Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
UnApatikana kwa wingi mchele hapo mbingu?
Ndio ndio mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnApatikana kwa wingi mchele hapo mbingu?
vip pale rundugai hakuna siku hiziHabari wapambanaji na wote tuliokula kiapo cha kumtoa adui wetu nduli umasikini, Mimi ni mfanya biashara mdogo na mlanguzi wa mpunga na mchele hapa moshi.
Changamoto yangu kwa sasa ni mzigo nimekuwa na mzunguko mdogo kias kutokana na connection yangu si kubwa, natamani saana ningepata mtu wa kuniletea mzigo kwa bei rafiki tukafanya kazi itakuwa big deal kama yupo aliyetayari aje tuzungumze, hata ule wa nje fresh nauza pia.
Nakaribisha pia mtu tutakayefanya ushirika wa kibiashara milango iko wazi vijana tupambane
Kama nawe una changamoto yako weka hapa Tusaidiane hii keki ni kubwa sana hatuimalizi
Naomba nikuchek private unipe dodoso kidogo kuhusu haka kamji kanaitwa mbingu. Nitumie inbox no zake mheshimiwaNdio ndio mkuu
Naomba nikuchek private unipe dodoso kidogo kuhusu haka kamji kanaitwa mbingu. Nitumie inbox no zake mheshimiwa
Kwa hesabu hizi mfano mkulima mwenye eka 16 atoe tani hata 40 tu. Naona pesa ndefu mnoo hapo, ndio pesa mnapata nyingi hivi mkuu??Kilo 1000 tani 1. Kg 1 2200 kwa kilo 1000 2200000 x5 = 11000000 bei ya tani 5 kwa sasa
Kwa mimimfano wew ndo unaletew huo mchele unanunuaj kwa kilo ?
je unlipia cash au ndo mpka uuze?
je ni grade gan ya mchele ambyo unanunua au inatembea san huko moshi?
na kma unaletew more than tani tano man huwez safirish tano tano ni hasara atleast ton kumi kwa fuso au 15 kwa tandum unauwezkan wa kutupa more connection ya kuuz huo mchele amba utazid ur demanded order
natanguliza shukran kwa mleta mda vijan tuendelee kupamban[emoji1548]
Wamelima liniKwa mimi
Inategemea na aina ya mchele ila sana huwa nachukua grade ya kati ambao nanua kwa 2000 hadi 2100 kilo
Silipi cash nauza nalipa hela
Grade zote zinatembea ila kwa upande wangu nauza sana grade 2
Ndio ukiwa mzuri tani 10 week 3 mpaka mwezi
Kuanzia mwezi wa 10 Moshi wanategemea kuvuna hivyo hupunguza kununua mchele ukiwa bei sawa
Kilimo cha umwagiliaji ?Mwezi 6
Lakini hauwez affect bei sababu utakuwa mchache tu kuliko mahitaj sokoniNdio
Sasa mfano mtu akupe tani kumi umuuzie ndo umpe malipo,hapo uaminifu vip?Kwa upande huu unaleta athari kidogo maana haya ni mavuno makubwa