Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Ata kama wewe ni mtoto matokeo ya Mutah , si vyema kujiita son of muta , medisonmuta jithamini badili jina , ingia kwenye account yako badili jina ndani ya siku moja admini wanalibadili
Quran sio biblia iliyoandaliwa kanisa katoliki ukatafsiri kama unavyotaka
 
Nina kitabu kabisa sio google tu nina physical book
katika tafsir zinaheshimika ni ya Ibn abbas
Nipe chain of narrations ya hizo tafsir. Hii sio biblia iliyoandaliwa na wakatoliki
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Imani ya kanisa imejipambanua tangu enzi na enzi wakati linafanya mauaji kipindi cha great roman empire
Roman empire haina uhusiano na Kanisa Katoliki. Unahitaji kusoma historia ya kweli kujua mahusiano ya vitu hivyo viwili ambavyo wapinzani wa Kanisa Katoliki wamekuwa wakipotosha historia kuchanganya.

Kama ulivyokuwa mpango wa Mungu kumfanya Sauli kuwa msomi aliyelelewa kwenye misingi bora ya dini yake ambayo alivyokuja kuwa Paulo ile misingi ilimpa maarifa yaliyokuja kutufaa hata leo ndivyo Warumi pamoja na kulipinga Kanisa lakini baadae zile strength zao ndizo zilizolipa Kanisa nguvu na kuongeza wigo imara na rasmi.

Unafahamu kwanini Kristo pale msalabani paliandikwa Kristo Mfalme wa Wayahudi kwa lugha tatu? Kigiriki, Kilatini na Kiebrania? Huo ulikuwa ni unabii wa jinsi Ukristo utavyoenea ulimwenguni kupitia hizo tamaduni tatu ambazo kila moja ina nguvu yake ambayo ni maalum na muhimu kwa Kanisa.
 
Quran sio biblia iliyoandaliwa kanisa katoliki ukatafsiri kama unavyotaka
ndio maana sileti tafsir yangu , huwa natumia tafsir yenu wenyewe , ata wewe unatakiwa ukiuliza swala tumia commentary za wakristo wenyewe, ndio maana unaona waislamu wengi unaona wananiogopa maana hoja najenga kwa ushahidi wa vitabu vyao, kwa sasa vitabu vingi vya tafsir kwenye kingereza waislamu wamefuta vitu vingi sana yani ni mpaka ujifunze kiharabu ndio utawakamata , kwenye kiharabu hawajabali, mpaka transilation za Koran wamedanyanya vibaya mno

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Jibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
 
Weka tafsiri zingine kama supportive evidence kuna ibn Kathir. Hiyo mbona hauweki?
 
Nipe chain of narrations ya hizo tafsir. Hii sio biblia iliyoandaliwa na wakatoliki
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Chain unatakiwa ujuwe wewe
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
ndio maana sileti tafsir yangu , huwa natumia tafsir yenu wenyewe , ata wewe unatakiwa ukiuliza swala tumia commentary za wakristo wenyewe, ndio maana unaona waislamu wengi unaona wananiogopa maana hoja najenga kwa ushahidi wa vitabu vyao, kwa sasa vitabu vingi vya tafsir kwenye kingereza waislamu wamefuta vitu vingi sana yani ni mpaka ujifunze kiharabu ndio utawakamata , kwenye kiharabu hawajabali, mpaka transilation za Koran wamedanyanya vibaya mno

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Jibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?
Weka hizo tafsir zingine. Au we kwako ni hiyo tafsir ya ibn Abbas bandia?

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Nina kitabu kabisa sio google tu nina physical book
katika tafsir zinaheshimika ni ya Ibn abbas
Kuna mtu yoyote amsaidie huyu kijana Mokiti. Ameshindwa kupinga aya wala kuleta majibu. Kama maneno ya uongo useme

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Hiyo haipo na haitokuwepo. Kafiri unatafuta kichaka cha kujificha. Kwenye original aya umechemka, kwenye hadith umechemka, unakuja na tafsir ya ibn Abbas fake. Unataka uhalalishe kuabudu yule sanamu aliye uchi
Elimu kijana , soma sana , bisha na hii
They fashioned for him whatever he wished lofty shrines mahārīb are high edifices which are ascended by stairs and statues...Tafsir al-Jalalayn
 
Kuna mtu yoyote amsaidie huyu kijana Mokiti. Ameshindwa kupinga aya wala kuleta majibu. Kama maneno ya uongo useme

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Unachotakiwa ni kujibu
Kwa nini allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
 
Roman empire haina uhusiano na Kanisa Katoliki. Unahitaji kusoma historia ya kweli kujua mahusiano ya vitu hivyo viwili ambavyo wapinzani wa Kanisa Katoliki wamekuwa wakipotosha historia kuchanganya.

Kama ulivyokuwa mpango wa Mungu kumfanya Sauli kuwa msomi aliyelelewa kwenye misingi bora ya dini yake ambayo alivyokuja kuwa Paulo ile misingi ilimpa maarifa yaliyokuja kutufaa hata leo ndivyo Warumi pamoja na kulipinga Kanisa lakini baadae zile strength zao ndizo zilizolipa Kanisa nguvu na kuongeza wigo imara na rasmi.

Unafahamu kwanini Kristo pale msalabani paliandikwa Kristo Mfalme wa Wayahudi kwa lugha tatu? Kigiriki, Kilatini na Kiebrania? Huo ulikuwa ni unabii wa jinsi Ukristo utavyoenea ulimwenguni kupitia hizo tamaduni tatu ambazo kila moja ina nguvu yake ambayo ni maalum na muhimu kwa Kanisa.
Huna unachojua wewe, hivi unamfahamu kaizari Kostantino alivyoliathiri kanisa? Unafahamu mitume walivyoteswa na dola ya Roma? Hujui ma kaizari wa dola ya Roma walibadilisha hata taratibu za ibada za kanisa la kwanza na washirika wakatii maana waliuwawa na kupata kichapo kosawasawa kutoka kwa dola ya Roma
 
Elimu kijana , soma sana , bisha na hii
They fashioned for him whatever he wished lofty shrines mahārīb are high edifices which are ascended by stairs and statues...Tafsir al-Jalalayn
Umejaribu kukata hiyo tafsir kwa kuondoa maandishi. Ila tafsir imekunyoosha uongo wako. Siku nyingine uache uongo.
Screenshot_2022-03-14-10-36-44-658_com.android.chrome~2.jpg
 
Unachotakiwa ni kujibu
Kwa nini allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
Siku nyingine uache uongo. Umeona tafsir ilivyo tofauti kijana. Jitahidi ila najua ukristo bila uongo hauendi.
 
Unachotakiwa ni kujibu
Kwa nini allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
Nimeshamaliza kazi. Nasubiri unipe maana ya hii aya

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Habari za wakati huu wapendwa
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.

Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoliki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoliki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.

Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoliki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.

Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoliki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anatetereshwa kwa mambo ya kijinga.

Wakatoliki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.

Huwezi ukakuta wakatoliki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoliki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta hiyo.

Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.

Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga barabara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.

Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.

Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
Biblia inasema njoon tusemezane * asema bwana
 
Wewe unafikiri Yesu anakaa ndani ya nafsi chafu ee, wewe jipe guarantee tuu kwamba ukikomunika Yesu tayari yumo ndani yako.

Yesu anachotaka ni moyo uliopondeka mbele zake ili akae ndani yako na siyo kupokea ekaristi

Si kazi yako kujua moyo wa mtu una nini.
Na kupokea ekarist siachi
 
Wewe acha kubadili mada, nasisitiza kupokea ekaristi siyo uhakika Yesu anaingia ndani yako kama ulivyokaririshwa..ule ni ukumbusho tuu. Bwana anatizama roho safi iliyopondeka mbele zake ndipo anaweka makao.
Mimi ni nani nikukataze kukomunika, mbona ni kitu kizuri tuu.
 
Back
Top Bottom