mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Mzee wewe ulitaka hiyo sadaka iwekezwe mbinguni au?Limewekeza katika biashara na mambo ya Dunia hii.
Kanisa ni la dunia hii so lazima hiyo fedha ifanye miradi hapahapa duniani kwa kufanya dunia iwe better place.
Kanisa Catholic linahakikisha kuwa fedha inayopatikana kupitia michango mbalimbali inafanya miradi mbalimbali kwa manufaa ya jamii kwa ujumla.
Mfano uwepo wa hospital ya Bugando-Mwanza hii ni faida kwa jamii nzima bila kujali dini au kabila.
Uwepo wa chuo cha St. Augustine Mwanza ni kwa faida ya jamii nzima.
Sadaka inayopatikana katika ibada zetu inapelekwa kanisa kuu (jimboni) kwa ajili ya miradi mbalimbali.
Miradi hiyo ni
Hotel mfano ST. GASPER HOTEL DODOMA.
kituo cha mikutano mfano St.Dominic Conference center.
Vituo vya watoto yatima na wenye uhitaji maalumu
Mfano ST.FRANCIS OPHARN CENTER.