contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Crowd dressingForever Living, Trevo, One Coin, Oriflame, ReforoAfrica endelea kuorodhesha tuzidi kujifunza, ila classmate wangu ametoka na Trevo na kweli aliacha kazi NMB pale Branch ya nmb house ila wao walikuwa waanzilishi wa kampuni hiyo, kweli anakula shavu kusafiri na mbwembwe za aina hiyo.
MchewForever Living, Trevo, One Coin, Oriflame, ReforoAfrica endelea kuorodhesha tuzidi kujifunza, ila classmate wangu ametoka na Trevo na kweli aliacha kazi NMB pale Branch ya nmb house ila wao walikuwa waanzilishi wa kampuni hiyo, kweli anakula shavu kusafiri na mbwembwe za aina hiyo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna mmoja mke wa mtu kila siku ananijidai kuni encourage nijiunge tuu naona soon ntamtafunaaa
Usitoe macho kizazi hiki ni cha nyoka[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hainaga Ushemeji jamaa yangu aligonga demu hivi hivi kupitia Forever[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usitoe macho kizazi hiki ni cha nyoka
Crowd dressing
Hahaha tafuna tu umuongezee msingiUsitoe macho kizazi hiki ni cha nyoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaaWanagaramia hadi misosi ili tu uone bidhaa jinga sana, mie nlipewa ka fanta na vibagia nlivokua na hasira nkakanywa fasta tu gudugudugudu nkaweka chupa pembeni nikaendelea kununa
ππππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Eti Haters
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa usawa huu wa JPM zile Dawa za meno za forever watauza buku buku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni siasa mkuu....wala ucje ukakurupuka, wanauza ghali halafu nothing at all. Na wanavyojua kumarket bidhaa zao vibaya, kwa kuponda sana bidhaa za wenzao...!Hvi bidhaa zao kweli zinasaidia au siasa tu
Hahahaaa.....we ndio umefika at highest point katika kuwachukia forever living...hata ukickia MTU kanunua chopa! Ila hukosi mwenzio hata mi nimefikia point hiyoLabda wewe hawajalkukwaza mm walishanikwaza nikawachukia hata mtu a niambie amenunua chopa sitaki kusikia hiyo Mikitu, gnld bla bla
Ndio...ni kweli mungu alisema tutakula kwa jasho! Sasa hapo hawatii jasho ila wanatumia uwongo ule ulolaaniwa kabisaaa..Forever living. Wanajitahidi mungu anawaona atawapa njia kazaneni maana dunia ndo katka vtabu waliandika mtakula kwa jasho.
Amen