ndio maana sileti tafsir yangu , huwa natumia tafsir yenu wenyewe , ata wewe unatakiwa ukiuliza swala tumia commentary za wakristo wenyewe, ndio maana unaona waislamu wengi unaona wananiogopa maana hoja najenga kwa ushahidi wa vitabu vyao, kwa sasa vitabu vingi vya tafsir kwenye kingereza waislamu wamefuta vitu vingi sana yani ni mpaka ujifunze kiharabu ndio utawakamata , kwenye kiharabu hawajabali, mpaka transilation za Koran wamedanyanya vibaya mno
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Jibu kwa nini Allah alitengeneza masanamu akayaweka msikitini?