Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

vip pale rundugai hakuna siku hizi
 
Hivi mtaji wa shingap unatosha kuanza biashara ya kununua na kuuza mchele
 
Kwa hesabu hizi mfano mkulima mwenye eka 16 atoe tani hata 40 tu. Naona pesa ndefu mnoo hapo, ndio pesa mnapata nyingi hivi mkuu??
Ukiwa na mtaji mkubwa pesa ipo
 
mfano wew ndo unaletew huo mchele unanunuaj kwa kilo ?

je unlipia cash au ndo mpka uuze?

je ni grade gan ya mchele ambyo unanunua au inatembea san huko moshi?

na kma unaletew more than tani tano man huwez safirish tano tano ni hasara atleast ton kumi kwa fuso au 15 kwa tandum unauwezkan wa kutupa more connection ya kuuz huo mchele amba utazid ur demanded order

natanguliza shukran kwa mleta mda vijan tuendelee kupamban[emoji1548]
 
Kwa mimi
Inategemea na aina ya mchele ila sana huwa nachukua grade ya kati ambao nanua kwa 2000 hadi 2100 kilo

Silipi cash nauza nalipa hela

Grade zote zinatembea ila kwa upande wangu nauza sana grade 2

Ndio ukiwa mzuri tani 10 week 3 mpaka mwezi
Kuanzia mwezi wa 10 Moshi wanategemea kuvuna hivyo hupunguza kununua mchele ukiwa bei sawa
 
Wamelima lini
 
Kwa wenye mchele wanaotaka kuuza karibuni sana Boma tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…