia yesu kabla ya kufa yika binadamu kupitia kuzaliwa na Maria alikuwa kwa baba yake mbinguni kitendo cha yeye kuja kutukomboa ni kwamba alitupenda sisi wanadamy na ndio maana baba yake ambaye ndiye Mungu alipo ona dunia inaelekea pabaya ali wauliza walio kuwepo huko mbinguni amtune nani aje kuwakomboa wanadamu? Yesu akasema ni tume mimi baba sasa wewe kusema kuwa Maria ali mzaa yesu sija kataa usicho kijua hapo Mungu alikuwepo toka enzi na enzi Yesu yeye alipo tumwa kuja kutukomboa alifanyika mwanadamu ndio maana alizaliwa na Bikira Maria sasa kitendo cha Maria kuwaombea madhambi kinatoka wapi wakati hata yeye ni mwanadamu kama ninyi? Kilicho jitofautisha kwake yeye na sisi yeye ni Mwanamke aliye barikiwa kuliko wanawake wote.
Kuna ubaya kuombewa na mchungaji wako?.
Hujui tunahimizwa kuombeana?
 
Ndio maana wakatoliki wanawapuuza.
Kama mtu anaenda Kwa mwamposa amwombee Kwa Yesu,unashindwa Nini kwenda Kwa Bikira Maria akuombee Kwa Yesu?
Sitetei saana hao watu wa Mwamposa, lakini je, waendao kwa mwamposa wanamwabudu Mwamposa na kumpigia magoti wakimwomba awaponye yeye?

Au Mwamposa anawaombea kwa jina la Yesu wapate kupona. Na je ninyi mnaenda kwa Maria kwa staili gani, ya kumwabudu na kumpigia magoti au mnafanyaje msalipo rozali.

Kumbuka ni dhambi kukipigia magoti na kukiabudu chochote ktk ibada isipokua Mungu
 
Yesu alipitia tuu kwa Maria ili akae nasi duniani. Yesu alikuwako tangu dahari. Unavoongea Bikira Maria alimzaa Mungu ni utadhani Bikira Maria ndo alimuumba Mungu. Bikira Maria aliipata tuu ile neema ya Yesu kupitia kwake ili aje aishi kwetu lakini Maria hana lingine la ziada kando na hilo la kumzaa Yesu katika kutufikisha Mbinguni. Ni Yesu tuu pekee mwenye kutufikisha Mbinguni maana yeye ni mpatanishi. Wake up brother
Hakuna Mtu aliyedai Bikira Maria alimuumba Mungu.
Tunachosema Bikira Maria alimzaa Mungu.
Au unakataa Yesu ambaye ni Mungu hakuzaliwa na Bikira Maria?
 
Sitetei saana hao watu wa Mwamposa, lakini je, waendao kwa mwamposa wanamwabudu Mwamposa na kumpigia magoti wakimwomba awaponye yeye? Au Mwamposa anawaombea kwa jina la Yesu wapate kupona. Na je ninyi mnaenda kwa Maria kwa staili gani, ya kumwabudu na kumpigia magoti au mnafanyaje msalipo rozali. Kumbuka ni dhambi kukipigia magoti na kukiabudu chochote ktk ibada isipokua Mungu
Sisi tunaenda Kwa Bikira Maria atuombee Kwa Mwanae Yesu ambaye ni Mungu.
 
Waislamu siwezi kuwasemea lakini Wakristo wengine wanawashutumu Wakatoliki kwa sababu wanafundisha mambo ambayo ni unbiblical na mambo ambayo yalirithiwa kutoka katika desturi za Dini za Kipagani za Kirumi na Kiyunani
Dini ya kweli ni ipi
 
Sitetei saana hao watu wa Mwamposa, lakini je, waendao kwa mwamposa wanamwabudu Mwamposa na kumpigia magoti wakimwomba awaponye yeye? ...
Hata hili tunalipuuza kwa kuwa huelewi kinachofanyika RC, ila umekaririshwa na watangulizi wako kwa maslahi ya yao na yako kimwili
 
Kuna ubaya kuombewa na mchungaji wako?.
Hujui tunahimizwa kuombeana?
Bikira Maria anaabudiwa na Wakatoliki, siyo chombo cha kupitisha maombi yaende kwa Mungu pekee.

Ndo maana mnapiga magoti kwenye sanamu lake mkiwa mnamuabudu, kama unabisha nenda kanisa la St Joseph pale posta kuna kijumba kina sanamu la Maria na watu huenda pale kuliabudu wanapiga magoti na rozali zao mikononi.

Sasa hii si ni ibada ya sanamu hii. Kama kuna mchungaji anapigiwa magoti na kuabudiwa ili maombi yetu yaende naye na kanisa lake ni kundi hilohilo moja na kanisa Katoliki.

Wakuabudiwa ni Mungu pekee
 
Haya mambo yamewazidi kimo ndio maana mnateseka na hamuyaelewi.
Kwanza hakuna Mtu wa Mungu anayeweza kuwa mfu.

Ukimwamini Yesu unakuwa hai Milele.
 
Hapo ndipo umuhimu wa kuongozwa na Roho Mtakatifu unapoonekana.
Labda nikuulize swali.
Bikira Maria hakuna na watoto wengine wa kumlea Hadi akabidhiwe Yohana?

Angalizo.
Naomba hili swali lisijibiwe na Mkatoliki.
bikira maria alikuwa na watoto wengine,mmoja wapo ni Yakobo aliyeandika kitabu cha injili ya Yakobo. na wengine. kuelekeza mtu amtunze mamako haijalishi kama una watoto wengine au la. ipo wazi, kwa kusema hivyo Yesu hakumaanisha kwamba maria amekuwa replacement au connection yeyote ya sisi kupitia kwake kwenda au kuwasiliana na Mungu.
 
Sasa mna tofauti gani na waumini wanaoomba kwa jina la mfalme zumalidi. Maana wote mmewekeza ibada zenu kwa binadamu kama ninyi. Maria ni mtu, Petro ni mtu, Yohana ni mtu. Fungua macho braza
Mkuu Kuna kitu hujakielewa katika mafundisho ya wakatoliki yani amna ambae anamuomba maria mama wa yesu atatue shida zake bali yeye ni messenger wa maombezi mbalimbali ya wanadamu na hiyo si sawa na kwenda kwa mwamposa akumwagie upako wala kwenda kulala kwa zumaridi akukanyage mgongoni ndio uponywe lahashaa bali watakatifu wana act as messengers wa maombi ya wanadamu kwa yesu kristo au muumba wao Yehova,,

Pia kwa Wakatoliki nimeshudia miujiza mingi inayotokana na maombezi mbalimbali lakini kwa imani Sana kama una imani haba huwezi kukaa na wakatoliki sababu hawana kuigiza muujiza wowote ukitaka kujua hayo nenda mission ya peramiho songea nunua vitabu mbalimbali vya ushuhuda pia wafate mapadre waulize kuhusu Sr Mbawala na vinginevyo yani yote hayo ni imani iliyojidhihirisha na sio maigizo ya miujiza ya kumpanga mtu aongee nini ( script ),

Yote kwa yote katika ukatoliki nimeshudia miujiza mbalimbali ikitendeka kwa wale wenye imani na uwezo wa kufunga ipasavyo kwa kufata maagizo mbalimbali pia fatilia kitu inaitwa novena na power iliyojificha ndani yake,,
 
Hakuna Mtu aliyedai Bikira Maria alimuumba Mungu.
Tunachosema Bikira Maria alimzaa Mungu.
Au unakataa Yesu ambaye ni Mungu hakuzaliwa na Bikira Maria?
Sawaa mkuu, Maria alimzaa Mungu. Kwa hiyo unataka kusemaje? Kwamba Maria ni Mungu au vp?
 
Ndio maana wakatoliki wanawapuuza.
Kama mtu anaenda Kwa mwamposa amwombee Kwa Yesu,unashindwa Nini kwenda Kwa Bikira Maria akuombee Kwa Yesu?
sio muumini wa mwamposa na sijawahi kumkubali. ni uamuzi wangu. ila hata kama ningekuwa naenda huko, bora mwamposa angekuwa hai unaenda kuwekewa mikono uombewe kuliko mzimu uliokufa. hakuna mawasiliano yeyote kati ya walio hai na wafu kwahiyo nini hapo hamna tofauti yeyote na waabudu mizimu.
 
Bikira Maria anaabudiwa na Wakatoliki, siyo chombo cha kupitisha maombi yaende kwa Mungu pekee. Ndo maana mnapiga magoti kwenye sanamu lake mkiwa mnamuabudu, kama unabisha nenda kanisa la St Joseph pale posta kuna kijumba kina sanamu la Maria na watu huenda pale kuliabudu wanapiga magoti na rozali zao mikononi. Sasa hii si ni ibada ya sanamu hii. Kama kuna mchungaji anapigiwa magoti na kuabudiwa ili maombi yetu yaende naye na kanisa lake ni kundi hilohilo moja na kanisa Katoliki. Wakuabudiwa ni Mungu pekee
Kupiga magoti Haina maana ya kuabudi na kumfanya sawa na Mungu.
Soma Biblia vizuri kijana.
Wengi kwenye Biblia walikuwa wanapigiwa magoti.
Hata kwenye jamii zetu hizi wengi wanapigiwa Magoti.

Muulize mchungaji wako.
Je,Wakatoliki wanachukulia Bikira Maria Sawa na Mungu?.
Kama SIvyo ujue ni heshima TU Kwa mama wa Mungu.
 
Sisi tunaenda Kwa Bikira Maria atuombee Kwa Mwanae Yesu ambaye ni Mungu.
Sahihi kabisa na icho ndicho watu wengi hawakijui,,, ukatoliki una vingi ambavyo ukitaka kuvijua inabid utulize kichwa wape somo waelewe Mkuu
 
Sisi tunaenda Kwa Bikira Maria atuombee Kwa Mwanae Yesu ambaye ni Mungu.
Siyo hilo tuu, mnamuabudu kwa kupigia magoti sanamu lake kama unabisha nenda St Joseph kwenye kile kijumba utakuta watu wamepiga magoti wanaabudu sanamu la Maria
 
sio muumini wa mwamposa na sijawahi kumkubali. ni uamuzi wangu. ila hata kama ningekuwa naenda huko, bora mwamposa angekuwa hai unaenda kuwekewa mikono uombewe kuliko mzimu uliokufa. hakuna mawasiliano yeyote kati ya walio hai na wafu kwahiyo nini hapo hamna tofauti yeyote na waabudu mizimu.
Hapo ndipo mnapofeli.

Mkristo Hafi.

Biblia IPO wazi kuhusu Hilo.

Mkristo anaushirika na Mungu muda wote akiwa duniani na anapouacha ulimwengu huu wa mwili.
 
Back
Top Bottom