Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

Itakuwa umekariri mkuu. Dawa ya kutukuza maumivu ni Panadol, ukitajiwa paracetamol unagoma. Jinga kabisa
Mfano wako sio relevant.
Chloroform haitumiki kuhifadhia maiti (embalming fluid) kama unavyodai umeambiwa na huyo mvuvi wako.

Kuhusu wewe kuniita mjinga, nakubaliana na wewe kabisa na naungana na huyo mvuvi wako (tunakua wajinga wawili).

Na hiyo inathibitisha pasi na kuacha shaka kwamba nchi hii ina ujinga mwingi.
 
Sawa muosha maiti tumekuelewa
 
  • Na hizo dawa za kuhifadhia maiti wanatunzia mpaka matunda, nyama, n.k. Twadaaa!!!
  • Serikali ifanye jambo, miaka ya nyuma wafugaji walilishia mifugo (nguruwe ng'ombe n.k) ARV. Kwa sasa ule ujinga umezimwa.
  • Kwenye uchumi huria serikali inapaswa kuwa imara kwelikweli - la sivyo raia wote wanaangamizwa kama viwavi jeshi na watu wenye uchu wa mali.
 

Chloroform??? mmmh...

Waijua chloroform mkuu?
 
Daah! Mm nawaogopa hao samaki kuliko maelezo hivi sasa
Jaribu kusoma uongeze maarifa na sio kubwabwaja tu. Chloroform ni maji au ni dawa? Makamu wa raisi aliimaanisha maji wanayooshea maiti mortuary na yanayotumika kwa shughuli mbalimbali za imani potofu. Kama alimaanisha chloroform, hiyo inatumika miaka mingi sana ingawa si na wasafirishaji wote wa samaki, madhara yake mlaji anaweza kuyapata baada ya exposure ya muda mrefu sana (Human Carcinogenes class2). Na kama anasema ndio chanzo cha saratani kwa wakazi wa kanda ya ziwa anadanganya mchana kweupe, sisi huku tunakula kitu ya siku hiyo hiyo haijaingia hata kwenye freezer, so hiyo saratani kwa huku watafute chanzo chake kingine.
Pale VP alichemka sana kwa kuwatisha wananchi kwa kiasi kikubwa vile bila ya uchunguzi wa kutosha

NB: miaka ya karibuni hata hayo matumizi ya chloroform yamepungua sana. Miundombinu imeboreshwa, Mwanza-Dar ni ndani ya masaa 24. Pia teknolojia ya kuwasafirisha imeboreshwa sana, so wengi wao wala hawatumii chloroform tofauti na ile miaka ya 1990s na 2000s.
 
Sawasawa
 
Duh! Hi bongo bana ni kulishana uchafu kila kona. Nyama za kuku wa kisasa, kiti moto, samaki, na sasa hawachewi kuleta zengwe kwenye nyama za ng'ombe na mbuzi.
 
Makamu wa raisi aliimaanisha maji wanayooshea maiti mortuary na yanayotumika kwa shughuli mbalimbali za imani potofu. Kama alimaanisha chloroform, hiyo inatumika miaka mingi
Sasa maji kama maji ya kuoshea maiti na uhifadhi wa samaki wasioze wapi na wapi mkuu? Kwa vyovyote vile VP alimaanisha dawa ya kuhifadhiwa maiti lkn akaamua kutumia maneno yaliyozoeleka mitaani "maji ya kuoshea maiti".

Nakubaliana na wewe kwamba wakazi wa Mwanza wanakula samaki ambao wametoka ziwani mida huo huo. Na tungetarajia walaji wa Sato na Sangara waliopo mikoa ya mbali na Mwanza ndiyo wawe waathirika wakubwa wa dawa hiyo
 
Duh! Hi bongo bana ni kulishana uchafu kila kona. Nyama za kuku wa kisasa, kiti moto, samaki, na sasa hawachewi kuleta zengwe kwenye nyama za ng'ombe na mbuzi.
Bongo kila kitu kimechakachuliwa
 
Hiyo dawa uliyoitaja (chloroform) haihusiani na kuhifadhi maiti
Je inafaa kuliwa na Binadamu? Jibu ni kwamba haifai ni sumu.

Chloroform can be absorbed into the body via ingestion or inhalation. Symptoms include excitement and nausea followed by dizziness and drowsiness. More severe exposures to chloroform may cause heart problems, fitting, unconsciousness and in some cases death.
 
Kabla ya kuapply Chloroform maiti huoshwa kwanza kwa maji ya kawaida au hufutwa kwa kitambaa kinyevu. Kwa masikio yangu nilimsikia akisema maji ya kuoshea maiti, Chloroform si maji ya kawaida ni dawa, na kweli ni moderate toxic na si sahihi kuitumia kama preservative kwenye vyakula. VP aliteleza na hajajitokeza kuclarify alimanaanisha nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…