Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #101
Wao wakipita wapo ndani ya ma V8 wataonaje Hizo kero, mitaa wanayo ishi ni kimya mwanzo mwisho. Hawawezi elewaNoise Pollution is everywhere in TZ hasa mijini, hujakutana na hawa wauza Tangawizi, Iliki na Mdalasini mitaa ya NMB Sokokuu Arusha
Hujakutana na wapiga Passport pale Moshi mjini na Arusha mitaa ya Stadium
Kuna wauza urembo mitaa ya Magombeni, soko la Mbagala na Kimara mpaka stand kuu ya Magufuli
Kuna hawa wauza madawa kwenye mabasi, dawa ambazo hata TFDA haizitambui na wauzaji sio Madaktari
Yaani ni kero tupu na serikali haikemei wala kutoa suluhisho la Hii Pollution labda hawajui ni tatizo
Ili mtu apigwe vizuri!Na usafiri wa kwenda kuona ni bureeeee
Mkuu vp speaker za Oraimo unazizungumziaje ,nataka ninunue ile kubwa kabisa ya 150kBora hata wangekuwa wanatumia Speaker za JBL zenye noise cancellation.
Ni yale matakataka ya Aborder πππ
sijawahi zitumia mkuu so sina la ziada kuhusu hizoMkuu vp speaker za Oraimo unazizungumziaje ,nataka ninunue ile kubwa kabisa ya 150k
" Tunasajili laini aina zote, za chuo zipo. Kusajili ni bureee ila unatakiwa uweke vocha ya elfu moja" π"Sumuu yaa panyaa mendee kungunii papasi kupee muwasho utangotangoo na dawa mbaa zotee zipooo" X2
"Askirimu askirimu chocolate vanilla ukwaju tamuu hizoooo balaaaa"
π€£π€£π€£
Good morning Wana thread
ni wapi huko wengine tuko nje ya bongo, how hiyo kitu na imeanza lini?Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia sauti zinajirudia kichwani " VIWANJA VIWANJA VIWANJA"
Pia wauzaji wengine ni matapeli, ni vyema kuwa makini sana na hawa jamaa.
View attachment 2982574
Dar es salaam, ni muda sasa tangu hizo shuhuli zianze.ni wapi huko wengine tuko nje ya bongo, how hiyo kitu na imeanza lini?
Au tuzibebe kabisa tupeleke getoZipelekee gari
Mji umechafuka speaker tu kila konaMambo ya hovyo sana.