Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

Lete ushahidi...chloroform ndio maji ya kuoshea maiti?....
Sad.
 
Daah! Mm nawaogopa hao samaki kuliko maelezo hivi sasa
Samaki maji chumvi tu, hawana mambo mengi
Sikuwahi kuwapenda sato na sangara na hivi nilivyosikia wamekua associated na hayo ma chloroform, mixer kansa ! off the trash they go!
 
Ubaya wa hizi mambo ni kuwa unaweza ukawa makini sana sehemu fulani lakini ukaja kufa kwa jambo la kizembe kabisa..!! Haya, unaogopa Sati na Sangara, kondomu unatumia..? Kwenye magari huwa unavaa mkanda? Sigara vipi, unavuta? etc
Ndio kutapatapa kwa maisha , hujui utakufa kwa lipi!
Yani maisha yana siri nzito na siri zingine hata maana yake haieleweki
Niliwahi uguza mgonjwa wa figo , tukaambiwa tukatafute mtu wa kutusaidia , nikiwa njiani nikushuhudia ajali fatal na watu kama wanne wamefariki, i was like , what a miscommunitaction!! Sisi tunahaha kutafuta donor ili jamaa apone , halafu wengine wanaenda nazo kaburini zikiwa intact!.
 
Tukila nyama wanasema nyama nyekundu ina madhara tule samaki. Tukila samaki ndio madawa tena ya maiti. Basi wacha tule kande
Je, unaonaje ukigeukia pia kwa wanyama/wadudu pori? i.e. Panya, Kware, Njiwa pori, Senene, Kumbikumbi,n.k?
 
Sas ikiwa wanatumia maji hayo mbona waadhirikiaji wengi wa [emoji752] Ni watu wa uko uko Kanda ya ziwa ilitegemewa kuwa bas waadhirika wengi wawe wa mikoani Sasa nitofauti embu waangalie pia migodi na mecury inayotumika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Jambo lingine siyo hao samaki kuna ishu tu sababu za [emoji752] Kanda ya ziwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wasivyo na mshipa wa haya watasema kahongwa na VP
 
Serikali iwajengee uwezo wavuvi kuvua kisasa na kuhifadhi samaki kisasa na kuwasafirisha kisasa, iache kupoteza muda kuficha aibu ukweli unasemwa na mashuhuda wenyewe wako maofisini hawajui yanayojiri ziwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…