Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

Mimi nashukuru forever imeniingiza kwenye kumbi kubwa na hotel kubwa kama Nyerere conference centre, Diamond jubilee na Kempisk, hayo ni mafanikio kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BIG UP
 
Mie mungu ansamehe tu lakini nshawalamba sana mademu wa forever living,unakuta unachat naye unaona kabisa yuko desperate kuuza hizo vitu zake bas unamwambia aje navyo geto nichague.akiingia ameisha.
 
Walinitoa mbagala mpaka Millenium tower sina hata hamu nao wale jamaa.Hivi kwa mtazamo wa kawaida unaweza kuuza product ya laki 3 kwa mkaazi wa mbagala,
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mie nilishawahi mtolea mtu wa forever maneno makali sana hajarudi mpaka leo
 
Me mpenzi wangu alijiunga bila kunambia jion anarudi na hizo story ananishawish ninunue pafyum laki na nusu sijui na vinininini? Nikamwambia unahitaji mtaji ufanye biashara ya maana niambie ila sio huu upumbavu na kujivua akili
[emoji23][emoji23]wanaliwa sana
 
Kuna mdada mmoja ni rafiki angu alijiunga haya mambo ya forever aliporud nyumbani alinishawishi sana nijiunge akanisimulia mkutano ulipofanyikia ni hotel ya garama sana hapo town mwanza,nikamuuliza swali umejiunga kwa kiasi gani akajibu laki tatu nikachoka kabisa sababu mm sikuona faida kabisa faida ya kujiunga maana kila nikimuuliza mnapata faida gani hasa nyie member yeye anazingua ananisimulia maendeleo ya mabosi wao eti wana magar na majumba nilimwambia hiv ukipata mafanikio njoo uniambie nitajiunga hajaniambia mpk leo na story za forever hazipo tena sasa ni miaka,kwa ufupi siwapend forever
 
Kwan hizo bizaa huw zinasaidia kweli au manake naona gharama kubwa pia
Na mimi huwa najiuliza hivyo maana kwa kwetu huku sisi mtu umuuzie lipstik ya elfu 40 na make elfu 70 mafuta ya nywele kwa elfu 30 nani utamuuzia watu wanapata softtouch ya bei chee na lipstik ya 1500 tuu uswazi ujinga wa forever hawataki kuusikia kbs sijui wanamuuzia nani aisee
 
Nilishaingizwa kingi zaidi ya mara 4 lakini wapi...Mara ya kwanza Makumbusho 2007, mara ya mwisho Mlimani city 2015. Kote huko hawajaweza kunishawishi ili kujiunga!! Naonaga ni aina fulani ya kukosa ubunifu wa kufanya kazi za maana.
 
Afu kutakua na kasiri iyo nyuma ya forever hawataki kusema ukweli tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…